yupo kichwani kwangu na hayo maneno kanituma niyasemeKwamba haya umesema wewe,basi ni jukumu lako kututhibitishia ya kuwa yeye amefanya hayo. Hayo aliyo yasema tunayapata wapi ?
Unaelewa maana ya nilivyosema kwamba Mungu hawezi tengeneza jambo likamshinda ?
Namaanisha kuwa anaweza kutengeneza jambo lolote ( whatever big it may be ),, na hawezi kushindwa kulimudu hilo jambo.... Umeelewa ?
kwa hiyo umekubali kua sndanguja yupo?Sasa kipi kilicho kupa ujasiri udai ya kuwa Mola hayupo,na huku unashindwa kuthibitisha. Tumekubali kwamba huwezi kuthibitisha basi tuambie kipi kimekupelekea ukanushe na je kwa mizani ipi imekupelekea wewe ukahitimisha ya kuwa Mola hayupo.
hivi unaelewa hiyo quote haijaandikwa na mimi bali sndanguja?Nimecheka sana,ndiyo maana huwa tunawaambia akili hamna.
Mola gani anatoa amri ya kutumiwa hela,huyu Mola dhaifu sana.
Kazi kweli kweli umeuliza namchukuliaje mtu wa aina hiyo na hapa nimeonyesha hivyo na nikakupa ufafanuzi juu ya hilo,kama umekiri kwamba natoa ufafanuzi hapa unajipinga mwenyewe kwa kauli yako ya kusema najibu ambacho hujaniuliza.Tulia usome kwa umakini mbona waongea mambo ambayo sijakuuliza.
Jibu no 1. Kama unamfahamu huyo mtu ambaye anasikia sauti kichwani au kama ni wewe hilo sio ishara njema ndugu ni mojawapo ya viashiria ya kuwa unapoteza, wahi hospitali kabla hujaanza kujibizana na hizo sauti
Jibu no 2. Sijakwambia kwamba ueleze mtu akiona mti unawaka moto bali nilitaka unieleze utamchukuliaje mtu anayekuambia kwamba kulikuwa na moto unawaka na hauunguzi. Sijui kama unanisoma
No 3. Bado unafanya mchezo wa kufafanua , mi nakuuliza swali we unaanza kufafanua ivyo ndo ulivyofundishwa huko shuleni. Nadhani nimedhihisha kwamba wewe ndio mkimbiaji maswali.
Hakuna haja ya kukimbia maswali papana nayo. Pia katika paragraph ya kwanza nashangaa upo confident kabisa ukisema mtu kachezewa na shetani yaani unaona ni point kabisa ya kuweka. Mbona una mawazo ya kizamani sana dunia ishapita zama za kumsingizia shetani. Mbona mambo yanaelezeka vizuri tu kutoka kwa matabibu wetu, kwa hilo inaonekana ni mtu usiyetaka kuwajibika yaani ukikamatwa ndo wale utasikia shetani kanipitia.
Thibitisha hilo. Sasa kitu kidogo kama hiki kinakushinda je kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola si muhali kwako ?!hivi unaelewa hiyo quote haijaandikwa na mimi bali sndanguja?
unaweza kuthibitisha sndanguja hayupo na ile quote sio yake?
Kutii na kufaulu na hatimae kulipwa pepo.Yaepukwe ili iweje?
Bado swali liko pale pale. Ni criteria gani unazoangalia kujua ukweli wa hoja?Siyo lazima unishawishi sababu hata uongo unashawishi na kumfanya mtu akaamini uongo kwamba ni kweli. Wewe andika yaliyo ya kweli basi.
Maana yake unaposema Mola hayupo ni kwamba unajua hayupo na unao ushahidi wa kuonyesha kwamba hayupo.
Ili ujue umenielewa vibaya au la,jibu swali nililo kuuliza.
nithibitishe nini?Thibitisha hilo. Sasa kitu kidogo kama hiki kinakushinda je kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola si muhali kwako ?!
Sasa nithibitishe vipi jambo ambalo lipo kwamba halipo ? Kama umekosa hoja na jambo limekushinda usipoteze muda.ulitakiwa uthibitishe hiyo miungu haipo ili tujue kweli inawezekana
Wewe umeonesha kukubali kua miungu hiyo ipo ila umekanusha hiyo miungu sio ya kweli kitu ambacho hukutakiwa kufanya
Thibitisha hiyo miungu haipo
kwani kutii kusingewezekana bila uwepo wa mabaya?Kutii na kufaulu na hatimae kulipwa pepo.
Hili huwa unauliza mara kwa mara na jibu langu unalijua.Bado swali liko pale pale. Ni criteria gani unazoangalia kujua ukweli wa hoja?
Kungewezakana na ndiyo maana Malaika wao wanatii na wala hamuasi Mola,suala la uhuru wa kufanya mambo Allah ameliweka kwetu sisi wanadamu na majini basi.kwani kutii kusingewezekana bila uwepo wa mabaya?
Kumbuka mimi nilikuambia uthibitishe miungu hiyo haipo na wewe ukasema unaweza kuthibitisha haipoSasa nithibitishe vipi jambo ambalo lipo kwamba halipo ? Kama umekosa hoja na jambo limekushinda usipoteze muda.
Huwezi kunilazimisha niandike uongo haya ni matumizi mabaya ya akili. Yaani jambo ambalo nimekiri kwamba lipo,tena unaniambia nithibitishe kwamba halipo. Umepagawa nini ?
uhalisia ni nini?Hili huwa unauliza mara kwa mara na jibu langu unalijua.
Naangalia uhalisia.
Sasa kama iliwezekana kwanini hakufanya hivyo?Kungewezakana na ndiyo maana Malaika wao wanatii na wala hamuasi Mola,suala la uhuru wa kufanya mambo Allah ameliweka kwetu sisi wanadamu na majini basi.
Bali Allah angetaka sote tuamini hilo kwake jepesi sana,kama alivyosema katika Qur'aan.
99. Angeli taka Mola wako Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi. Je, wewe utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini?(Yunus :99)
Nasikia walipanda mlima kwa nguvu na juhudi ili wapate "aerial view " nzuri. Behold walipofika kileleni na kupiga jicho chini ,ukungu umetanda everywhere.Asilimia90 ya atheists ni wakatoliki
Mbona yuko sahihi na ndo nnavyoamini mimi na wala si padri au mkatoliki..we unaamini mbinguni ni huko kwenye mawingu kweli mkuu?kama wewe ni mkristo kapitie the gospel of thomas.Mi naona wenginwa mapadre hata hawaamini Bali wapo kiugizaji.
Kuna mmoja niliwahi kumsikia akisema Kama kusoma amesoma Sana tena Sana na Ni kweli amesoma !
Yeye alisema kule kusema Kuna Moto was milele Ni fix, kule kusema Kuna mwisho wa dunia Ni fix.
Akasema pia hakuna sehemu kuliko na mbinguni au peponi , Bali mbinguni Ni Hali na sio mahali.
Na kwamba kitu kitakachomkuta roho ya mtu muovu Ni kutokumuona Mungu milele , hio ndio adhabu kwa wenye dhambi, na wema mbingu yao Ni kumuona Mungu tu.
Hayo alisema nje ya mahubiri ya kanisani, akiwa kanisani anazungumza kinyume!
Mi naona wenginwa mapadre hata hawaamini Bali wapo kiugizaji.
Kuna mmoja niliwahi kumsikia akisema Kama kusoma amesoma Sana tena Sana na Ni kweli amesoma !
Yeye alisema kule kusema Kuna Moto was milele Ni fix, kule kusema Kuna mwisho wa dunia Ni fix.
Akasema pia hakuna sehemu kuliko na mbinguni au peponi , Bali mbinguni Ni Hali na sio mahali.
Na kwamba kitu kitakachomkuta roho ya mtu muovu Ni kutokumuona Mungu milele , hio ndio adhabu kwa wenye dhambi, na wema mbingu yao Ni kumuona Mungu tu.
Hayo alisema nje ya mahubiri ya kanisani, akiwa kanisani anazungumza kinyume!