Naskiaga TCC NA BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA ni hatari!Hahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskiaga TCC NA BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA ni hatari!Hahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Ni kawaida Kwa serikalini Ila so poah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu niliona salary slip yake mshahara 1.2M take home 500k na ushee
Hili haliwezekani labda awe amekopa mkopo benki, kwa sababu kwa salary scale ya 1.2m ukifanya mahesabu ya kawaida na kama ana deni la heslb atabaki na Around 700,000/-Kuna mtu niliona salary slip yake mshahara 1.2M take home 500k na ushee
Mkuu sio wanatumia JTI portal?
Saiv ni portal.ina wezekana wanatumia portal kwa sasa mm niliwahi kutuma maombi kupitia hiyo email yao juu n takribani miaka 6 nyuma uko kwa sasa sijui maana nilisha acha kuomba kazi
Sasa unadhani nina muda wa kubishana!😂Hili haliwezekani labda awe amekopa mkopo benki, kwa sababu kwa salary scale ya 1.2m ukifanya mahesabu ya kawaida na kama ana deni la heslb atabaki na Around 700,000/-
kama ni PrivateKuna mtu niliona salary slip yake mshahara 1.2M take home 500k na ushee
Ulichoandika ni uongo unless huyo mtu mwenye 1.2m awe na mkopo benki lakini hakuna statutory deduction zinaweza kutoa 1.2 Hadi 500,000/-Sasa unadhani nina muda wa kubishana!😂
Huwa ninamuelewesha mtu anayeniuliza kwa kutaka kujua zaidi,Ulichoandika ni uongo unless huyo mtu mwenye 1.2m awe na mkopo benki lakini hakuna statutory deduction zinaweza kutoa 1.2 Hadi 500,000/-
- wewe ndiyo mjinga, kwa sababu Kila kitu nilishakisema kuwa hata kama anakatwa heslb hawezi kubaki na 500,000/- labda awe na mkopo benkiHuwa ninamuelewesha mtu anayeniuliza kwa kutaka kujua zaidi,
Mtu anayeongea kutaka kunifanya nionekane naongea uongo huwa namuacha bila maelezo zaidi ili aendelee kubaki na ujinga wake.
Wewe misso misondo,umepigaje hapo? Ebu tupe details kidogo inakuwaje hapo investment inayompa mtu 200 m kwa mwezikwenye maisha you have to enjoy kwwa upande wako huwezi sema usi enjoy road trip yako in crown Athlete kisa unapishana na Benz au gwagon
kuna watu hawalipwi na mtu wana wekeza tu kwa mwenzi mwenzioo hakosi mil 200 na hana miaka mingi ni kijana tu sasa ukiiona uyo si unaweza kata tama
nimewahi kufanya kazi viwandani nimeona.Toa ushahidi - Achana na porojo za vijiweni
Si suala la kabila bali ni tabaka
watanzania.kha... hawa mnaowataja ni watanzania au foreigner maana ukoo wangu jumlisha na mtaa au mitaa niliyokaa hadi umri huu sijawahi kusikia jirani au ndugu analamba mamilioni kama hayo zaidi ya wabunge na wanasiasa..
Ndo maana mi nawaangalianga WATU wanazulumu ,wanaibia serikali,wanaiba wanajiona wamefika ,kumbe we NI mbu mdogo Sana ,ridhika na ulichonacho na ulipo tafuta destiny yako ,umewahi kufikiria mishahara ya mataifa kama wingereza au Luxembourg NI pensions yakoHakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
wewe ndiyo mjinga.Huwa ninamuelewesha mtu anayeniuliza kwa kutaka kujua zaidi,
Mtu anayeongea kutaka kunifanya nionekane naongea uongo huwa namuacha bila maelezo zaidi ili aendelee kubaki na ujinga wake.
Watu mnachekesha! Mimi nimetoa summary ili kufikisha kitu nilichotaka kuderivery, hamuulizi imekuaje 1.2M to 500k nyie mnatoa conclusion ety mimi muongo.wewe ndiyo mjinga.
aisee, una vijembeHuwa ninamuelewesha mtu anayeniuliza kwa kutaka kujua zaidi,
Mtu anayeongea kutaka kunifanya nionekane naongea uongo huwa namuacha bila maelezo zaidi ili aendelee kubaki na ujinga wake.
MD's wa mabank ndio take home zao hizo 20-30. Na wa hapa hapa bongo ya daslaamkha... hawa mnaowataja ni watanzania au foreigner maana ukoo wangu jumlisha na mtaa au mitaa niliyokaa hadi umri huu sijawahi kusikia jirani au ndugu analamba mamilioni kama hayo zaidi ya wabunge na wanasiasa..