Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

Mali zipi hizo? Zile mlizowauzia Wachagga na Wakinga kariakoo,magomeni au?
Wamewauzia wachaga na wakinga Kisha pesa wakawapa dada nauli waende kudanga ughaibuni, Dubai, Uturuki, nk
 
Kweli bana kuna watu mafather wao walikua bandari hapo since mwaka tisini ila hadi wanakuja kustaafu wanaishi kwenye kota hawajajenga kwao mkoani wala kununua plots hata chanika.
Hilo ni fundisho kwa vijana hata waliopo nje ya dar es salaam ambao wapo mikoani au wilayani ambao wanaogopa kujenga au kununua viwanja nje ya mojo wakiamini ipo siku watajenga mijini
 
Afya ya akili ni muhimu kwa vijana wa sasa..
 
Hivi wanaoishi tandale mbagala au vingunguti nao wamestaarabika tofauti na walioko bara?
 
Shekhe kwema? Ulipotea vp ulipigwa life ban?
Majukumu ya hapa na pale, hili andiko lako bila shaka umewagusa wazee wenzangu ambao walikuwa maeneo ya magomeni miaka hiyo sasa hawana kitu wanatia huruma maana waliwekeza katika starehe hasa pombe na ngono.
 
Hivi Kuna yyte amekufuata akakwambia fulani binti fulani jenga kibanda.
Mbona inaonyesha dhahiri mambo ya kweny kikao cha mwisho cha familia yako unaleta hapa ndani.

Wanaume hawako hivo mdg angu, wanaume sifa kubwa vitendo si maneno mengi. Tofauti na hivo unatafuta kuwekwa kweny kundi maalum alafu uje tena kuleta visingizio hapa ndani.
 
Niweke kwenye kundi ya la mashoga
 
Majukumu ya hapa na pale, hili andiko lako bila shaka umewagusa wazee wenzangu ambao walikuwa maeneo ya magomeni miaka hiyo sasa hawana kitu wanatia huruma maana waliwekeza katika starehe hasa pombe na ngono.
Kweli mzee wangu shikamoo lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…