Sijui uhalisia ni niniuhalisia ni nini?
unaujuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui uhalisia ni niniuhalisia ni nini?
unaujuaje?
Sijui.Sasa kama iliwezekana kwanini hakufanya hivyo?
kiuhalisia Mungu yupo? au yupo ki nadharia?..Hili huwa unauliza mara kwa mara na jibu langu unalijua.
Naangalia uhalisia.
Kwamba hicho ulichoandika kimeandikwa na huyo uliye mnasibisha kwacho.nithibitishe nini?
kwani hiyo quote hujaiona?
Uhalisia.kiuhalisia Mungu yupo? au yupo ki nadharia?..
hayo maandiko kaandika nani?.. Unahisi yesu atakua anajua kua kuna biblia? au Muhammad ataweza kuisoma Qur an bila msaada mtu??Nadhani wanaopinga uwepo wa Mungu wanashindwa kutumia akili zao vizuri. Mungu ni mkuu kuliko logical reasoning ya mwanadamu.
Huwezi uka reason kwa akili ya kibinadamu ukamuelewa Mungu 100%. Tunamjua Mungu kadri anavyojifunua kwetu ktk maandiko na mazingira yanayotuzunguka.
Ukikaa ukatulia na kuwaza vizuri utagundua tu kuwa yuko Mungu ijapokuwa haonekani kwa macho kwa sasa.
Nini hicho ambacho nimeandika?Kwamba hicho ulichoandika kimeandikwa na huyo uliye mnasibisha kwacho.
hivi unaelewa hiyo quote haijaandikwa na mimi bali sndanguja?Nini hicho ambacho nimeandika?
Hata kwa mujibu wa kuran ambayo haijaacha kitu?Sijui.
Sijui.Hata kwa mujibu wa kuran ambayo haijaacha kitu?
naomba tafsiri yako ya uhalisiaUhalisia.
Yap hiyo ni nukuu yangu ila ile nukuu ya capital kubwa sio yanguhivi unaelewa hiyo quote haijaandikwa na mimi bali sndanguja?
Kawaulize masheheSijui.
Ni kauli au kitendo kuafikiana na ukweli.naomba tafsiri yako ya uhalisia
Poa.Kawaulize mashehe
Ndiyo uthibitishe sasa.Yap hiyo ni nukuu yangu ila ile nukuu ya capital kubwa sio yangu
Sasa nithibitishe nini?Ndiyo uthibitishe sasa.
Kwanza kabisa, kitu kuwa na mtengenezaji wake si lazima mtengenezaji wake awe Mungu.
Pili, dhana nzima ya kusema Mungu asiyeonekana yupo, kwa sababu kika kinachoonekana kina mtengenezajinwake ni kichaa cha aina fulani.
Yani ni bora ungesema habari ya vitu vinavyoonekana kuhalalisha uwepo wa Mungu anayeonekana.
Zaidi, kudai kila kitu kinachoonekana kinq mtengenezaji wake, hujaongelea visivyoonekana.
Na unaonesha hujasoma Quantum Physics ambayo inavunja cause and effect.
Umeonesha ujinga wako.
Kilanga aamini chochote(super nature) na zaidi ye hataki kuamini, anataka KUJUA .Haya, ngoja tuone!
Msingi wako mzima wa kuuliza swali wa "nini kilikuwapo kabla ya big bang" unatokana na uzoefu wako wa sasa, ambao upo katika time.Wanasayansi karibia wote wanakubali kwamba sayansi inaweza kuelezea ulimwengu tangu tukio big bang tu na si zaidi ya hapo. Hata kilicho triger hiyo big bang bado ni mjadala mkubwa kati yao
Wanasayansi wachache kama Lawrence Krauss wameibuka na imani ya ulimwengu ulioubuka pasipo chanzo cha kitu chochote.
Naiita imani kwa sababu katika imani ndipo watu wanaamini ulimwengu uliombwa pasipo kuwepo na kitu chochote kwa kuanzia.
Hadi hapo sayansi itakapoweza kujibu swali la nini kilikuwepo kabla ya big bang na chanzo cha uhai ni nini dini na imani vitabaki vyanzo vikuu vya kujaza ombwe hilo.