Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Ndio wewe uniambie vilitokea wapi? Kwa maana naviona na nataka kujua (formation) zake.Una uhakika upi kwamba vilitokea mahala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wewe uniambie vilitokea wapi? Kwa maana naviona na nataka kujua (formation) zake.Una uhakika upi kwamba vilitokea mahala?
Unatunga swali bovu halafu bila aibu unalazimisha watu walalie hukohuko kwenye ubovu wako ambao umetokana na ufahamu wako kuwa duni,Inamaana wewe haujui hivyo vitu vimetokeaje? (formation) kwanini unashindwa kunipa jibu.
Aliyekwambia vilitokea mahala nani?Ndio wewe uniambie vilitokea wapi? Kwa maana naviona na nataka kujua (formation) zake.
Tuko katika mjadala ambao tunajadili kwa kiswahiliKama majibu unayo niambie mkuu kwanini unazunguka
Wewe ukiniambia bahari imesababishwa na miamba, bila kuniambia kwanza miamba imetokea wapi na imesababisha vipi bahari unanipa wasiwasi. Miamba imetokea tu gafla?
Nani aliyesema vilikuwepo tu?Kama vilikuwepo tu vilitokeaje? (Scientifically) vilikuwepo gafla tu?
ukisema vilikuwepo tu, without science evidence, umepata uhakika gani kwamba vilikuwepo tu?
ndio nataka nifike hukoKwanza unipe formation ya hivyo vitu vimetokeaje?
Ila chief una logic aisee, mind yako sio ya mchezo kabisa kuna elimu mtu unapata kupitia maandiko tu hapa vipi kama akipata walau saa moja la kuzungumza ana kwa ana? Hongera sanaMkuu, umeongea kitu muhimu sana.
Watu wengi matendo yao hayaoneshi kwamba wanaamini Mungu, na ironically, mara nyingine sisi tusioamini Mungu ndio tunaotenda matendo yanayoendana na imani za kuamini Mungu.
Nitakupa mfano mmoja mdogo tu.
Nilikuwa katika kundi moja, mtu mmoja akawa analalamika anaumwa katika hilo kundi.
Wale watu wa kwenye hilo kundi wote wanajinasibu na imani ya Mungu.Kila mmoja akawa anasema "tutakuweka kwenye maombi", na "Mungu atakusaidia".
Mimi siamini katika maombi wala Mungu kumsaidia mtu mwenye matatizo, kwa sababu siamini Mungu yupo. Nakwenda kwa falsafa za kwamba, matatizo ya mtu yatamalizwa na mtu, maombi ni kujiliwaza tu na Mungu hayupo.
Nikaguswa sana na kilio cha yule mtu, ni dada wote tunamjua, hana uwezo, na pale kwenye kikundi kuna watu wana uwezo wa kumsaidia wanajibalaguza kumuombea kwa Mungu.
Mimi nikatembeza muamala chapchap yule dada asaidiwe, nikamtumia rafiki yetu mwingine alikuwa Dar alikuwa na wasaa wa kuweza ku organize mgonjwa apelekwe hospitali.
Kuna rafiki yetu mwingine daktari aka arrange hospitali yule dada apokewe.
Ndani ya muda mfupi ule muamala wangu ukawa umeshawezesha yule mgonjwa akatiwe bima, aanze matibabu.
Huku wengine waliojikita kumuombea mgonjwa kwa Mungu wakawa kama wameona aibu, ukatembea mchango kusaidia mgonjwa.
To make a long story short, wale watu wanaoamini Mungu waliofundishwa usamaria mwema na kusaidia watu wenye matatizo wote walikuwa wanaangaliana wakati mwenzao, rafiki yao waliyemjua kwa miaka mingi anakaribia kufa. Na ninaposema anakaribia kufa si utani.Yule rafiki yetu daktari alikuja kutuambia kwamba pale tungechelewa kidogo tu habari ingekuwa tofauti sana.
Nikatokea gubegube tu hata siamini Mungu yupo, lakini kwa sababu siamini Mungu yupo hilo ndilo limenipa wajibu mimi kufanya kazi ya kusaidia mwenyewe bila kumsukumizia mzigo huo Mungu, kwa sababu najua Mungu hayupo. Nikaanzisha msaada chapchap.
Sasa hapo utaona wasioamini Mungu wanafanya usamaria mwema kirahisi kama vile wanaamini Mungu, wanaoamini Mungu wameendekeza ubinafsi.
Hii dunia kama watu wangekuwa kweli wanaamini Mungu yupo kama wanavyodai, maovu mengi sana yangetoweka.
Watu wanaiba mpaka misikitini. Waziri Mkuu katudanganya msikitini kwamba rais mzima anapiga kazi.
Halafu utaambiwa huyo naye anaamini Mungu.
Ni kweli anaamini Mungu?
Bora hata mimi nimesema siamini Mungu na sijadanganya msikitini kama yeye!
unamaanisha Nini ukisema formation?Nimeuliza swali kwenu as a challenge, mniambie formation ya hivyo vitu tu vimetokea wapi, kama hamfahamu mniambie ili tuhamie phase nyingine
Kuuliza hivyo vitu vimetokeaje tokeaje ni swali bovu? Una conclude vipi ni swali bovu ikiwa bado nahitaji kujua hivyo vitu vimetokeaje kwa uthibitisho unaothibitishika kisayansi. Kama majibu unayajua nijibu.Unatunga swali bovu halafu bila aibu unalazimisha watu walalie hukohuko kwenye ubovu wako ambao umetokana na ufahamu wako kuwa duni,
Thibitisha kwanza kwamba hivyo vitu vina formation.
Hatutaki hadithi za limited to time kwa kuwa time yenyewe kuna wakati inakuwa haipo,yaani haiko constant kila mahala.
Kwahiyo havikutokea? Kama havikutokea vimewezaje kuwepo?Aliyekwambia vilitokea mahala nani?
Sawa, baada ya kusoma haya maelezo yako meengi. Sasa nahitaji kujua hivyo vitu vimetokeaje tokeaje (formation) zakeTuko katika mjadala ambao tunajadili kwa kiswahili
Katikati ya mjadala ukauliza swali kwa sharti kwamba lijibiwe kichina
Nakupatia jibu kwa lugha ya kichina unakuja kuonesha tena kuwa kumbe hicho kichina ulichopendekeza jibu lijibiwe nacho hukijui
Sasa unanipa kazi ya ziada na kunitoa kwenye mjadala mkuu, nikufundishe kichina ukijue halafu tena nije nikufundishe namna ya kulielewa jibu la swali ulilouliza
Watu wanajiuliza...kulikua na ulazima gani wa wewe kuhitaji majibu ya swali lako yawe katika lugha ya kichina ilihali kichina hukijui?? Wewe unakazania tu kusema "nipe jibu"
Kuna haja gani ku-demand majibu ya kisayansi ilihali huijui hata basic ya sayansi yenyewe?
Je havipo hata sasa?Nani aliyesema vilikuwepo tu?
Namaanisha vimetokeaje tokeaje hivyo vitu, how do they formed? Mfano ili juice ya parachichi iwepo ina formation yake.unamaanisha Nini ukisema formation?
Hakuna atheist yoyote anayeweza kukupa majibu ya chanzo sahihi cha uhai na viumbe visivyo hai. Wanarukaruka ila mwishowe hawana answers. Kazi yao kubwa ni kukana uwepo wa Mungu.Namaanisha vimetokeaje tokeaje hivyo vitu, how do they formed? Mfano ili juice ya parachichi iwepo ina formation yake.
Nikihitaji kujua juice ya parachichi imetokeaje, nitakuuliza formation yake.
Unaweza ukaniambia ime-form kutokana na ingredients zifuatazo:- tunda parachichi, maji na sukari. Na ikafanyiwa process ya kusagwa na kupatikana juice ya parachichi.
Sasa nitahitaji kujua kwanza hizo ingredients:- Tunda parachichi, maji na sukari vimetokea wapi kwanza?
Kwanini?
Kwasababu nahitaji kujua kwanza hizo ingredients zimetokea wapi? Hizo ingredients zimetokea tu gafla?
Nahitaji jibu ambalo lipo (Well scientifically proved) na sio jibu la kufikirika, kwamba juice ya parachichi imetokana na tunda parachichi, maji na sukari alafu ukaishia hapo bila kuniambia kwanza tunda parachichi, maji na sukari navyo vimetokea wapi?
ushahidi upi Sasa, thibitisha. Kuishia tu kusema "ukifikiria sana" hapana usifikirie sana thibitisha.Hakuna atheist yoyote anayeweza kukupa majibu ya chanzo sahihi cha uhai na viumbe visivyo hai. Wanarukaruka ila mwishowe hawana answers. Kazi yao kubwa ni kukana uwepo wa Mungu.
How did we get in this planet? Why are we here?
Ukiangalia dunia na vyote vilivyomo utagundua kuwa kila kitu kiko carefully planned...na viliandaliwa ili ku support life. Kwa nini uhai uwepo hapa tu na si sayari kama Mars au jupiter?
Ili viumbe viendelee kuishi vinahitaji nishati itokayo kwenye vyakula...na vyakula vipo. Maana yake whoever aliyekusudia kutengeneza vyakula ndiye aliyetu design pia ili tuvitumie.
Wajiulize tena kwa nini tunakunywa maji? Je imagine tungekuwa tunahisi kiu na maji hayapo duniani..ingekuwaje? Nani aliye tu design tutumie maji? Is it by mere chance au we were designed by a super intelligent being?
Ukikaa chini na kutafakari kwa kina upo ushahidi wa uwepo wa Mungu all around us. Mungu yupo.
Mi nakuuliza swali halafu kabla hujajibu umeuliza swali na wewe ili iweje?Je havipo hata sasa?
Hujajibu nilichokuuliza,unalielewa hilo?Kwahiyo havikutokea? Kama havikutokea vimewezaje kuwepo?
Aliyekwambia vimetokea tokea nani? Kwa nini usimuulize huyo iwapo alikwambia vimetokea tokea?Kuuliza hivyo vitu vimetokeaje tokeaje ni swali bovu? Una conclude vipi ni swali bovu ikiwa bado nahitaji kujua hivyo vitu vimetokeaje kwa uthibitisho unaothibitishika kisayansi. Kama majibu unayajua nijibu.