Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwanza kabisa, kitu kuwa na mtengenezaji wake si lazima mtengenezaji wake awe Mungu.hiki ndo kinaitwa kiburi cha uzima
kama vitu vyote tunavyoviona, hata nguo zina mtengenezaji wake, wewe ndo ukose mtengenezaji wako. na ufike hatua ya kusema hayupo
acha ujeuri ndugu
Pili, dhana nzima ya kusema Mungu asiyeonekana yupo, kwa sababu kika kinachoonekana kina mtengenezajinwake ni kichaa cha aina fulani.
Yani ni bora ungesema habari ya vitu vinavyoonekana kuhalalisha uwepo wa Mungu anayeonekana.
Zaidi, kudai kila kitu kinachoonekana kinq mtengenezaji wake, hujaongelea visivyoonekana.
Na unaonesha hujasoma Quantum Physics ambayo inavunja cause and effect.
Umeonesha ujinga wako.