holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Jibu nimekupa Ila naona we evolution na big bang kwako ni vitu vigeniNahitaji jibu la swali nililouliza kwanza, kama haujui uniambie kwanza
Halafu mbona unahamisha mzigo wa kutoa ushahidi kwangu huku sio Mimi niliesema mungu yupo ?
Halafu kwanini badala ya kutoa ushahidi kuhusu uwepo wa mungu wako au alikotokea na ushahidi kwamba ye ndio aliumba vitu unakimbilia kuniuliza mi niseme vilopotokea huku sio Mimi niliesema mungu kavileta ?