Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kwa sababu wewe mwenyewe umeweza kuli'locate' kuwa liko Mlima Kilimanjaro (kama kweli lipo). Mungu huwezi kum'locate' kwa sababu he's beyond space and time.
Huelewi kwamba ukishasema yuko beyond space and time tayari ushamlocate beyond space and time?
 
Sijajua umeichukua hiyo definition na kuipima katika angle ipi, ila nachoweza kusema ni tofauti kabisa na kusudi langu

Sayansi ni wigo mpana kusema tu nina knowledge ya sayansi in general nitakua najihukumu mwenyewe kwa kujifungia uzio kua hakuna kilichopo katika sayansi sikijui, hivyo kusema sayansi ni knowledge hakuna maana kua ni mjuzi wa sayansi kiujumla, kwasababu yapo mengi yahusuyo sayansi ambayo siyajui
Safi sana mkuu umejibu vizuri sana, nilicho note kwenye maelezo yako haya ni kwamba sayansi ni wigo mpana inawezekana inawezekana kuna mengine huyajui vizuri. Sasa tuendelee

Wewe ni Atheist kama ulivyojitambulisha na unasema huamini uwepo wa Mungu (muumbaji wa ulimwengu) unaweza kuniambia asili ya huu ulimwengu ulianzaje anzaje kwa kila kitu (formation of all matters in the universe)?
 
Kwa sababu wewe mwenyewe umeweza kuli'locate' kuwa liko Mlima Kilimanjaro (kama kweli lipo). Mungu huwezi kum'locate' kwa sababu he's beyond space and time.
Mungu gani ambaye unamzungumzia hapa kua huwezi kum locate?

Huyo Mungu ni kutoka dini gani?

Ni huyu aishie mbinguni kwenye kiti cha enzi?

Ni huyu ambaye yuko kila mahali "omnipresent"?

Mathayo 18:20​

Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao
 
Safi sana mkuu umejibu vizuri sana, nilicho note kwenye maelezo yako haya ni kwamba sayansi ni wigo mpana inawezekana inawezekana kuna mengine huyajui vizuri. Sasa tuendelee

Wewe ni Atheist kama ulivyojitambulisha na unasema huamini uwepo wa Mungu (muumbaji wa ulimwengu) unaweza kuniambia asili ya huu ulimwengu ulianzaje anzaje kwa kila kitu (formation of all matters in the universe)?
Sijui asili ya ulimwengu ni nini, hata hivyo hainifanyi nisijue jibu la uwongo endapo nikiliona

Lakini pia hiyo inakuja endapo uki assume kua kila kilichopo lazima kiwe na chanzo

Nini kimekufanya ufikiri kua ulimwengu ni lazima uwe na chanzo?

Kwani haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
 
Unajuaje kwamba jibu unalopewa ni la uongo ?

Kila kilichopo wapi ?
 
Umejibu vizuri hujui asili ya ulimwengu ni nini, kwa nukuu hiyo nahitaji kukujuza zaidi. Je upo tayari kujua asili ya ulimwengu?

Yes haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo. ili kitu kiwepo ni lazima kiundwe/kiumbwe.
 
nipo tayari ila nami nitakuhoji kwenye hayo maelezo yako je upo tayari kunipa ushirikiano?

Makinika vizuri na hoja zangu hakuna sehemu nimeandika "kitu" sitaki baadaye uanze ku twist maneno kua jambo fulani sio kitu hivyo halina chanzo

Narudia tena kuuliza

Kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo?
 
Najua Mungu ndie kaumba kwa sababu yeye pekee ndie mwenye UWEZO WA KUUMBA HIVYO.
Unalazimisha kwamba yeye mweyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.

Yani unaanza na jibu kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.

Halafu ukiulizwa unajuaje Mungu yupo, unajibu kwa sababu Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.

This is cyclical logic.

Unajuaje kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, na kwamba habari hizo si za kutungwa na watu tu?
 
Huelewi kwamba ukishasema yuko beyond space and time tayari ushamlocate beyond space and time?
Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)
 
Unajuaje kwamba jibu unalopewa ni la uongo ?

Kila kilichopo wapi ?
we nilisha kuambia ukipona macho uniambie ili tuendelee na mjadala, siwezi kupoteza muda kurudia kuweka hoja hapa mara mbili mbili mpaka link nakuwekea afu we unasema huoni

Sitakujibu tena baada ya hii post vinginevyo ukinihakikishia kua umepona hilo tatizo
 
nipo tayari ila nami nitakuhoji kwenye hayo maelezo yako je upo tayari kunipa ushirikiano?

Makinika vizuri na hoja zangu hakuna sehemu nimeandika "kitu" sitaki baadaye uanze ku twist maneno kua jambo fulani sio kitu hivyo halina chanzo

Narudia tena kuuliza

Kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo?
Ndio kila kilichopo lazima kiwe na chanzo, wewe unaweza kuniambia ambavyo havina chanzo?
 
Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)
ukishasema kua yupo katika ulimwengu usio onekana huwezi ukasema hana location wakati tushajua kua yupo ulimwengu usioonekana. Though nalo linaibua maswali mengine, umejuaje kua yupo kwenye ulimwengu huo?

Ulimwengu usio onekana upo au haupo?

Kama upo basi hiyo ni location alipo Mungu

Kama haupo (hadithi tu) basi hata Mungu hayupo
 
Unalazimisha kwamba yeye mweyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.

Yani unaanza na jibu kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.

Halafu ukiulizwa unajuaje Mungu yupo, unajibu kwa sababu Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo.

This is cyclical logic.

Unajuaje kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, na kwamba habari hizo si za kutungwa na watu tu?
Silazimishi kwamba yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, BALI HUO NDIO UKWELI WENYEWE.

Yaani sio kwamba nalazimisha bali uwezo wa kuumba hivyo ana MUNGU PEKEE

Najuaje kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, najua kwasababu ni yeye pekee ndiye anaweza kuumba hivyo.
 
Ndio kila kilichopo lazima kiwe na chanzo, wewe unaweza kuniambia ambavyo havina chanzo?
Kama kila kilichopo kina chanzo, nawewe unasema Mungu yupo ebu niambie chanzo chake ni nini? na hicho chanzo kiwe na chanzo na muendelezo uendelee hivyo hivyo
 
ukishasema kua yupo katika ulimwengu usio onekana huwezi ukasema hana location wakati tushajua kua yupo ulimwengu usioonekana. Though nalo linaibua maswali mengine, umejuaje kua yupo kwenye ulimwengu huo?

Ulimwengu usio onekana upo au haupo?

Kama upo basi hiyo ni location alipo Mungu

Kama haupo (hadithi tu) basi hata Mungu hayupo
ulimwengu usioonekana upo, hatuwezi kumlocate katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)
 
Kama kila kilichopo kina chanzo, nawewe unasema Mungu yupo ebu niambie chanzo chake ni nini? na hicho chanzo kiwe na chanzo na muendelezo uendelee hivyo hivyo
Mungu yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo kwa maana ya ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter) na ulimwengu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)

HIVYO MUNGU HANA CHANZO BALI YEYE NDIYE CHANZO CHA KILA KILICHOPO
 
upo wapi?

unathibitishaje kua upo?
Upo beyond time, space and matter ya ulimwengu tuliopo. hivyo hauthibitishiki. Wewe unaweza kunithibitishia kwa kunionesha physically upendo, hisia au homoni vinaonekanaje?
 
Mungu yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo kwa maana ya ulimwengu usioonekana kwa mcho(unlimited to time, space and matter) na ulimwengu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter)

HIVYO MUNGU HANA CHANZO BALI YEYE NDIYE CHANZO CHA KILA KILICHOPO
Hiyo ni fallacy of special pleading

Nini chanzo cha Mungu?

ili kauli yako ya mwanzo isiwe na contradiction kua kila kilichopo lazima kiwe kina chanzo, basi Mungu naye anatakiwa awe na chanzo. Vinginevyo huo ni uwongo
 
Upo beyond time, space and matter ya ulimwengu tuliopo. hivyo hauthibitishiki. Wewe unaweza kunithibitishia kwa kunionesha physically upendo au hisia unaonekanaje?
beyond time ndio wapi huko?

Kama hauthibitishiki we umeujuaje?
 
Back
Top Bottom