Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Miungu dhaifu hutumia njia dhaifu, usiniweke kwenye rank hizo mimi habari angu nazifanya personal kama ambavyo wewe unavyoweza kunihoji hapa kwasababu mimi nipo lakini huwezi kumhoji mungu wa kwenye kuran kwasababu ni mungu wa uwongo hayupo, ni makanjanja tu wameandika habari za uwongo na mwisho wao naujua maana nimewaaandalia adhabu kali sana

Sema bado hujachelewa, ukimkana huyo mungu wa kwenye quran na kufata njia ya kweli (ambayo ni mimi) nakuhakikishia utajifunza vitu vingi ambapo hapo mwanzo ulivijua ndivyo sivyo
Ndio umeandika nini mbona sijaelewa?
 
Kwa hiyo mtu akisema ulimwengu ndio chanzo hivyo ulimwengu hauna chanzo kwasababu ulimwengu ni chanzo cha vyote utakubali?
Labda nirudie nilichokisema pengine hukunielewa.

Kwanza nilisema Mungu hana mwanzo wala mwisho na hana chanzo Na kisha nikasema yeye ndio chanzo.
 
Labda nirudie nilichokisema pengine hukunielewa.

Kwanza nilisema Mungu hana mwanzo wala mwisho na hana chanzo Na kisha nikasema yeye ndio chanzo.
Namimi unaniruhusu kurudia nilichokisema kwa kuongeza maboresho ya maneno yangu, ili yasomeke " ulimwengu hauna mwanzo wala mwisho na hauna chanzo na kisha niseme ulimwengu hauna chanzo?"
 
hahaaaaaha Bwashee hiyo siku haipo Aisee acheni Hadith za kitoto na mapokeo ya wa Wayunani na Wayahudi wa kale enzi za Giza,yaani ni kama ilivyo magharibi na mashariki kutokutana na hiyo siku haipo labda useme mwisho wa human civilization maana hapa Duniani zimepata tokea spicies mbali mbali na zikatoweka mfano dinosaur hapo ndio nitakuelewa ila porojo za kiama hazina mashiko!
Kwanini hiyo siku haipo?
 
Namimi unaniruhusu kurudia nilichokisema kwa kuongeza maboresho ya maneno yangu, ili yasomeke " ulimwengu hauna mwanzo wala mwisho na hauna chanzo na kisha niseme ulimwengu hauna chanzo?"
Kama hivyo ndivyo unavyoamini wewe basi sawa.
 
Ndio swali Gani Hilo Wewe jamaa?
Utathibishaje kitu ambacho hakipo?
Haya Wewe nithibitishie Ile siku panya mabaka walipomfunga paka kengele!
Nilidhani una sababu za kueleza ni vp hiyo siku haipo na kuweza kuonesha kuwa hiyo imani ya kuamini uwepo wa hiyo siku ni imani potofu.
 
formation ya hivyo vyote ndio inathibitisha uwepo wa mungu?
Ni kwa vipi haithibitishi kwamba,. kama Kuna aliyeumba hiyo formation Basi pia kuna aliemuumba huyo aliyeumba hiyo formation!?
Nipe majibu ya nilichouliza hapo kama unayo majibu, kama hauna/haujui pia niambie.
 
Back
Top Bottom