Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Nahitaji jibu la swali nililouliza kwanza, kama haujui uniambie kwanza
Jibu nimekupa Ila naona we evolution na big bang kwako ni vitu vigeni

Halafu mbona unahamisha mzigo wa kutoa ushahidi kwangu huku sio Mimi niliesema mungu yupo ?

Halafu kwanini badala ya kutoa ushahidi kuhusu uwepo wa mungu wako au alikotokea na ushahidi kwamba ye ndio aliumba vitu unakimbilia kuniuliza mi niseme vilopotokea huku sio Mimi niliesema mungu kavileta ?
 
Option rahisi ni moja tu, wewe unaejua hivyo vitu vilitokeaje (formation) zake uziweke hapa hapa.
Bado unasisitiza kupatiwa majibu yajikite kwenye sayansi ukiwa hivyo hivyo hujui chochote kuhusu sayansi?
 
We ndo umenena maan naona tuna discuss na mtu ambae hana idea na tunachokisema
Hii ndio mbinu mnayotumia mkiwa hamna majibu, kama mnajua ni simple tu elezeni formation ya hivyo vitu vyote kwa uthibitisho wa kisayansi.

Ndo Scars ananiambia bahari imesababishwa na miamba, niambie miamba imetokea wapi kwanza na imesababisha vipi bahari.
 
Jibu nimekupa Ila naona we evolution na big bang kwako ni vitu vigeni
Wewe ndio unasema evolution na big bang kwangu ni vigeni.

Halafu mbona unahamisha mzigo wa kutoa ushahidi kwangu huku sio Mimi niliesema mungu yupo ?
Kwa nukuu yako hii, inaonekana wewe haujui kwamba hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake. Unisamehe sana.

Nataka nithibitishe je ni kweli haujui hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake?
 
Wewe ndio unasema evolution na big bang kwangu ni vigeni.

Kwa nukuu yako hii, inaonekana wewe haujui kwamba hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake. Unisamehe sana.

Nataka nithibitishe je ni kweli haujui hivyo vitu vimetokeaje (formation) zake?
Kama evolution na big bang kwako sio vigeni usingekuwa unakomaa kuendelea kuniuliza vitu vimetokeaje ambacho ningeona ni maswali kutoka kwako yanayo challenge hizo theories zinazoelezea vitu vimekujaje
 
Bado unasisitiza kupatiwa majibu yajikite kwenye sayansi ukiwa hivyo hivyo hujui chochote kuhusu sayansi?
Kama majibu unayo niambie mkuu kwanini unazunguka

Wewe ukiniambia bahari imesababishwa na miamba, bila kuniambia kwanza miamba imetokea wapi na imesababisha vipi bahari unanipa wasiwasi. Miamba imetokea tu gafla?
 
Wasi wasi unatupa wewe unaesema mungu kaumba vitu halafu hutuambii mungu katokea wapi
 
Kama evolution na big bang kwako sio vigeni usingekuwa unakomaa kuendelea kuniuliza vitu vimetokeaje ambacho ningeona ni maswali kutoka kwako yanayo challenge hizo theories zinazoelezea vitu vimekujaje
Nakuuliza hivyo nina maana kubwa na nataka nikufungue ufahamu wako uliofungwa kwa kukaririshwa.

Hizo theories, zinasema tu A imetokana na B, bila kisema B imetokea wapi kwanza na imeform vipi A (scientifically)

Nataka utafakari hilo, mfano scars amenijibu Habari imesababishwa na miamba, sasa kisayansi lazima uelezee kwanza miamba imetokea wapi? Na imeform vipi bahari.

Ukisema tu miamba imeform bahari, jibu hili ni la kufikirika tu

Kwanini?
Kwasababu miamba imejitokeza tu gafla? Imetokea wapi?

Imesababisha vipi bahari?
 
Wasi wasi unatupa wewe unaesema mungu kaumba vitu halafu hutuambii mungu katokea wapi
Nimeuliza swali kwenu as a challenge, mniambie formation ya hivyo vitu tu vimetokea wapi, kama hamfahamu mniambie ili tuhamie phase nyingine
 
Narudia tena formation ya universe Big bang ..viumbe hai Evolution

Haya mungu katokea wapi
Thibitisha big bang imeform vipi universe na evolution imeform vipi viumbe hai wote.

Usinipe majibu ya kufikirika tu, niambie kisayansi.
 
Thibitisha kwanza kuwa vina formation na si pengine vilikuwepo tu.
Kwa nini hutaki kuthibitisha?
Kama vilikuwepo tu vilitokeaje? (Scientifically) vilikuwepo gafla tu?

ukisema vilikuwepo tu, without science evidence, umepata uhakika gani kwamba vilikuwepo tu?
 
Back
Top Bottom