Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Asee kama una vitabu vya aina hio kwa mfumo wa pdf naomba link
 
Umeandika kama vile huyo Kiranga kakimbia ushoga kanisani akajiunga na uislam, au ndo kutaka kubalance story? Maana umemuingiza mtu ambae hata hahusiki katika huu mjadala

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hujaona alichoandika Bin Mwamedi aitwaye Hamisi sio?

Najua nilipaswa kumzungumzia NUR WARSAME

Unamjua?
 
Huyu ni DAAIYE ABDULLAH, ni IMAMU Shoga mwenye msikiti wenye waumin wengi zaidi Marekani. Ni Imamu aliyejitangaza rasmi kuwa ni shoga

Unataka kuwafahamu Waislam wengine maarufu waliojitangaza kuwa ni Mashoga?

View attachment 1765166
Uislamu uko tofauti na dini zote dunia.Ukiacha maamrisho sahihi ya uislamu au ukafuata yaliokatazwa katika uislamu,hata ujiite ni muislamu,Automatic umeshatoka katika uislamu.Kwa hiyo huyo sio MUISLAM.
Nikupe mfano mdogo tu wa vyama vya siasa,ukienda kinyume na vyama hivyo unavyuliwa uanachama.Katika uislamu,unajivua Automatic,bila kikao chochote wala pendekezo lolote.
 
intrigued by this. well constructed claims to satisfy a proposition. still though, I think your motive to atheism as explained remains captious to me.
Notwithstanding this however, I see a true apologia of an atheist here.
 
Umeweza kufikia hatua ya " the no mind" become self.
Krishna muti, Alan wat na Osho wameeleza sana.
Ila mi naogopa hio hatua ya the no mind au delete the mind and become self.
Kufuta uchafu wote tuliopandikizwa na kubaki mwenyewe, je jambo hilo ni zuri, je halina athari ya kiakili, je wewe unakuwa mtu mwingine kabisa au unakuwa una ishi ktk duality.
 
Kuna kitu inaitwa cultural anthropology.Ni somo gumu lkn lina madini adimu.ulishawahi kupitapita humu!?
 
kilanga,nahisi kuwa ww ,ni padri.
 
Mi naona wenginwa mapadre hata hawaamini Bali wapo kiugizaji.

Kuna mmoja niliwahi kumsikia akisema Kama kusoma amesoma Sana tena Sana na Ni kweli amesoma !
Yeye alisema kule kusema Kuna Moto was milele Ni fix, kule kusema Kuna mwisho wa dunia Ni fix.
Akasema pia hakuna sehemu kuliko na mbinguni au peponi , Bali mbinguni Ni Hali na sio mahali.

Na kwamba kitu kitakachomkuta roho ya mtu muovu Ni kutokumuona Mungu milele , hio ndio adhabu kwa wenye dhambi, na wema mbingu yao Ni kumuona Mungu tu.
Hayo alisema nje ya mahubiri ya kanisani, akiwa kanisani anazungumza kinyume!
 
Kuna kitu inaitwa cultural anthropology.Ni somo gumu lkn lina madini adimu.ulishawahi kupitapita humu!?
Ukisoma cultural anthropology na ethnology, ukaangalia na history of the writing of the Bible kwa mfano, kutoka watu kama Dr. James Kugel, unaweza kuelewa vizuri kwamba Biblia si kitabu cha Mungu, ni kitabu cha Wayahudi waliokuwa wanajaribu kuelezea mwanzo wa taifa lao.

Na kwa kweli, kitabu cha Mwanzo hakielezei historia ya kuumbwa mtu wa kwanza Adam, kinaelezea historia ya mwanzo wa taifa la/ Utamaduni wa Wayahudi.

Sawasawa na sisi tunavyoweza kuandika historia na ngano hivyo hivyo kuhusu vyanzo vya makabila yetu.

Na hapo ndipo point ya hii thread inavyokuja.

Kuna watu waliwahi kuandika na kutuzidi kutangaza sehemu zao, wakazifanya ziwe takatifu.

Zamani Waarabu wa Arabia walikuwa wanasali kwa kuelekea Jerusalem, wakaona hu ujinga, tuache kuabudu Jerusalem, tuanze kusali kuelekea kwetu Mecca.

Sasa, huku Africa wengi bado tunaamini kwamba hizisehemu zina utakatifu wa Mungu, wakati hizi ni hadithi za kuwekwa na watu tu katika kutafuta majibu ya maswali magumu.

Kuna hiki kitabu nakipenda sana kimeongelea mengi sana.

Kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then and Now", kinagusa history of the Bible, cultural anthropology na theology.


How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
 

Attachments

Akili za Kiranga hazichunguziki mkuu, huyu ni miongoni mwa watu wenye uelewa na uwezo mkubwa sana wa kuchambua na kuelezea mambo kwa marefu na mapana, huku yote yakiwa kwa ufasaha.
Umemaliza kila kitu ,, wenye akili ndogo ndiyo Bado wanaendelea kuamini kuwa Kuna mungu na upumbavu mwingine
 
Mkuu 911 shukurani sana kwa kuweka kitabu hapa kwenye post namba 59.

Mimi sehemu iliyonifungua macho sana miaka kama 25 iliyopita ni hapo part 3 "The Problem of Evil" kuanzia page 143.

Sikumbuki ilikuwa ni edition gani ya kitabu hiki, lakini hiyo sehemu ilinifungua macho vizuri sana.
 
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.

Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters




My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Hatimaye kupatwa kwa Kiranga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…