Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Ndio umeandika nini mbona sijaelewa?
 
Kwa hiyo mtu akisema ulimwengu ndio chanzo hivyo ulimwengu hauna chanzo kwasababu ulimwengu ni chanzo cha vyote utakubali?
Labda nirudie nilichokisema pengine hukunielewa.

Kwanza nilisema Mungu hana mwanzo wala mwisho na hana chanzo Na kisha nikasema yeye ndio chanzo.
 
Labda nirudie nilichokisema pengine hukunielewa.

Kwanza nilisema Mungu hana mwanzo wala mwisho na hana chanzo Na kisha nikasema yeye ndio chanzo.
Namimi unaniruhusu kurudia nilichokisema kwa kuongeza maboresho ya maneno yangu, ili yasomeke " ulimwengu hauna mwanzo wala mwisho na hauna chanzo na kisha niseme ulimwengu hauna chanzo?"
 
Kwanini hiyo siku haipo?
 
Namimi unaniruhusu kurudia nilichokisema kwa kuongeza maboresho ya maneno yangu, ili yasomeke " ulimwengu hauna mwanzo wala mwisho na hauna chanzo na kisha niseme ulimwengu hauna chanzo?"
Kama hivyo ndivyo unavyoamini wewe basi sawa.
 
Ndio swali Gani Hilo Wewe jamaa?
Utathibishaje kitu ambacho hakipo?
Haya Wewe nithibitishie Ile siku panya mabaka walipomfunga paka kengele!
Nilidhani una sababu za kueleza ni vp hiyo siku haipo na kuweza kuonesha kuwa hiyo imani ya kuamini uwepo wa hiyo siku ni imani potofu.
 
formation ya hivyo vyote ndio inathibitisha uwepo wa mungu?
Ni kwa vipi haithibitishi kwamba,. kama Kuna aliyeumba hiyo formation Basi pia kuna aliemuumba huyo aliyeumba hiyo formation!?
Nipe majibu ya nilichouliza hapo kama unayo majibu, kama hauna/haujui pia niambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…