REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Wamewauzia wachaga na wakinga Kisha pesa wakawapa dada nauli waende kudanga ughaibuni, Dubai, Uturuki, nkMali zipi hizo? Zile mlizowauzia Wachagga na Wakinga kariakoo,magomeni au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewauzia wachaga na wakinga Kisha pesa wakawapa dada nauli waende kudanga ughaibuni, Dubai, Uturuki, nkMali zipi hizo? Zile mlizowauzia Wachagga na Wakinga kariakoo,magomeni au?
Hilo ni fundisho kwa vijana hata waliopo nje ya dar es salaam ambao wapo mikoani au wilayani ambao wanaogopa kujenga au kununua viwanja nje ya mojo wakiamini ipo siku watajenga mijiniKweli bana kuna watu mafather wao walikua bandari hapo since mwaka tisini ila hadi wanakuja kustaafu wanaishi kwenye kota hawajajenga kwao mkoani wala kununua plots hata chanika.
😂😂😂marehemu alikuwa na mdomo sanaPilau la sikukuu likamwagika kabla halijapakuliwa
You are an idiot.Hauna mali za urithi? Basi nenda kijijini kwenu kawalaumu wazazi wako
Majukumu ya hapa na pale, hili andiko lako bila shaka umewagusa wazee wenzangu ambao walikuwa maeneo ya magomeni miaka hiyo sasa hawana kitu wanatia huruma maana waliwekeza katika starehe hasa pombe na ngono.Shekhe kwema? Ulipotea vp ulipigwa life ban?
Hivi Kuna yyte amekufuata akakwambia fulani binti fulani jenga kibanda.Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani?
Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha.
Kwangu mimi sina haja hata ya kujenga kwasababu hizo ni fikra za kimaskini aisee wazazi walitafuta mali kwa ajili ya nani? Si watoto wao? Kwahiyo mimi nijenge ili iweje? Au nigundue nini hasa?
Nyie ambaye wazazi wenu nhawakuwatafutia mali ndio pambaneni na umasikini na ufukara wenu huo hahahaha kwenye account mahela yamejaa kedekede na ma plot yapo kutosha.
Kwahiyo nyie mijitu acheni mi stress,wivu na chuki za hovyo ambazo hazina msingi wowote muwalaumu wazazi wenu kutowatengenea future zenu wao si walikuwa wanajifanya mabraza men? Kwahiyo pambaneni kulipa hiyo karma ya umasikini na ufukara.
Mali za wazazi zipo tena mzizima hapa hapa bandari salama sio huko kwenu bara ambapo hamjastaarabika.
NB: Huu ni uzi wa watu wa mzizima au bandari salama kama wewe ni mtu wa bara pita hivi.
Bado kuna wiki mbili na nusu. Kwa iyo vumilia tu na tabia zenu za kichawiLikizo ziiishe tuu kwa kweli
Nkajua sion vzuri kiza hadi kweny kiswawadu changu.Kwan kuna nn mkuu,nakuona tangu Jana unajiinua kweli....una uhakika utafika kesho kweli?
Niweke kwenye kundi ya la mashogaHivi Kuna yyte amekufuata akakwambia fulani binti fulani jenga kibanda.
Mbona inaonyesha dhahiri mambo ya kweny kikao cha mwisho cha familia yako unaleta hapa ndani.
Wanaume hawako hivo mdg angu, wanaume sifa kubwa vitendo si maneno mengi. Tofauti na hivo unatafuta kuwekwa kweny kundi maalum alafu uje tena kuleta visingizio hapa ndani.
Siku hizi hata wanawake ni mashoga jielezee mashoga kundi A au B unalotakaNiweke kwenye kundi ya la mashoga
Kweli mzee wangu shikamoo lakiniMajukumu ya hapa na pale, hili andiko lako bila shaka umewagusa wazee wenzangu ambao walikuwa maeneo ya magomeni miaka hiyo sasa hawana kitu wanatia huruma maana waliwekeza katika starehe hasa pombe na ngono.
Tukufanye Admin si ndioKund
I A hapo vp? We slay queen wa riverside