Huelewi kwamba ukishasema yuko beyond space and time tayari ushamlocate beyond space and time?Kwa sababu wewe mwenyewe umeweza kuli'locate' kuwa liko Mlima Kilimanjaro (kama kweli lipo). Mungu huwezi kum'locate' kwa sababu he's beyond space and time.
Safi sana mkuu umejibu vizuri sana, nilicho note kwenye maelezo yako haya ni kwamba sayansi ni wigo mpana inawezekana inawezekana kuna mengine huyajui vizuri. Sasa tuendeleeSijajua umeichukua hiyo definition na kuipima katika angle ipi, ila nachoweza kusema ni tofauti kabisa na kusudi langu
Sayansi ni wigo mpana kusema tu nina knowledge ya sayansi in general nitakua najihukumu mwenyewe kwa kujifungia uzio kua hakuna kilichopo katika sayansi sikijui, hivyo kusema sayansi ni knowledge hakuna maana kua ni mjuzi wa sayansi kiujumla, kwasababu yapo mengi yahusuyo sayansi ambayo siyajui
Mungu gani ambaye unamzungumzia hapa kua huwezi kum locate?Kwa sababu wewe mwenyewe umeweza kuli'locate' kuwa liko Mlima Kilimanjaro (kama kweli lipo). Mungu huwezi kum'locate' kwa sababu he's beyond space and time.
Sijui asili ya ulimwengu ni nini, hata hivyo hainifanyi nisijue jibu la uwongo endapo nikilionaSafi sana mkuu umejibu vizuri sana, nilicho note kwenye maelezo yako haya ni kwamba sayansi ni wigo mpana inawezekana inawezekana kuna mengine huyajui vizuri. Sasa tuendelee
Wewe ni Atheist kama ulivyojitambulisha na unasema huamini uwepo wa Mungu (muumbaji wa ulimwengu) unaweza kuniambia asili ya huu ulimwengu ulianzaje anzaje kwa kila kitu (formation of all matters in the universe)?
Unajuaje kwamba jibu unalopewa ni la uongo ?Sijui asili ya ulimwengu ni nini, hata hivyo hainifanyi nisijue jibu la uwongo endapo nikiliona
Kila kilichopo wapi ?Lakini pia hiyo inakuja endapo uki assume kua kila kilichopo lazima kiwe na chanzo
Nini kimekufanya ufikiri kua ulimwengu ni lazima uwe na chanzo?
Kwani haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
Umejibu vizuri hujui asili ya ulimwengu ni nini, kwa nukuu hiyo nahitaji kukujuza zaidi. Je upo tayari kujua asili ya ulimwengu?Sijui asili ya ulimwengu ni nini, hata hivyo hainifanyi nisijue jibu la uwongo endapo nikiliona
Lakini pia hiyo inakuja endapo uki assume kua kila kilichopo lazima kiwe na chanzo
Nini kimekufanya ufikiri kua ulimwengu ni lazima uwe na chanzo?
Kwani haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
nipo tayari ila nami nitakuhoji kwenye hayo maelezo yako je upo tayari kunipa ushirikiano?Umejibu vizuri hujui asili ya ulimwengu ni nini, kwa nukuu hiyo nahitaji kukujuza zaidi. Je upo tayari kujua asili ya ulimwengu?
Makinika vizuri na hoja zangu hakuna sehemu nimeandika "kitu" sitaki baadaye uanze ku twist maneno kua jambo fulani sio kitu hivyo halina chanzoYes haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo. ili kitu kiwepo ni lazima kiundwe/kiumbwe.
Unalazimisha kwamba yeye mweyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.Najua Mungu ndie kaumba kwa sababu yeye pekee ndie mwenye UWEZO WA KUUMBA HIVYO.
Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)Huelewi kwamba ukishasema yuko beyond space and time tayari ushamlocate beyond space and time?
we nilisha kuambia ukipona macho uniambie ili tuendelee na mjadala, siwezi kupoteza muda kurudia kuweka hoja hapa mara mbili mbili mpaka link nakuwekea afu we unasema huoniUnajuaje kwamba jibu unalopewa ni la uongo ?
Kila kilichopo wapi ?
Ndio kila kilichopo lazima kiwe na chanzo, wewe unaweza kuniambia ambavyo havina chanzo?nipo tayari ila nami nitakuhoji kwenye hayo maelezo yako je upo tayari kunipa ushirikiano?
Makinika vizuri na hoja zangu hakuna sehemu nimeandika "kitu" sitaki baadaye uanze ku twist maneno kua jambo fulani sio kitu hivyo halina chanzo
Narudia tena kuuliza
Kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo?
ukishasema kua yupo katika ulimwengu usio onekana huwezi ukasema hana location wakati tushajua kua yupo ulimwengu usioonekana. Though nalo linaibua maswali mengine, umejuaje kua yupo kwenye ulimwengu huo?Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)
Silazimishi kwamba yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, BALI HUO NDIO UKWELI WENYEWE.Unalazimisha kwamba yeye mweyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.
Yani unaanza na jibu kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.
Halafu ukiulizwa unajuaje Mungu yupo, unajibu kwa sababu Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.
This is cyclical logic.
Unajuaje kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, na kwamba habari hizo si za kutungwa na watu tu?
Kama kila kilichopo kina chanzo, nawewe unasema Mungu yupo ebu niambie chanzo chake ni nini? na hicho chanzo kiwe na chanzo na muendelezo uendelee hivyo hivyoNdio kila kilichopo lazima kiwe na chanzo, wewe unaweza kuniambia ambavyo havina chanzo?
ulimwengu usioonekana upo, hatuwezi kumlocate katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)ukishasema kua yupo katika ulimwengu usio onekana huwezi ukasema hana location wakati tushajua kua yupo ulimwengu usioonekana. Though nalo linaibua maswali mengine, umejuaje kua yupo kwenye ulimwengu huo?
Ulimwengu usio onekana upo au haupo?
Kama upo basi hiyo ni location alipo Mungu
Kama haupo (hadithi tu) basi hata Mungu hayupo
Mungu yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo kwa maana ya ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter) na ulimwengu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)Kama kila kilichopo kina chanzo, nawewe unasema Mungu yupo ebu niambie chanzo chake ni nini? na hicho chanzo kiwe na chanzo na muendelezo uendelee hivyo hivyo
upo wapi?ulimwengu usioonekana upo, hatuwezi kumlocate katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)
Upo beyond time, space and matter ya ulimwengu tuliopo. hivyo hauthibitishiki. Wewe unaweza kunithibitishia kwa kunionesha physically upendo, hisia au homoni vinaonekanaje?upo wapi?
unathibitishaje kua upo?
Hiyo ni fallacy of special pleadingMungu yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo kwa maana ya ulimwengu usioonekana kwa mcho(unlimited to time, space and matter) na ulimwengu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)
HIVYO MUNGU HANA CHANZO BALI YEYE NDIYE CHANZO CHA KILA KILICHOPO
beyond time ndio wapi huko?Upo beyond time, space and matter ya ulimwengu tuliopo. hivyo hauthibitishiki. Wewe unaweza kunithibitishia kwa kunionesha physically upendo au hisia unaonekanaje?