Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Attachments

  • carbide-tips-500x500.jpg
    9 KB · Views: 3
sio temeke yote mkuu.kama kuanzia hapa changombe ni sehem imejaa national housing na pamepangika
 
Hata kama lakini ni haki ya kila mtu kuishi sehemu nzuri yenye mpangilio na sio bora sehemu tu...na ni kazi ya serikali kurekebisha na kuweka huduma zote sawa
Ngoja ukiwa mkubwa utaelewa kwanini watu wanaishi maeneo yale. Sasa hivi bado hauwezi ukaelewa.
 
Sijui mkuu ujanja unaouzungumzia wewe ni upi,Ujanja wa watu wa Dar huko ndiko ulikoanzia,Kariakoo,Temeke,Tandika,Ilala yote ndio kulikuwa na viwanja vya kujirusha vya hatari...
Mkuu, hakika wewe unaijua vema sana Dar. Enzi za akina TMK Wanaume, Bosco Cool J, Ukumbi wa Emasco ni disco la kufa mtu, etc
 
Wa Sea view nae anashangaa inakuaje unaenda kujenga Goba, wa Goba nae anamshamgaa wa mbagala, wa mbagala nae anamshangaa wa Tandale Popobawa, wa Tandale nae anamshangaa wa Tandika, na wa Tandika nae anamshangaa wa bonyokwa nae anamshamgaa wa Mwanamyama mchanga mweusi… ni mwendo wa kushangaa tu
 
Watu wa jf kwa kujikuta na maisha... So mtoa mada na wapambe wake mnataka watu wote wa temeke wahame wahamie kwenu au..?? Et watu wa temeke maskini bla bla.. matajir wana mda wa kuandika pumba kama hiizi
 
Hapo chacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila hiyo makongo juu barabara yake ikiisha patapendeza Sana.

Husisahau wilaya ya ubungo ndo kuna sinza,kimara,mbezi,changanyikeni,Makabe,mbezi Luis.

Kuna kibamba na kiluvya kuna majumba hatari
 
Temeke si kila Sehemu ni pabaya,Kuna maeneo ya Ushuani kama Chang'ombe, kijichi, Tuangoma n.k.
 
Watu wa jf kwa kujikuta na maisha... So mtoa mada na wapambe wake mnataka watu wote wa temeke wahame wahamie kwenu au..?? Et watu wa temeke maskini bla bla.. matajir wana mda wa kuandika pumba kama hiizi
Uwe unaelewa mada wewe zwazwa wapi tunaongelea utajiri na umasikini humu.

By the way temeke ndio Kuna watu wa hali ya chini kuliko wilaya zingine zote. Simaanishi wilaya zingine hakuna watu wenye Hali ya chini ila temeke low class ni wengi Sana kuliko wilaya zingine. Usilete ubishi Kama huna la kuongea kwa facts kaa kimya.
 
Ila hiyo makongo juu barabara yake ikiisha patapendeza Sana.

Husisahau wilaya ya ubungo ndo kuna sinza,kimara,mbezi,changanyikeni,Makabe,mbezi Luis.

Kuna kibamba na kiluvya kuna majumba hatari
Yes makongo juu Safi sana. Hali ya hewa nzuri.
 
Rugemalila mwenyewe anakaa Makongo juu.

Raisi wa kongo mstaafu (Kabila) amejenga makongo juu.

Acha kulinganisha makongo juu na huo uchafu wa Tandika.

Shwaini.
 
Mkuu unakaa maeneo gani hapa Dar?
 
Rugemalila 'mwenyewe'… mwenyewe kwny nini?

Nyie mnaotoka porini mkifika mjini ili muingizwe mkenge huwa mnatajiwa majina ya watu maarufu ili muone hilo eneo ni la hadhi!

Ukiambiwa utaje maeneo bora na ya hadhi hapa Dar kwa kiwango chako cha ufahamu utataja makongo juu!
Rugemalila mwenyewe anakaa Makongo juu.

Raisi wa kongo mstaafu (Kabila) amejenga makongo juu.

Acha kulinganisha makongo juu na huo uchafu wa Tandika.

Shwaini.
 
Sehemu zote ambazo ni unsurveyed ni mavi. Mbagala kuna sehemu na sehemu lkn Kwa ujumla ni mavi
 
Mbagala ipi? Maana siyo yote. Historia inasema kuwa mbagala ni ya watu toka Lindi na Mtwara na wenyeji wazaramo. Kama unatoka Lindi na mtwara nawe ni wa hovyo
 
Mbona unatumia tecno simu ya masikini kama wewe ni wa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…