Namaanisha nilichokieleza mimi hivyo ndivyo navyoamini au ndio mtazamo wangu, nasema hivyo kwa sababu wapo wenye mitazamo tofauti na hivyo au wenye kuamini tofauti na hivyo.Namaanisha wewe ulipokua unataja habari za mungu ilikua ni hoja inayo apply universal au personal?
Mbona sikuwa na wazo hilo kabisa,mimi nilitaka kujua tu dalili za uungu wako basi.Kwa hiyo umeshindwa kuthibitisha mimi sio mungu wa kweli?
Acha kumuuliza maswali ambayo nimejibu, uliza maswali mapya ujibiwe usipende kujaza server kizembe eti kwakua hulipii JFNipe majibu ya nilichouliza hapo kama unayo majibu, kama hauna/haujui pia niambie.
Kwanini nisipewe majibu hapa, kwanini mimi nikajisomee? Nimewauliza swali kama mna majibu mnipe na kama hamna/hamjui mniambie.We jamaa khaa bora ukajisomee mwenyewe huwezi mlazimisha mtu aanzw kukupa somo la evolution , cosmology nuclear physics, organic and inorganic chemstry . Hayo maswali si umeshajiuliza anza kufanyia uchunguzi kuwa kitu gani kimesababisha nebula mtu hawezi kukujibu ukaridhika hapa unapewa idea. Anza na geology on how gas and fossil fuel happened hapo ita involve chemistry ya olevel tuu kuelewa hizo chemical reactions
Kwanini hutimizi maagizo ya mungu?Mbona sikuwa na wazo hilo kabisa,mimi nilitaka kujua tu dalili za uungu wako basi.
Umeshaniambia siwezi kuelewa post zako ndio maana sijaona sababu ya kuendelea kujadili.Kwanini hutimizi maagizo ya mungu?
Afu na hizo dalili umeshindwa kuzijua kwasababu ulikua unanifanyia comparison kwa miungu ya quran ambayo ni ya uwongo
Hivi unajua kwamba mimi ni mungu sichunguziki kwa akili ya kawaida?
Kama yalifundishwa kuanzia level 6, Basi naomba unipe majibu mkuu ambayo ni scietifically proved. Usinipe majibu ya kufikirika na ya kimiujiza.Kwasababu haya yanafundishwa kuanzia primary level 6 kama sikosei, sasa huenda uli skip au uli drop kabisa
Miujiza kwako ni kitu gani?Kwanini nisipewe majibu hapa, kwanini mimi nikajisomee? Nimewauliza swali kama mna majibu mnipe na kama hamna/hamjui mniambie.
Mnipe majibu ya formation ya hivyo vitu kisayansi, msinipe majibu ya kufikirika na kimiujiza noo. Nahitaji majibu ambayo ni scientifically proved.
Usiniambie maji yamesababishwa na miamba, bila kuniambia miamba kwanza imetokea wapi? Je miamba imetokea kimiujiza tu?
Kama mlikaririshwa leo nawafumbua macho mlipotoshwa. Kama hamkupotoshwa basi mnipe majibu.
Hakuna ulichonijibu mpaka sasa, umenipa majibu ya kufikirika ambayo sio scientifically proved, majibu yako ni ya vitu vimesababishwa kimiujiza na kufikirikaAcha kumuuliza maswali ambayo nimejibu, uliza maswali mapya ujibiwe usipende kujaza server kizembe eti kwakua hulipii JF
Yap endapo utazisoma kama gazetiUmeshaniambia siwezi kuelewa post zako ndio maana sijaona sababu ya kuendelea kujadili.
Miujiza ni nini?Hakuna ulichonijibu mpaka sasa, umenipa majibu ya kufikirika ambayo sio scientifically proved, majibu yako ni ya vitu vimesababishwa kimiujiza na kufikirika
Majibu yako unayotoa ni una assume tu, ni majibu ambayo hayana proof. Alafu unajiita Atheist. How?
Nimekupa majibu tena nimekupangia kwa namba kama ulivyouliza.Kama yalifundishwa kuanzia level 6, Basi naomba unipe majibu mkuu ambayo ni scietifically proved. Usinipe majibu ya kufikirika na ya kimiujiza.
Kama unaniambia kitu "A" kimesababishwa na kitu "B", basi niambie kwanza hicho kitu "B" kimetokea wapi kwanza(formation) then uniambie kimewezaje kusababisha kitu "A" Scientifically.
Usiniambie tu kitu "A" kimesababishwa na kitu "B" kwa kimiujiza au kufikirika tu
Miujiza ni hali ya ajabu zaidi ya uwezo wa kawaida wa kiasili au kuhakikiwa na kuthibitishwa kisayansi. (extraordinary situation or event that is not explicable by natural or scientific laws)Miujiza ni nini?
Tunaweza tukawa tunabishana kwasababu ya tafsiri ya neno muujiza
Elimu ni nini kwanza?
Socrates alisoma shule gani?
Mimi nimesoma Kumamoto, nikamalizia Surabaya, unapajua Kumamoto na Surabaya?
Uwezo wa kawaida wa kiasili ni upi?Miujiza ni hali ya ajabu zaidi ya uwezo wa kawaida wa kiasili au kuhakikiwa na kuthibitishwa kisayansi. (extraordinary situation or event that is not explicable by natural or scientific laws)
Mfano ukiniambia samaki wamesababishwa na mizoga ya wanyama wa zamani, bila kuniambia hao wanyama ambao wamekua mizoga walitokea wapi kwanza? (formation) yao, alafu ndio uniambie wamesababishaje samaki. (Hii ni miujiza)
Kwanini miujiza?
Kwasababu hao wanyama wametokea wapi? Science imeprove vipi kutokea na formation ya hao wanyama kwanza? Wametokea tu kimiujiza?
Wewe ndiye hutaondoka na kuyaacha?
Acha ujinga.
Sasa kwa nini hujawauliza wao unanisumbua mimi?Na wanaokupamba mara umesoma wapi mara sijui una PhD, mbona mimi sioni kiini cha hizo sifa! Au kiini ni kuwa Atheist! Damn them! Hakuna kitu hapo!
Kwanini nikulipe kwenye mjadala? Kwanini unitake nikulipe ikiwa tupo kwenye mjadala wa wazi kabisa.Nimekupa majibu tena nimekupangia kwa namba kama ulivyouliza.
Ukitaka mimi niku:afanulie zaidi ya pale maana yake ni kwamba hauna basic knoweledge ya elimu hiyo, hivyo ili uelewe itanibidi nikufundishe hayo masomo ambayo hukuwahi kuyasoma
Lakini kwa condition moja, itabidi unilipe sababu huo hautakua mjadala tena itakua ni online course
watu kama kiranga wakifa utaona ndugu zao wanaomba huduma ya kuzikwa na padri,wakikataliwa hawaelewi ,wanaona kama hawatendewi haki.mashemasi tu ndo tutawafanyia ibada za mazishi