Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Wewe ulishawahi kufa ukathibitisha "huko hakuna wa kukusaidia?".
 
Ndugu yangu kwani mm nasema uongo au jiulize kwanini wengi wenu pamoja na kwenda kanisani na msikitini lakin mna fanya maovu mengi au dini ndio zinazosema mfanye hayo.
Kiranga ni mtu safi kama pepo ipo atakaa karibu na yesu na Muhammad
Je, dini ndo inawaelekeza hao wanaokwenda misikitini kufanya maovu ?

Wapi dini inafundisha waumini wake kufanya maovu ?

Atheist ndo hawafanyi maovu ?
 
Je, dini ndo inawaelekeza hao wanaokwenda misikitini kufanya maovu ?

Wapi dini inafundisha waumini wake kufanya maovu ?

Atheist ndo hawafanyi maovu ?
Dini inafundisha wema na mambo mazuri lakin kwanini hamtendi?
Hamtendi wala kufata maagizo ya dini kwakuwa hamna imani kuwa dini ni za kweli yaan nyinyi mna fanya dini kama sehemu ya utamaduni wa maisha umezaliwa katk uislam au ukritso basi na ww unakuwa hivyo
Atheist wengi wanakuwa wngi wanajua umuhimu wa utu na maisha kama vile kuuwa sio jambo zuri basi nao hawatauuwa sio mpk dini iseme that's why nikakuambia kama kuna pepo Atheist wote peponi
 
Lovely
 
Hujajibu maswali yangu !!
Narudia

Je, dini ndo inawaelekeza hao wanaokwenda misikitini kufanya maovu.?

Wapi dini inafundisha waumini wake kufanya maovu ?

Atheist hawafanyi hayo maovu ?

Umeniuliza hapo juu kuwa dini inafundisha wema na mambo mazuri lakini kwanini hamtendi ? ,,

yaani ni sawa na kumuuliza mwanafunzi aliyefeli mtihani wa hesabu , ety " darasani mnafundishwa kanuni za hesabu, Kwanini hukufanya vile ulivofundishwa na mwalimu ?

Is that question logically correct ?

Wapi dini imelazimisha mtu kufata mafundisho yake ?
 
Inaweza kuwa njia thabiti kwake yeye kuhakiki,, je, atakuhakikishia vp ww ilhali yeye ameshakufa ?
Hilo ni swali la kuulizwa mimi au kuulizwa yeye?

Kwani mimi nilisema kuna chochote cha kuhakikika baada ya kufa?
 
Nimekujibu vzr kuwa mna fanya maovu kwakuwa hamuamini kama dini zina habari za kweli mmengua mna iman msingefanya dhambi
Polisi au FFU wakisema jambo fulani msifanye au msiandamane na mkiandamana tutawapiga nina imani hamta andamaana lkn kwanini dini ikisema usiibe usiuwe usizin usidhulumu usiseme uongo wewe hayo mambo unafanya jibu ni kuwa huna unachohofia au kuoogopa
 
Yaani mkuu ulichokiandika hapa ndio uhalisia wenyewe. Na sababu nyingine inayomfanya mtu kujiunga na dini kuogopa na kuhisi kutengwa na jamii inyomzunguka.
 
Hiki kitabu kimejaribu kuelezea the so called problem of evil.


Nimekipenda sana hiki kitabu kwa sababu kimeelezea real life situations na kujiepusha kujifunga kwa majibu yaliyozoeleka.

Mwisho wa siku Mungu anabaki kuwa Mungu, awe amejibu maombi yako au hajakujibu, awe ameruhusu ugonjwa au uzima, Mungu hafungwi na logic au common sense za kibinadamu, ndio maana akaitwa Mungu.

Kwaajili ya maarifa narecommend mkristo au mtu yeyote yule mwenye uelewa wa Mungu (Biblia) akakisome.
 
Ni kwasababu wewe Iblis unashawishi watu kutenda uovu!
 
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.

Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters




My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr

Halafu huyu Kiranga wa siku hizi si yule wa zamani, sijui akaunti ameuza?!...yani amekua shalloa vibaya mno
 
Wakana mungu wote unao wajua wewe hawatoki nje ya sifa hizi :

1. Hawamjui Mungu katika hakika yake
2. Wagonjwa wa akili
3. Wabishi (hii hutokana na wao kuwa weupe katika jambo hili)
4. Hudhani ya kuwa jukumu la kuthibitisha uwepo wa Mungu ni letu sisi tunao sadiki na wao haliwahusu.
5. Hukimbia kujibu maswali,mpaka uwabane sana na wakijibu sasa ndiyo utaona ni kwa namna gani walivyo wajinga.
 
Akili za Kiranga hazichunguziki mkuu, huyu ni miongoni mwa watu wenye uelewa na uwezo mkubwa sana wa kuchambua na kuelezea mambo kwa marefu na mapana, huku yote yakiwa kwa ufasaha.
Hapa labda katika mambo mengine,ila kuhusu Mungu,sijaona mtu mjinga katika suala hili kwa humu ndani jf kumzidi yeye,hata namna anavyo jadili suala hili anaonyesha anakipinga kitu asichokijua,ndiyo maana huwa tunahitimisha ya kuwa Wakanamungu ni wagonjwa wa akili. Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kumkana usiye mjua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…