Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Majanga ya kidunia ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote hayupo.Siku ukipata majanga ya kidunia ndo utamkumbuka Mungu huku ukiwa umepiga magoti ukimlilia lakini itakuwa too late....
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwepo, asingeumba dunia ambayo viumbe wake wanaweza kupata majanga.
Kwa hivyo, nikipata majanga ya kidunia, hayo majanga nayo yatakuwa ni sehemu ya uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.