Niko sahihi sababu hujaonyesha ukweli wa hicho unacho nadai na kama ungekuwa mkweli ule utoto usinge ufanya sababu unajua unafanya utoto.Unaanzaje kumkosoa mtu kuonesha hayuko sahihi kwa kujitanabaisha kwamba wewe ndio uko sahihi kwa kitu ambacho umekiri kua haukijui maana yake?
kivipi uwe sahihi na wakati hujui keypoint ya hoja yako ina maana gani, na umekiri kua haujui?Niko sahihi sababu hujaonyesha ukweli wa hicho unacho nadai na kama ungekuwa mkweli ule utoto usinge ufanya sababu unajua unafanya utoto.
Lakini jambo langu si kama lako sababu langu lina chain.
Huwa najiuliza hivi huwa unasoma ninacho kiandika ? Jibi lipo kwenye aya hizo hizo,ndiyo maana kuna "challange" humo.kabla ya yote unathibitisha vipi kua hizo ni nukuu za Allah na sio kwamba ni mtu tu kaandika kua "Allah mtukufu akasema"
Ndiyo maana nikakutaka uthubitishe na uniambie huyo ni nani,lakini hukufanya hivyo,na mimi lengo langu na kazi yangu ikawa imeisha yaani nimemaliza.kivipi uwe sahihi na wakati hujui keypoint ya hoja yako ina maana gani, na umekiri kua haujui?
Unajuaje katika mambo ambayo binadamu hawezi kufanya sio pamoja na kuthibitisha Mungu yupo kwasababu hayupo?Huwa najiuliza hivi huwa unasoma ninacho kiandika ? Jibi lipo kwenye aya hizo hizo,ndiyo maana kuna "challange" humo.
Kuna mambo mwanadamu hawezi kufanya ndiyo maana aya zika wazi jambo hilo.
Kadhalika kuna chain na ushahidi wa kihistoria juu jambo hilo.
Akili ikitafakari lazima itadai uthibitisho ku verify kama kweli hayo ni maneno ya Allah.Lakini akili tu ikitafakari hicho kilicho andikwa lazima ikubali ya kuwa hayo ni maneno ya Allah.
hiyo link ndiyo ina jibu lako probably kama unatumia freebasics umeshindwa ku access hiyo sourceUnanipa shaka kuhusiana na elimu yako na uelewa wako kama hilo ndo jibu lako...
Qur'an ni maandiko ya nani ?... Mbona swali lipo clear kbs
Unataka nikiri kwa shurti bila uthibitisho?Sasa ibaki wewe kukubali ila kukiri lazima ukiri,hata wapinzani wa zamani walikuwa wamewazidi nyinyi kwa mengi sana,walikuwa na maarifa,walikuwa wajuzi wa lugha,walikuwa wanakiri ila hawataki kufata sababu walikuwa wanayatafakari maneno hayo. Sasa nyinyi wa leo hamna vyote hivyo. Ndiyo maana hata tukiwapa shahidi elfu hamzikubali na hoja hamna.
Sasa natarajia ukija uje na ukosoaji na usahihi wa mambo,ila baada ya kuzifanyia kazi hizo aya.
Kumbe wanasayansi wamegundua juzi,, Allah alishasema hayo kwenye Qur'an zaidi ya miaka 1400 iliyopita...Umeniambia nisichokijua ni kwamba universe ina expand at a speed faster than that of light/
Kwanza sijui umejuaje sijui hili, halafu sielewi relevance yake, halafu, hii dhana ina makosa.
The expansion of the universe does not have a speed, it has speed per unit distance (km/sec/Megaparsec) which is frequency, you can't compare that to the speed of light which is simple speed (km/s)
See Ask Ethan: How Does The Fabric Of Spacetime Expand Faster Than The Speed Of Light?
"...But space itself is expanding, and that accounts for the overwhelming majority of the redshift we see. And space doesn't expand at a speed; it expands at a speed-per-unit-distance: a very different kind of rate. When you see numbers like 67 km/s/Mpc or 73 km/s/Mpc (the two most common values that cosmologists measure), these are speeds (km/s) per unit distance (Mpc, or about 3.3 million light-years).'
Nithibitishe vipi wakati wewe mwenyewe ulikiri kua haujui?Ndiyo maana nikakutaka uthubitishe na uniambie huyo ni nani,lakini hukufanya hivyo,na mimi lengo langu na kazi yangu ikawa imeisha yaani nimemaliza.
Kitu kingine ukiwa huna hoja ni bora ukatulia,kuliko kuandika mambo ambayo huwezi kuyajengea hoja.
Nipo ....
Scars niambie nani aliandika hayo maneno kwenye Qur'an kuhusiana na expansion of universe zaidi ya miaka 1400 iliyopita ....Kumbe wanasayansi wamegundua juzi,, Allah alishasema hayo kwenye Qur'an zaidi ya miaka 1400 iliyopita...
Hv nyie mnatumia akili zenu kweli ?
One of the most subtle discoveries in science concerns the expansion of universe, its
tendency constantly to extend its boundaries. This was something completely unknown to
the human being until the last century. This mystery is, however, mentioned by the Qur’an
in the following terms, which again bear witness to its remarkable profundity when
discussing such matters:
“We created the heavens with Our strength and power, and constantly expand
them”. (51:47)
Mkinga umepotea [emoji1751]Hawakawii kunizushia nimetoka na dada zao hawa.
hiyo link nilioyokupa umeiona?Liko wapi hilo jibu,, Ebu copy and paste hapa tuone hilo jibu
Kwanini nikatae kama ukiLeta jibu na uthibitisho sahihi ( valid proof ) ?
Qur'an ni maandiko ya nani ?
Hili swali ndo dawa yenu aisee,, hamchomoki
Scars niambie nani aliandika hayo maneno kwenye Qur'an kuhusiana na expansion of universe zaidi ya miaka 1400 iliyopita ....
Qur'an ni maandiko ya nani ?
Hv mnatumia akili zenu kweli nyie Atheist ?
Nigga are you blind?Nimeiona na nimeifungua lakini sijaona jibu lolote kuhusiana na swali langu..
Ndo maana nikakwambia copy and paste hilo jibu utume humu,, yawezekana simu ina matatizo haijanionesha hilo jibu..
Haya nasubiri jibu..
tatizo lako la macho limekufanya ukatae majibu ambayo ukipewa huyaoniUnakana uwepo wa Mungu, halafu huwezi kujibu swali dogo hilo ?
Jitafakari sana aisee...
nitakua na hakika gani kua nikikuhakikishia utaliona jibu?Kwanza kbs nihakikishie kwamba jibu lipo kwenye ile link
Kumamoto Japan uko mkuu kiranga,,Elimu ni nini kwanza?
Socrates alisoma shule gani?
Mimi nimesoma Kumamoto, nikamalizia Surabaya, unapajua Kumamoto na Surabaya?