holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Jibu nimekupa Ila naona we evolution na big bang kwako ni vitu vigeniNahitaji jibu la swali nililouliza kwanza, kama haujui uniambie kwanza
Kama unajua, tuambie mbona nimeuliza swali la hivyo vitu vimetokeaje (formation) unatoa jibu lisilo na uthibitisho wa kisayansi na ni la kufikirika tu.Najua ndio
Wewe unajua mungu alikotokea ?
Bado unasisitiza kupatiwa majibu yajikite kwenye sayansi ukiwa hivyo hivyo hujui chochote kuhusu sayansi?Option rahisi ni moja tu, wewe unaejua hivyo vitu vilitokeaje (formation) zake uziweke hapa hapa.
Thibitisha kisayansi kuwa umeviumbaNimeviumba mimi, kwasababu mi ndo Mungu wa kweli
Una lolote unataka kusema?
Uko wapi uthibitisho wa kisayansi wa mungu wakoKama unajua, tuambie mbona nimeuliza swali la hivyo vitu vimetokeaje (formation) unatoa jibu lisilo na uthibitisho wa kisayansi na ni la kufikirika tu.
Kwanza umekubali kua mi ni Mungu?Thibitisha kisayansi kuwa umeviumba
Hii ndio mbinu mnayotumia mkiwa hamna majibu, kama mnajua ni simple tu elezeni formation ya hivyo vitu vyote kwa uthibitisho wa kisayansi.We ndo umenena maan naona tuna discuss na mtu ambae hana idea na tunachokisema
Wewe ndio unasema evolution na big bang kwangu ni vigeni.Jibu nimekupa Ila naona we evolution na big bang kwako ni vitu vigeni
Kwa nukuu yako hii, inaonekana wewe haujui kwamba hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake. Unisamehe sana.Halafu mbona unahamisha mzigo wa kutoa ushahidi kwangu huku sio Mimi niliesema mungu yupo ?
Kama evolution na big bang kwako sio vigeni usingekuwa unakomaa kuendelea kuniuliza vitu vimetokeaje ambacho ningeona ni maswali kutoka kwako yanayo challenge hizo theories zinazoelezea vitu vimekujajeWewe ndio unasema evolution na big bang kwangu ni vigeni.
Kwa nukuu yako hii, inaonekana wewe haujui kwamba hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake. Unisamehe sana.
Nataka nithibitishe je ni kweli haujui hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake?
Kama majibu unayo niambie mkuu kwanini unazungukaBado unasisitiza kupatiwa majibu yajikite kwenye sayansi ukiwa hivyo hivyo hujui chochote kuhusu sayansi?
mimi nimekuomba uniambie formation ya hivyo vitu, mbona haunipi mkuu.Uko wapi uthibitisho wa kisayansi wa mungu wako
Wasi wasi unatupa wewe unaesema mungu kaumba vitu halafu hutuambii mungu katokea wapiKama majibu unayo niambie mkuu kwanini unazunguka
Wewe ukiniambia bahari imesababishwa na miamba, bila kuniambia kwanza miamba imetokea wapi na imesababisha vipi bahari unanipa wasiwasi. Miamba imetokea tu gafla?
Kwanza unipe formation ya hivyo vitu vimetokeaje?Kwanza umekubali kua mi ni Mungu?
Narudia tena formation ya universe Big bang ..viumbe hai Evolutionmimi nimekuomba uniambie formation ya hivyo vitu, mbona haunipi mkuu.
Nakuuliza hivyo nina maana kubwa na nataka nikufungue ufahamu wako uliofungwa kwa kukaririshwa.Kama evolution na big bang kwako sio vigeni usingekuwa unakomaa kuendelea kuniuliza vitu vimetokeaje ambacho ningeona ni maswali kutoka kwako yanayo challenge hizo theories zinazoelezea vitu vimekujaje
Nimeuliza swali kwenu as a challenge, mniambie formation ya hivyo vitu tu vimetokea wapi, kama hamfahamu mniambie ili tuhamie phase nyingineWasi wasi unatupa wewe unaesema mungu kaumba vitu halafu hutuambii mungu katokea wapi
Thibitisha big bang imeform vipi universe na evolution imeform vipi viumbe hai wote.Narudia tena formation ya universe Big bang ..viumbe hai Evolution
Haya mungu katokea wapi
Una uhakika upi kwamba vilitokea mahala?Mkuu, bado haujanijibu swali langu. Mimi nataka kujua hivyo vitu vyote vimetokea wapi (formation) zake, naona unazunguka bila kunipa jibu
Kama vilikuwepo tu vilitokeaje? (Scientifically) vilikuwepo gafla tu?Thibitisha kwanza kuwa vina formation na si pengine vilikuwepo tu.
Kwa nini hutaki kuthibitisha?