Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kwamba haya umesema wewe,basi ni jukumu lako kututhibitishia ya kuwa yeye amefanya hayo. Hayo aliyo yasema tunayapata wapi ?
yupo kichwani kwangu na hayo maneno kanituma niyaseme

Unauthibitisho kua sndanguja yupo? Vipi unapinga kua hayupo?

Kwasababu niko naye kichwani mwangu anasema kua alimuumba huyo mola na kua sio mola ndo chanzo cha vyote.
 
Unaelewa maana ya nilivyosema kwamba Mungu hawezi tengeneza jambo likamshinda ?

Namaanisha kuwa anaweza kutengeneza jambo lolote ( whatever big it may be ),, na hawezi kushindwa kulimudu hilo jambo.... Umeelewa ?

Eeheee apo apo tu ... whatevet big it may be ONGEZA even himself can't lift/beat/kill it

Afu uache kupunguza maneno katika sentensi zangu
 
Sasa kipi kilicho kupa ujasiri udai ya kuwa Mola hayupo,na huku unashindwa kuthibitisha. Tumekubali kwamba huwezi kuthibitisha basi tuambie kipi kimekupelekea ukanushe na je kwa mizani ipi imekupelekea wewe ukahitimisha ya kuwa Mola hayupo.
kwa hiyo umekubali kua sndanguja yupo?
 
Nimecheka sana,ndiyo maana huwa tunawaambia akili hamna.

Mola gani anatoa amri ya kutumiwa hela,huyu Mola dhaifu sana.
hivi unaelewa hiyo quote haijaandikwa na mimi bali sndanguja?

unaweza kuthibitisha sndanguja hayupo na ile quote sio yake?
 
Nimemsoma sana Kiranga toka miaka hiyo uko alipo bado anaendelea kuchimba zaidi, hapa anapambana na akili nyepesi za jf...
Mpaka sasa nilichogundua kuhusu hii dunia unaweza ukawa unarukaruka juu ya meza yako pale chumbuni ukihisi ni ndogo utaivunja kumbe wewe humu dunia ni sawa na boti na bahari....
 
Tulia usome kwa umakini mbona waongea mambo ambayo sijakuuliza.

Jibu no 1. Kama unamfahamu huyo mtu ambaye anasikia sauti kichwani au kama ni wewe hilo sio ishara njema ndugu ni mojawapo ya viashiria ya kuwa unapoteza, wahi hospitali kabla hujaanza kujibizana na hizo sauti

Jibu no 2. Sijakwambia kwamba ueleze mtu akiona mti unawaka moto bali nilitaka unieleze utamchukuliaje mtu anayekuambia kwamba kulikuwa na moto unawaka na hauunguzi. Sijui kama unanisoma

No 3. Bado unafanya mchezo wa kufafanua , mi nakuuliza swali we unaanza kufafanua ivyo ndo ulivyofundishwa huko shuleni. Nadhani nimedhihisha kwamba wewe ndio mkimbiaji maswali.

Hakuna haja ya kukimbia maswali papana nayo. Pia katika paragraph ya kwanza nashangaa upo confident kabisa ukisema mtu kachezewa na shetani yaani unaona ni point kabisa ya kuweka. Mbona una mawazo ya kizamani sana dunia ishapita zama za kumsingizia shetani. Mbona mambo yanaelezeka vizuri tu kutoka kwa matabibu wetu, kwa hilo inaonekana ni mtu usiyetaka kuwajibika yaani ukikamatwa ndo wale utasikia shetani kanipitia.
Kazi kweli kweli umeuliza namchukuliaje mtu wa aina hiyo na hapa nimeonyesha hivyo na nikakupa ufafanuzi juu ya hilo,kama umekiri kwamba natoa ufafanuzi hapa unajipinga mwenyewe kwa kauli yako ya kusema najibu ambacho hujaniuliza.

Nilichokieleza ndiyo hicho nitakavyo mchukulia kwani nimekuonyesha ya kuwa huyo haitwi mgonjwa akili kwa sababu hizo na maelezo niliyo kupa. Sasa kama hata hujui kama umejibiwa swali na unakiri kwamba natoa ufafanuzi ni kwamba sikimbii maswali sema nakueleza kile ambacho hukukitarajia.

Unatakiwa uongeze umakini. Huwa sikimbii maswali na kama swali huwa limenishinda huwa nasema sijui au nipe muda nilifanyie kazi.

Huna swali gumi la kunifanya mimi nikimbie na nimekuonyesha ya kuwa ulicho kitarajia sicho.

Nipo ...
 
hivi unaelewa hiyo quote haijaandikwa na mimi bali sndanguja?

unaweza kuthibitisha sndanguja hayupo na ile quote sio yake?
Thibitisha hilo. Sasa kitu kidogo kama hiki kinakushinda je kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola si muhali kwako ?!
 
Siyo lazima unishawishi sababu hata uongo unashawishi na kumfanya mtu akaamini uongo kwamba ni kweli. Wewe andika yaliyo ya kweli basi.

Maana yake unaposema Mola hayupo ni kwamba unajua hayupo na unao ushahidi wa kuonyesha kwamba hayupo.

Ili ujue umenielewa vibaya au la,jibu swali nililo kuuliza.
Bado swali liko pale pale. Ni criteria gani unazoangalia kujua ukweli wa hoja?
 
ulitakiwa uthibitishe hiyo miungu haipo ili tujue kweli inawezekana

Wewe umeonesha kukubali kua miungu hiyo ipo ila umekanusha hiyo miungu sio ya kweli kitu ambacho hukutakiwa kufanya

Thibitisha hiyo miungu haipo
Sasa nithibitishe vipi jambo ambalo lipo kwamba halipo ? Kama umekosa hoja na jambo limekushinda usipoteze muda.

Huwezi kunilazimisha niandike uongo haya ni matumizi mabaya ya akili. Yaani jambo ambalo nimekiri kwamba lipo,tena unaniambia nithibitishe kwamba halipo. Umepagawa nini ?
 
kwani kutii kusingewezekana bila uwepo wa mabaya?
Kungewezakana na ndiyo maana Malaika wao wanatii na wala hamuasi Mola,suala la uhuru wa kufanya mambo Allah ameliweka kwetu sisi wanadamu na majini basi.

Bali Allah angetaka sote tuamini hilo kwake jepesi sana,kama alivyosema katika Qur'aan.

99. Angeli taka Mola wako Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi. Je, wewe utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini?(Yunus :99)
 
Sasa nithibitishe vipi jambo ambalo lipo kwamba halipo ? Kama umekosa hoja na jambo limekushinda usipoteze muda.

Huwezi kunilazimisha niandike uongo haya ni matumizi mabaya ya akili. Yaani jambo ambalo nimekiri kwamba lipo,tena unaniambia nithibitishe kwamba halipo. Umepagawa nini ?
Kumbuka mimi nilikuambia uthibitishe miungu hiyo haipo na wewe ukasema unaweza kuthibitisha haipo

Unaweza kunionesha wapi nilikudai unipe uthibitisho wa kuonesha miungu hiyo ni ya uwongo?
 
Kungewezakana na ndiyo maana Malaika wao wanatii na wala hamuasi Mola,suala la uhuru wa kufanya mambo Allah ameliweka kwetu sisi wanadamu na majini basi.

Bali Allah angetaka sote tuamini hilo kwake jepesi sana,kama alivyosema katika Qur'aan.

99. Angeli taka Mola wako Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi. Je, wewe utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini?(Yunus :99)
Sasa kama iliwezekana kwanini hakufanya hivyo?
 
Nadhani wanaopinga uwepo wa Mungu wanashindwa kutumia akili zao vizuri. Mungu ni mkuu kuliko logical reasoning ya mwanadamu.

Huwezi uka reason kwa akili ya kibinadamu ukamuelewa Mungu 100%. Tunamjua Mungu kadri anavyojifunua kwetu ktk maandiko na mazingira yanayotuzunguka.

Ukikaa ukatulia na kuwaza vizuri utagundua tu kuwa yuko Mungu ijapokuwa haonekani kwa macho kwa sasa.
 
Asilimia90 ya atheists ni wakatoliki
Nasikia walipanda mlima kwa nguvu na juhudi ili wapate "aerial view " nzuri. Behold walipofika kileleni na kupiga jicho chini ,ukungu umetanda everywhere.
 
Mi naona wenginwa mapadre hata hawaamini Bali wapo kiugizaji.

Kuna mmoja niliwahi kumsikia akisema Kama kusoma amesoma Sana tena Sana na Ni kweli amesoma !
Yeye alisema kule kusema Kuna Moto was milele Ni fix, kule kusema Kuna mwisho wa dunia Ni fix.
Akasema pia hakuna sehemu kuliko na mbinguni au peponi , Bali mbinguni Ni Hali na sio mahali.

Na kwamba kitu kitakachomkuta roho ya mtu muovu Ni kutokumuona Mungu milele , hio ndio adhabu kwa wenye dhambi, na wema mbingu yao Ni kumuona Mungu tu.
Hayo alisema nje ya mahubiri ya kanisani, akiwa kanisani anazungumza kinyume!

Mbona yuko sahihi na ndo nnavyoamini mimi na wala si padri au mkatoliki..we unaamini mbinguni ni huko kwenye mawingu kweli mkuu?kama wewe ni mkristo kapitie the gospel of thomas.
 
Back
Top Bottom