Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kilanga aamini chochote(super nature) na zaidi ye hataki kuamini, anataka KUJUA .
Uchawi, vibweng'o, majini kwake ni HEKEYA tu, hakuna anaeweza kuthibitisha kwamba vipo.
Umenisoma vizuri, umetoa muhtasari mzuri.

Ila jina ni Kiranga, si Kilanga.
 
Kupinga uwepo wa Mungu kwa fikra na akili za kibinadamu ambazo zimeshindwa kugundua zaidi ya 80% ya viumbe vya baharini na bahari kwa ujumla ni upumbavu mmoja mkubwa sana haijalishi wewe ni mwana falsafa au La!
 
Kweli asee kuna jamaa nilisoma nae alikuwa TYCS muhumini mzuri sana! Amekuja kuwa atheist mwenye misimamo ya hali ya juu! What's behind being a roman catholic then suddenly an atheist?
Freedom.
Kanisa Katoliki linaamini katika UHURU.

Unaoneshwa a b c halafu unapewa uhuru wa ku practice au hata kuishi utakavyo.

Sasa:

UHURU unatabia ya kufanya mtu ajisahau au asikumbuke hatua uzopitia kufika alipo.

Chukua mfano wa Mwanamke aliyezaliwa kijijini akiwa na taabu nyingi sana.
HAWEZI hata kujifanyia usafi binafsi kutokana na UMASIKINI..

SASA apate kuolewa na Mwanaume tajiri sana.

Atabadilika hapo hapo na ataaminisha watu kwamba maisha ya Shida hayajawahi kuwa sehemu ya maisha yake....

But hiyu akiminywa tena kidogo utakuta anakimbilia tena kumlilia Mungu.

Atheist wengi ni wale waliozaliwa wakakuta mambo yamenyooka.
Au wale wiojiendeleza na kufanikiwa sana na akili ikiwatuma wao ndo chanzo cha mafanikio...

China-wengi ni Atheist...lakini Mmoja akijikwaa kidole gumba na kucha ikatoka tote,KWA VYOVYOTE VILE NA CHOCHOTE KILE ATAKOCHOTAMKA KINAMAANISHA MUNGU.

Au akilia machozi....ndani ya nafasi yake anamaanisha MUNGU.

So kimsingi Atheist is verbal at normal but happy life and impractical when one doesn't know the possibility of survival at the next minute of his or her life.
 
Sasa nithibitishe nini?

Unaweza kuthibitisha ile quote ya mwisho sio ya sndanguja?
Kuna muda kujadiliana na wewe ni kama najadiliana na mtoto ambaye ana matatizo ya akili.

Nimekwambia thibitisha ya kuwa ya maneno ya herufi kubwa ni ya sndanguja. Unaniuliza tena swali uthibitishe nini,lakini hilo halitoshi unakuja tena kuuliza swali kwamba naweza kuthibitisha kwamba ile quote ya sndanguja ? Unatakiwa ukue,huyo ni wewe ndiye unaye dai kuwa ni mungu,mimi simjui ndiyo maana nahoji. Sasa hili ni jukumu lako.

Nasubiri ithibati.
 
Akikujibu nistue.
 
"Katika universe yetu hii, from the perspective of a ray of light moving at the speed of light in a vacuum, time is standing still."

[emoji121] Hapo, unajua speed of light ni approximately 3×10^8 m/s? Unajua hiyo per second inamaanisha nini ?

Time inakuwaje stand still? Na wakati ray of light ina occupy a certain distance at a certain period?

N ulivyoongelea stan still ni kwa frame ipi of refference?

N.b
Ninesoma quantum physic, relativity (both special and general).

Also usichokijua tu ni kwamba universe pia ina expand at a speed greater than the speed of light.
 
Speed ya light ni 3 x 10^8/s kwa observer anayeiangalia ray of ligh, kama wewe na mimi.

Kutoka kwa perspective ya ray of light, per relativistic calculations, if a ray of light had consciousness, moving at that speed (speed of electromagnetic waves in a vacuum), the universe would appear timeless.

From the perspective of a ray of light, time stands still.

If you are familiar with relativity, per relativity, the more you approach the speed of light, the more you slow down the passage of time (time dilation).In a purely theoretical thought experiment, if you were able to reach the speed of light, time would stand still.

From there, moving faster than the speed of light is similar to moving backwards in time.

For a photon moving at the speed of light, it is equally valid to say that time does not exist or distance does not exist, it is everywhere along it's path at once.

Hapa wameelezea kwa mfano mzuri wa kutafuta muda unaochukuliwa na photon kutoka kwenye jua mpaka duniani, kutoka kwenye perspective ya photon.


Also see

 
Umeniambia nisichokijua ni kwamba universe ina expand at a speed faster than that of light/

Kwanza sijui umejuaje sijui hili, halafu sielewi relevance yake, halafu, hii dhana ina makosa.

The expansion of the universe does not have a speed, it has speed per unit distance (km/sec/Megaparsec) which is frequency, you can't compare that to the speed of light which is simple speed (km/s)

See Ask Ethan: How Does The Fabric Of Spacetime Expand Faster Than The Speed Of Light?

"...But space itself is expanding, and that accounts for the overwhelming majority of the redshift we see. And space doesn't expand at a speed; it expands at a speed-per-unit-distance: a very different kind of rate. When you see numbers like 67 km/s/Mpc or 73 km/s/Mpc (the two most common values that cosmologists measure), these are speeds (km/s) per unit distance (Mpc, or about 3.3 million light-years).'
 
This is a super understanding!
Time doesn't exist exactly as you put it brother.

Eventually nothing is moving faster than the one standing still.

The stone or a Rock is moving so fast but yet standing still.

In this knowledge,one can explore quite a lot.

Actually eyes see every thing in opposite....


No wonder why people thinks that you are an Atheist....In contrary you are the believer at best!!

Congratulations Kiranga
 
Sasa unataka uthibitisho gani wakati maneno yale ndo yamesimama kama uthibitisho wenyewe?

Kwa hiyo unataka kusema yale maneno ni yangu?

Unaweza kuthibitisha yale maeno sio ya sndanguja?

Uthibitisho mwingine kutilia mkazo kua yale ni maneno yake namuachia line ya mwisho aandike tena

MIMI SNDANGUJA MUUMBA WAKO NATHIBITISHA KUA ILE NUKUU NI YANGU
 
Sasa unataka uthibitisho gani wakati maneno yale ndo yamesimama kama uthibitisho wenyewe?
Maneno yale hayajasimama kama uthibitisho sababu wewe umenukuu,na ukasema ni maneno ya fulani. Sasa ni juu yako kututhibitishia hilo. Usipoteze muda.
Kwa hiyo unataka kusema yale maneno ni yangu?
Nimekwambia uthibitishe sababu sijui ya nani ila umeandika wewe. Sasa usiulize maswali ya kitoto na kukimbia swali.
Unaweza kuthibitisha yale maeno sio ya sndanguja?
Unarudia ujinga ule ule na kupoteza muda.

Ungeuliza swali endapo ningekuwa nimekanusha juu ya hilo,ila nimehoji na kutaka ushahidi kwanza kutokana na kile kilichomo katika maneno hayo.

Sasa kama unaleta mzaha katika mambo yanayo hitaji umakini wa hali ya juu,hapa hakuna pa kutokea. Weka ithibati ya kwamba hayo maneno ni ya huyo uliyemtaja na uonyeshe uwezekano huo yaani uhalisia.
Uthibitisho mwingine kutilia mkazo kua yale ni maneno yake namuachia line ya mwisho aandike tena

MIMI SNDANGUJA MUUMBA WAKO NATHIBITISHA KUA ILE NUKUU NI YANGU
Naona unazidi kuthbitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili na hiki ulichokiandika huna ushahidi nao.

Sasa cheza vizuri usichafuke usije kuchapwa na mkubwa wako.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Maneno yale hayajasimama kama uthibitisho sababu wewe umenukuu,na ukasema ni maneno ya fulani. Sasa ni juu yako kututhibitishia hilo. Usipoteze muda.
kwani kipi kigezo kinachofanya maneno yaliyo nukuliwa yasiwe utibitisho?
 
Nimekwambia uthibitishe sababu sijui ya nani ila umeandika wewe. Sasa usiulize maswali ya kitoto na kukimbia swali.
unaweza kuthibitisha kua yale maneno nimeandika mimi?
 
Unarudia ujinga ule ule na kupoteza muda.

Ungeuliza swali endapo ningekuwa nimekanusha juu ya hilo,ila nimehoji na kutaka ushahidi kwanza kutokana na kile kilichomo katika maneno hayo.
ushahidi ni quote iliyoandikwa kwa capital kubwa, huo ndio ushahidi kuonesha sndanguja yupo na ndo aliyeandika hiyo line

Ukisema huo sio ushahidi unatakiwa uthibitishe kwanini huo usiwe ushahidi, kwakua quote ile ilikua inaushahidi wa kuonesha sndanguja yupo nawe umepinga kua sio ushahidi itakubidi pia uthibitishe sndanguja hayupo
 
Naona unazidi kuthbitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili na hiki ulichokiandika huna ushahidi nao.

Sasa cheza vizuri usichafuke usije kuchapwa na mkubwa wako.

Kazi yangu nimemaliza.
hii ni dalili njema inayoonesha umeridhika na uthibitisho aliokupa sndanguja
 
Kazi yangu nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…