Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

Ulichoandika ni uongo unless huyo mtu mwenye 1.2m awe na mkopo benki lakini hakuna statutory deduction zinaweza kutoa 1.2 Hadi 500,000/-
Huwa ninamuelewesha mtu anayeniuliza kwa kutaka kujua zaidi,

Mtu anayeongea kutaka kunifanya nionekane naongea uongo huwa namuacha bila maelezo zaidi ili aendelee kubaki na ujinga wake.
 
Huwa ninamuelewesha mtu anayeniuliza kwa kutaka kujua zaidi,

Mtu anayeongea kutaka kunifanya nionekane naongea uongo huwa namuacha bila maelezo zaidi ili aendelee kubaki na ujinga wake.
- wewe ndiyo mjinga, kwa sababu Kila kitu nilishakisema kuwa hata kama anakatwa heslb hawezi kubaki na 500,000/- labda awe na mkopo benki
 
Wewe misso misondo,umepigaje hapo? Ebu tupe details kidogo inakuwaje hapo investment inayompa mtu 200 m kwa mwezi
 
Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Ndo maana mi nawaangalianga WATU wanazulumu ,wanaibia serikali,wanaiba wanajiona wamefika ,kumbe we NI mbu mdogo Sana ,ridhika na ulichonacho na ulipo tafuta destiny yako ,umewahi kufikiria mishahara ya mataifa kama wingereza au Luxembourg NI pensions yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…