Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hatujafika kwenye wewe kunieleza mimi niamini kwamba Mungu yupo, kwanza mimi sitaki kuamini nataka kujua.Ni kwa sababu sikujui nieleze vipi ndipo uweze kuamini kwamba yupo.
Swali nililokuuliza ni hili hapa.
Sasa unajuaje kwamba huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo wewe kwa ujinga wako tu, na kiukweli Mungu yupo, au huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo kwa sababu Mungu hayupo?
Hujajibu swali hili.
Umelielewa swali? Unaweza kulijibu?