Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.Mhu! Kukariri nadharia tu ni shida sana. Wewe ukiuliza swali unataka ujibiwe na linakuwa 'always relevant question'. Wengine wakiuliza, hawajaelewa na 'always wanauliza irrelevant questions au upumbavu'. Hapa tunalishwa matango pori.
Hapa ume assumeNdio ni lazima ni lazima ni lazima viwe vimeundwa.
Kwanini?
1. Mwenye uwezo wa kuviunda ni MUNGU PEKEE
Umezaliwa humjui mama yako, umekua ukaanza ufanya kjitihada za kumtafuta. Ukaletewa kitoto cha nursery cha miaka minne kua ndio mama yako mzazi, afu ukaambiwa kama unabisha kua huyo sio mama yako mzazi tuambie umejizaa mwenyewe?2. Kama nyie Atheist mnavyosema havijaundwa na Mungu, niambie vimetokeaje (Formation) yake/?
Mi nimeongelea kuhusu pazi aliyebebwa na jogoo kichwa chini miguu juu na jogoo mdomoni, na uthibitisho wa ku prove kua tukio hilo lilifanyika na mtu huyo yupo ni kutokana na kushindwa kwako kubebwa na jogoo, hapo nitakua nimethibitisha pazi na jogoo pamoja na tukio hilo ni habari za kweli?Nakufahamisha kuna level mbili za kuumba/kuunda
1. Uwezo wa uumbaji wa MUNGU
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Uwezo wa uumbaji wa Mungu
Huu ni uwezo wa uumbaji ambao anao Mungu pekee, katika uwezo huu Mungu ameumba ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter) kama malaika n.k na ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, vimondo, hewa, madini, gas na mafuta ardhini, mito, maziwa na bahari, samaki wa kila aina, ndege wa kila aina, mimea, nafaka, miti na matunda, wanyama wa kila aina na binadamu (mpaka wewe Scars , Kiranga n.k )
NB:UWEZO HUU WA UUMBAJI ANAO MUNGU PEKEE
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Huu ni uwezo ambao Mungu baada ya kumuumba binadamu akamuwekea akilini mwake, kupitia uwezo huu binadamu akaweza kuunda vitu kama magari, meli, nyumba, treni, ndege za angani, pikipiki, vitabu, peni, meza, viatu n.k
NB: KATIKA UWEZO HUU WA KIBINADAMU, HAUWEZI KUFANYIKA BILA KUTUMIA MALIGHAFI(RESOURCES) ALIZOZIUMBA MUNGU KABLA YA BINADAMU KUUBWA.
Kivipi,
Utaunda gari utatumia madini ya chuma, mafuta , waya nk as ingredients
utaunda meza utatumia mbao zitokanazo na miti aliyoumba Mung n.k
HIVYO,
Kushindwa kwa mtu kuumba kama katika level 1(Uwezo wa uumbaji wa Mungu) kunathibitisha MUNGU PEKEE NDIE ALIYEUMBA.
kwani kuna aina ngapi za ulimwengu mpaka useme "ulimwengu unaoonekana"Ndio ni lazima viwe na chanzo, vitu vilivyo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho (The limited universe to time, space and matter) vinawezaje kuwepo bila kuwa na chanzo?
ukikubali kua chochote ambacho kipo ni lazima kiwe na chanzo utajikuta unaingia kwenye jukumu la kutafuta chanzo cha mungu. Lakini kama chanzo ni unnecessary why ulimwengu usiwe hauna chanzo?Haiwezekani, kama inawezekana onesha au tuelezee inawezekanaje
hizi ni mythsVinathibitisha kama ifuatavyo :-
Nakufahamisha kuna level mbili za kuumba/kuunda
1. Uwezo wa uumbaji wa MUNGU
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Uwezo wa uumbaji wa Mungu
Huu ni uwezo wa uumbaji ambao anao Mungu pekee, katika uwezo huu Mungu ameumba ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter) kama malaika n.k na ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, vimondo, hewa, madini, gas na mafuta ardhini, mito, maziwa na bahari, samaki wa kila aina, ndege wa kila aina, mimea, nafaka, miti na matunda, wanyama wa kila aina na binadamu (mpaka wewe Scars , Kiranga n.k )
swali langu lilisema "hivyo vitu vinathibitishaje kua vimeumbwa na mungu?"NB:UWEZO HUU WA UUMBAJI ANAO MUNGU PEKEE
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Huu ni uwezo ambao Mungu baada ya kumuumba binadamu akamuwekea akilini mwake, kupitia uwezo huu binadamu akaweza kuunda vitu kama magari, meli, nyumba, treni, ndege za angani, pikipiki, vitabu, peni, meza, viatu n.k
NB: KATIKA UWEZO HUU WA KIBINADAMU, HAUWEZI KUFANYIKA BILA KUTUMIA MALIGHAFI(RESOURCES) ALIZOZIUMBA MUNGU KABLA YA BINADAMU KUUBWA.
Kivipi,
Utaunda gari utatumia madini ya chuma, mafuta , waya nk as ingredients
utaunda meza utatumia mbao zitokanazo na miti aliyoumba Mung n.k
HIVYO,
Kushindwa kwa mtu kuumba kama katika level 1(Uwezo wa uumbaji wa Mungu) kunathibitisha MUNGU PEKEE NDIE ALIYEUMBA.
unafikiri mabaya ni kuvuta sigara tu?Mungu ameumba binadamu wa kwanza ME na KE ili waijaze dunia, akawawekea uwezo katika akili wa kujitambua, binadamu hao hao kwa lifestyle yao mbovu wakasababisha matatizo duniani,
poor lifestyle in eating
poor moral lifestyle
war effects
poor medications
n.k
Kosa la Mungu ni nini hapo ikiwa alishaumba binadamu kamili, binadamu mwenyewe kwa lifestyle yake mbovu ikasababisha matatizo duniani, Mungu ana kosa gani hapo?
Unavuta sigara, unakunywa pombe, huli mlo kamili n.k Hilo ni kosa la Mungu au lako binadamu?
kwa mafundisho yenu, adam na hawa walikua pale eden walikua wanavaa nguo gani?Mkuu wewe unaweza kutembea bila nguo mtaani kama wanyama?
rhetorical unaita evidence?Ok, labda evidence nilizoziandika hapa akili yako haitaki kuelewa kwa makusudi.
Mi sijaumbwa usinilazimishe niwakane wazazi wanguEvidence ya kwanza ni wewe Scars (kwasababu wewe ni BINADAMU) umeumbwa na Mungu
Nami nikikuambia nenda kwa wafugaji wa kuku kaangalie majogoo, nitakua nimekuthibitishia jogoo aliyembeba mtu aitwae pazi yupo?Evidence zingine, unaweza kwa muda wako ukatoka nje kama ni usiku au mchana alafu ukaangalia jua, nyota, mwezi, mimea ardhini, miti na matunda, nafaka na mimea mbalimbali, mito, maziwa na bahari, samaki, ndege, wanyama, binadamu wenzio n.k
kama ambavyo evidence ya jogoo inavyothibitisha uhalisia wa tukio la pazi kubebwa kichwa chini miguu kuwa ni kweliHizo ni Evidence.
the same question you should ask yoselfKwa kauli yako hiyo nahitaji kujua:-
Wewe haujui hivyo vitu vimetokeaje?
Ngoja niondoke na hii nukta.just because you dont know who is your real biological mom,, does it somehow mean a five years old kid is your mom?
Umeniuliza maswali mengi nimekujibu, sijakimbia swali hata moja kwa kujificha katika dhana yako dhaifu ya irrelevantUnaukiza maswali irrelevant.
Nikikwambia sijui jibubla hata swali moja katibya hayo lakini najua jibubsi Mungu.
Kama ambavyo naweza kuwa sijui square root ya 2 ni nini, lakini najua si 10, utasemaje?
Unaelewa kwamba sihitaji kuelewa jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi?
Unajua kwamba sihitaji kujua umri wa mama yako mzazi ili kujua kwamba wewe hujamzidi umri?
Maswali yako ni sawa na kubishana na mimi, unaniambia wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi.
Mimi nakwambia kitu hicho hakiwezekani. Kwa sababu kita cintrqdict ukweli kwamba huyo ni mama yaki mzazi.
Wewe unanijibu kwa kuniuliza umri wa mama yako mzazi ni umri gani.
Mimi nakwambia, hata bila ya kujua umri wa mama yako mzazi, ukweli kwamba huyo ni mama yako mzazi unamaliza mjadala wa nani mkubwa kati yake na wewe, huwezi kuwa mkubwa kuliko mama yako mzazi.
Bado unang'ang'ania nikupe umri wa mama yako mzazi.
Ukiendelea na ujinga huu nitashindwa kujadiliana nawe na kukuunganisha ignore list hata nisione unachoandika.
Sina muda wa kujadili upumbavu over and over again.
That is my first and last warning.
In summury:-Hapa ume assume
Umezaliwa humjui mama yako, umekua ukaanza ufanya kjitihada za kumtafuta. Ukaletewa kitoto cha nursery cha miaka minne kua ndio mama yako mzazi, afu ukaambiwa kama unabisha kua huyo sio mama yako mzazi tuambie umejizaa mwenyewe?
Utakubali kua mtoto huyo ni mama yako mzazi kwasababu haiwezekani ukawa umezaliwa bila mama?
Mi nimeongelea kuhusu pazi aliyebebwa na jogoo kichwa chini miguu juu na jogoo mdomoni, na uthibitisho wa ku prove kua tukio hilo lilifanyika na mtu huyo yupo ni kutokana na kushindwa kwako kubebwa na jogoo, hapo nitakua nimethibitisha pazi na jogoo pamoja na tukio hilo ni habari za kweli?
kwani kuna aina ngapi za ulimwengu mpaka useme "ulimwengu unaoonekana"
ukikubali kua chochote ambacho kipo ni lazima kiwe na chanzo utajikuta unaingia kwenye jukumu la kutafuta chanzo cha mungu. Lakini kama chanzo ni unnecessary why ulimwengu usiwe hauna chanzo?
hizi ni myths
swali langu lilisema "hivyo vitu vinathibitishaje kua vimeumbwa na mungu?"
unafikiri mabaya ni kuvuta sigara tu?
Mafuriko na Matetemeko yanayoua hadi watoto utamlaumu binadamu?
kwa mafundisho yenu, adam na hawa walikua pale eden walikua wanavaa nguo gani?
rhetorical unaita evidence?
Mi sijaumbwa usinilazimishe niwakane wazazi wangu
Nami nikikuambia nenda kwa wafugaji wa kuku kaangalie majogoo, nitakua nimekuthibitishia jogoo aliyembeba mtu aitwae pazi yupo?
kama ambavyo evidence ya jogoo inavyothibitisha uhalisia wa tukio la pazi kubebwa kichwa chini miguu kuwa ni kweli
the same question you should ask yoself
just because you dont know who is your real biological mom,, does it somehow mean a five years old kid is your mom?
Unasema wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi, nikikwambia kitu hicho hakiwezekani, unaniuliza umri wa mama yako ni umri gani.Umeniuliza maswali mengi nimekujibu, sijakimbia swali hata moja kwa kujificha katika dhana yako dhaifu ya irrelevant
Why hilo swali unalikimbia kulijibu?
Mbona nyie Atheist mnauliza maswali tunawajibu.
Kama hulijui hilo swali, nahitaji kupata confirmation kutoka kwako.
Usinitishe kwa maneno ya kupanic eti unanipa last warning, kwanini upanic katika mjadala?
Unasema utaniweka katika ignore list, why uniweke kwenye ignore list ikiwa hujanipa majibu? Nini maana yake. Je umeshindwa mjadala na mimi?
Nahitaji kufahamu,
Wewe haujui majibu ya swali kwenye post #584?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasema wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi, nikikwambia kitu hicho hakiwezekani, unaniuliza umri wa mama yako ni umri gani.
Nakwambia hata nisipoujua umri wa mama yako, wewe huwezi kuwa mkubwa kuliko mama yako mzazi, hiyo ni contradiction.
Unarudia kutaka nikujibu umri wa mama yako ni miaka mingapi.
Ndiyo ujinga unaouendeleza hapa.
Nakupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post zako.
Hujafikisha viwango vya mjadala wa kueleweka.
Hakuna sehemu niliyosema mimi ni mkubwa kuliko mama yangu.Unasema wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi, nikikwambia kitu hicho hakiwezekani, unaniuliza umri wa mama yako ni umri gani.
Nakwambia hata nisipoujua umri wa mama yako, wewe huwezi kuwa mkubwa kuliko mama yako mzazi, hiyo ni contradiction.
Unarudia kutaka nikujibu umri wa mama yako ni miaka mingapi.
Ndiyo ujinga unaouendeleza hapa.
Nakupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post zako.
Hujafikisha viwango vya mjadala wa kueleweka.
Hakuna nadharia niliyokariri na sijatumia nadharia yoyote katika posts zangu kama wewe unavyofanya kwa kutumia nadharia ya Einstein na nje ya mawazo yake unapotea njia. Mimi naamini Mungu yupo na siwezi ku'prove' kwako kuwepo kwake kwa kutumia methodolojia ya sayansi, naweza ku'prove' kwako kwa methodolojia ingine, ambayo wewe kwenye post yako mojawapo umesema huikubali. Na hata kama huikubali, you are not the measure or the criterion of truth. Hivyo, kutokubali kwako hakufanyi methodolojia yangu isiwe ya kweli.Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.
Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
Mkuu, jamaaa amepanic na kushindwa kutoa majibu, ameshindwa mjadala lakini nilishajua tangu mwanzo na kutoa tahadhari kwamba atheist huwa wanakimbia sana kujibu maswali, lakini wao maswali yao tunawajibu.Mhu! Kukariri nadharia tu ni shida sana. Wewe ukiuliza swali unataka ujibiwe na linakuwa 'always relevant question'. Wengine wakiuliza, hawajaelewa na 'always wanauliza irrelevant questions au upumbavu'. Hapa tunalishwa matango pori.
Umekariri nadharia ya kuwepo Mungu, na huwezi kuthibitisha yupo.Hakuna nadharia niliyokariri na sijatumia nadharia yoyote katika posts zangu kama wewe unavyofanya kwa kutumia nadharia ya Einstein na nje ya mawazo yake unapotea njia. Mimi naamini Mungu yupo na siwezi ku'prove' kwako kuwepo kwake kwa kutumia methodolojia ya sayansi, naweza ku'prove' kwako kwa methodolojia ingine, ambayo wewe kwenye post yako mojawapo umesema huikubali. Na hata kama huikubali, you are not the measure or the criterion of truth. Hivyo, kutokubali kwako hakufanyi methodolojia yangu isiwe ya kweli.
Tatizo machoNgoja niondoke na hii nukta.
Unaweza kutueleza uhusiano wa huu mfano wako na nadharia ya uumbaji wa Mola ?
Usipoweza kuhusianisha itamaanisha swali lako ni la uongo na la uzushi.
Hilo ni jibu ambalo huja ambapo umeweka dhana kichwani kua kuna super intelligent being aliye facilitate. Jibu hili labda irrational thinker ndo atakua willing kulikubali. Kwasababu pemise ya hoja ni infinite chain haina jibu la hitimishoIn summury:-
Kila kilichopo katika ulimwengu huu tunaoishi ulio-limited to time, space and matter lazima kiwe kimeundwa na muundaji. Mfano gari limeundwa na muundaji n.k
Naomba kufahamu formation ya swali lifuatalo:-
Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
Bado haujanijibu mkuu, umenipa tu maelezo ambayo hayana majibu, na mimi nahitaji majibu. Usiseme neno 'ikiwa sijui'Hilo ni jibu ambalo huja ambapo umeweka dhana kichwani kua kuna super intelligent being aliye facilitate. Jibu hili labda irrational thinker ndo atakua willing kulikubali. Kwasababu pemise ya hoja ni infinite chain haina jibu la hitimisho
Ikiwa sijui formation ya hivyo vitu, itathibitisha sijui jibu haitathibitisha mungu ndio jibu
Ni kama vile ambavyo wewe humjui SNDANGUJA.. Au unamjua?
Unaweza kuthibitisha SNDANGUJA yupo? Unaweza kuthibitisha hayupo?
Well, kama huwezi haimaanishi hayupo, kwasababu yuko kichwani mwangu ameniambia yeye ndio muumba wa huyo mungu wako na sio kweli kua mungu wako ndo kaumba huu ulimwengu
Ushahidi wa kuonesha kua kaumba ulimwengu ni kupitia na vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu
Na kwakuthibitisha kuwa SNDANGUJA yupo kihalisia nitamuacha aandike mstari wa mwisho kwenye hii post
MIMI NI SNDANGUJA MUUMBA WAKO NAONGEA KUPITIA SCARS UNATAKIWA KUTUMA 8,000,000 KWA SCARS HARAKA IWEZEKANAVYO
Nimekujibu hapa, nisome kiumakiniBado haujanijibu mkuu, umenipa tu maelezo ambayo hayana majibu, na mimi nahitaji majibu. Usiseme neno 'ikiwa sijui'
Kama unafahamu jibu nipe majibu na kama haufahamu jibu pia niambie sifahamu.
Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.Hakuna nadharia niliyokariri na sijatumia nadharia yoyote katika posts zangu kama wewe unavyofanya kwa kutumia nadharia ya Einstein na nje ya mawazo yake unapotea njia. Mimi naamini Mungu yupo na siwezi ku'prove' kwako kuwepo kwake kwa kutumia methodolojia ya sayansi, naweza ku'prove' kwako kwa methodolojia ingine, ambayo wewe kwenye post yako mojawapo umesema huikubali. Na hata kama huikubali, you are not the measure or the criterion of truth. Hivyo, kutokubali kwako hakufanyi methodolojia yangu isiwe ya kweli.
Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.
Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
Nilishakwambia huwezi mijadala kwa sababu hoja zako ni theories za watu wengine na uko rigid sana kuelewa wengine wanasema nini. Unataka ushinde hoja kwa nguvu zote. Kwenye post yako mojawapo umedai au rather ume'paraphrase' anayodai Einstein. Umesema: "By the way, watu wanaweza challenge Einstein's Relativity succesfully na 'time ikabaki kuwa illusion' kwa sababu ya Quantum Physics." Lakini hujathibitisha hii claim yako ili ionekane hivyo kama wewe unavyotaka nithibitishe kuwepo kwa Mungu kwa wewe kumwona kwa macho yako.Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.
Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
Hayo maandishi unayotumia tu ni nadharia za watu wengine.Nilishakwambia huwezi mijadala kwa sababu hoja zako ni theories za watu wengine na uko rigid sana kuelewa wengine wanasema nini. Unataka ushinde hoja kwa nguvu zote. Kwenye post yako mojawapo umedai au rather ume'paraphrase' anayodai Einstein. Umesema: "By the way, watu wanaweza challenge Einstein's Relativity succesfully na 'time ikabaki kuwa illusion' kwa sababu ya Quantum Physics." Lakini hujathibitisha hii claim yako ili ionekane hivyo kama wewe unavyotaka nithibitishe kuwepo kwa Mungu kwa wewe kumwona kwa macho yako.