ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Naomba suala hili nilielekeze kwa wasafiri, wasafirishwa na wasimimizi wa miundombinu yoye ya usafiri, Ikiwezekana kupunguza hizi ajali dereva tax, bus, bodaboda wapimwe kiwango cha ulevi kama kitakua kimezidi kiwango basi wasiendelee na safari au kusitisha kabisa safari.
Askari wamekua wakifuatilia sana barabara za mikoni naamini wakiongoza tu magari na kukagua vyeti feki, naomba tuzingatie taratibu zote za usalama za chombo chochote mahala popote.
Askari wamekua wakifuatilia sana barabara za mikoni naamini wakiongoza tu magari na kukagua vyeti feki, naomba tuzingatie taratibu zote za usalama za chombo chochote mahala popote.