Kama ulichosema ndiyo kunihibitishia "how you were conceived and born", then sijaona hiyo evidence inavyoanza na inavyoisha.
Na ndio maana nikakuuliza ni uthibitisho gani kwako ambao ukipewa utashawishika kua nimethibitisha?
Na pia nilikuuliza kwa wale wanaojifungua kabla ya kufika hospitali, ultrasound records zao zinasomaje?
Mkuu kuna mambo mawili unavhanganya hapa
1. Hoja sio kwamba kuna watu wapo hawajawahi kufanya testing kwa utralsound hivyo tubatilishe kua haiwezekani kuthibitisha
2. Hoja ni kua inawezekana kupata uthibitisho wa mtu kua alishawahi kua tumbono kwa mama yake...
Kwasababu wewe umedai haiwezekani kuthibitisha hilo, Sasa napotumia mfano wa utralsound kujibu hoja yako kuonesha uwezekano wa kuthibitisha process nzima mpaka mtu anazaliwa sikutegemea kama ungeibuka na hoja hiyo kua kuna watu fulani hawajafanya testing ya utralsound...
Mtu kutofanya test ya utralsound haithibitishi kua waliofanya hiyo testing na kupata majibu ni waongo au hawapaswi kuaminika kwa majibu yao waliyoyapata kupitia hivyo vipimo
Alafu kingine nilicho notice ni dhana ambayo umejijengea kichwani kua testing ya utralsound na CVS hufanyika siku ambayo mzazi anaenda kujifungua kitu ambacho sio lazima, kwani mtu anaweza akafanya testing ya mimba na kupata majibu exactly ya kiumbe kilichomo tumboni akajuja mpaka jinsia ya mtoto katika kipimdi ambacho kabla hata miezi tisa ya mimba haijafika
Hujanijibu. Pia nimekuuliza je ultrasound records zionaonyesha "how" a person is conceived or is born?
Utralsound can take a pictures of baby inside womb.
Kupitia utalsound unaweza kujua maendeleo ya ukuaji wa mtoto na pia kumsaidia mtabibu kujua kua kuna uhitaji wa kufanya testing zingine ili kutibu afya ya mtoto aliye tumboni
does this good enough to fit on your question?
Hujanijibu pia. Ila unaponiuliza mimi nithibitishe kuwepo kwa Mungu unataka 'instant evidence' ambayo wewe mwenyewe huwezi ku'provide'.
Hujanielewa
Lengo la mimi kudai uthibitisho ni kutokana na wewe kauli yako uliyodai kua mungu yupo real. Ikifuatiwa na kauli yako ya pili kua yupo beyond space and time ila hathibitishiki
Sasa kama hathibitishiki ulijuaje yupo?
Na kama hathibitishiki umejuaje kua he is real?
Nikikuuliza kua ni vingapi vipo beyond space and time bila shaka huna kujibu kutokana na kufungwa na kauli yako ya mwanzo kua huwezi kuthibitisha kilichopo beyond space and time
Sasa mtu akitunga jambo la uwongo kisha akakuambia kua jambo hilo lipo real ila haliwezi kuthibitishwa kwasababu lipo beyond space and time, utakubali kua jambo hilo kweli lipo?
Mantiki yangu ni kwamba space and time kutokuthibitishika kunaweza kutumika kama ukingo wa kupitishia habari za uwongo kwasababu watao jaribu kuhoji watakua limited kua inajulikana kua kilichopo beyond space and time hakithibitishiki. Sasa unahakika gani na habari za mungu kua yupo kweli ila hathibitishiki na io kwamba hayupo na habari hizo ni uzushi na ndio maana hathibitishiki kua yupo??
Nikikuuliza wewe unasema 'ultrasound records' ambazo huonyeshi ili nione ulivyotungiwa mimba na jinsi ulivyozaliwa.
Yani unamaanisha nikuwekee picha yangu iliyopigwa na sensor za utralsound kipindi niko tumboni kwa mama?
Kwa maana hiyo unakubali kua utralsound inauwezo wa kufanya hivyo ila unachokitaka tu ni mimi nikuoneshe hizo records za mimi kua tumboni?
Au hukubaliani kua utralsound haina uwezo wa kupiga picha ya kiumbe kilichomo tumboni kwa mama pamoja na kufanya genetic testing na kujua maendeleo ya kiafya ya huyo mtoto?
Na kama unadai mtu mwingine anaweza kuonyesha, ni nani huyo maana hapa huonyeshi pia jinsi huyo mtu atakavyoonyesha mimba yako ilivyotungwa na ulivyozaliwa.
Kwa hiyo unataka upewe uthibitisho kwa kuelezea mchakato mzima ulivyofanyika mpaka nikazaliwa?
Mchakato ni huu
Moja kati ya mayai mawili ya mwanamke kila mwezi kutoa mayai kwenye process inayoitwa ovulation. Ovulation hutokea wiki mbili baada ya hedhi
Baada ya hapo hayo mayai yanayoachiwa na process ya ovulation hupelekwa kwenye kitu kinaitwa falopian tube ambapo huko huwa fertilized kwa single sperm
Mwanaume anapomwaga au kupiga bao moja (ejaculate) hutoa mbegu kuanzia milion 50 hadi 160
baada ya hapo manii ya mwanaume huanza safari na kwenda kuogelea kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke (fallopian tube)
Muda ambao manii hutumia ili kuyafikia mayai mara nyingi hutofautiana. Sometimes sperms zinaweza kuchukua lisaa limoja na nusu mpaka kuyafikia hayo mayai, mara nyingine mpaka siku kadhaa.
Ila maisha ya sperms yanaweza ku exist kwa siku tatu au nne kabla hayajafikia yai
Baada ya hapo kuna process inayofata inaitwa fertlization ambayo huchukua siku nzima kukamilisha mchakato. Pindi manii yakipenyeza kwenye yai la mwanamke, yai hubadilika muonekano ili kuzuia manii nyingine zisiweze kuingia
Process ya Fertilization ndio hukamilisha maumbile ya mtoto hapa utaona nafasi ya utralsound na CVS kuweza kuchukua hizo genetic sample na kuzifanyia testing kujua exactly jinsia ya mtoto akiwa angali yupp tumboni kwa mama
Pindi yai likishakua fertilized mchakato wa mgawanyiko wa cells huanza kufanyika. Mayai ambayo yashakua fertilized kuindoka kwenye falopian tube na kuingia kwenye uterus ndani ya siku tatu hadi nne baada ya fertilization
Baada ya hapo inafata process ya upandikizaji (implantation) ambapo mayai ambayo yashakua fertilized huambatana na tishu ya uterus kinachoitwa endometrium
Process inayofuata baada ya hapo ni pregnancy homorne. Kuna homoni inaitwa gonadotrophin ambayo huzalishwa na seli ambaye mwishiwe huunda kitu kinachoitwa placenta. Gonadotrophin hupatikana kwenye damu ya mama ndani ya wiki mojaya mimba kutungwa na inaweza kuwa detected kwa vipimo vya mimba kwa njia ya mkojo au damu
Baada ya upandikizaji baadhi ya seli hutengeneza placenta na zingine hutengeneza kijusi