Kaumba kweli huu ulimwengu au hajaumba? Tuanzie hapo.Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unaweza kuruhusu mabaya, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Usiogope huyo huwa hana misingi kwenye hoja zake yeye chochote anaweza kuongea ilimradi kubisha, huwa hajali kuhusu kujichanganya kama wewe.Duh aisee apo sasa ushaniachanganya mkuu basi tufanye tu nimeelewa mana nikizid kuuliza najimix mimi mwenyewe
Kwanini mkuu?Mmeanzisha ligi na Kiranga, poleni
Unatakiwa kuuliza imekuwaje ulimwengu mzuri alioumba Mungu ukageuka kuwa na haya yote mabaya?Hoja zote za @Kiranga kuhusu inakuwaje Mungu muweza wa yote,mjuzi na anayejua yaliyopita,ya sasa na yajayo inakuwaje anaumba Ulimwengu amabao watoto,walemavu na wasiojiweza wanateseka eti kwa kigezo kuwa wakiteseka ndiyo njia ya kuupata wokovu?
Mungu aliumba ulimwengu ambao ni perfect.Mungu alishindwa nini kuumba ulimwengu uliyo perfect?
Mungu anafahamu upendo wa kweli unakuwepo ikiwa kuna uhuru. Alimuumba shetani na yeye akaamua kuasi. Ni uamuzi wake.Kwanini alimuumba Shetani huku akijua kuwa baadae atahasi na kuusumbua ulimwengu?
Hili umelitoa wapi?Kwanini gharama ya binadamu anayolipia ili Mungu aamini kuwa binadamu anampenda ni maumivu na mateso yanyoitwa eti "majalibu"?
Yanini kuwatesa binadamu na uhuru?Unatakiwa kuuliza imekuwaje ulimwengu mzuri alioumba Mungu ukageuka kuwa na haya yote mabaya?
Mungu aliumba ulimwengu ambao ni perfect.
Mungu anafahamu upendo wa kweli unakuwepo ikiwa kuna uhuru. Alimuumba shetani na yeye akaamua kuasi. Ni uamuzi wake.
Hili umelitoa wapi?
Unafahamu dhambi ilianzaje duniani?Yanini kuwatesa binadamu na uhuru?
Uhuru ambao wana uwezo wa kuuishi?
Tunarudi palepale yanini kuumba ulimwengu wa vita,mafuriko,ajali,magonjwa ili tu kuwajaribu viumbe wako kama wamaweza kuamua kukupenda kwa kutumia uhuru wao?
Kama ulimwengu ulikuwa perfect mbona kuna dhambi duniani?
Kwa hiyo wakati anaumba ulimwengu ukiwa perfect, hakujua kuwa baadae utakuwa imperfect? Unaanza mwondolea sifa sasa!Unatakiwa kuuliza imekuwaje ulimwengu mzuri alioumba Mungu ukageuka kuwa na haya yote mabaya?
Mungu aliumba ulimwengu ambao ni perfect.
Hakubaligi kushindwa huyo, si unaona tangu asubuh hadi jioni hii bado mpo kwenye ligi tu.Kwanini mkuu?
Ili iweje?Tunaendelea kumpa nafasi ya kumrudia Mungu wake.
Unaposema unatakiwa kujiuliza ilikuwaje ulimwengu mzuri....Wapi nimesema hakujua?
Mungu anajua mwisho tangu mwanzoni. Plan hajaibadilisha yeye. Mwanadamu alipoasi ndipo dhambi na mabaya yalipoanza.Unaposema unatakiwa kujiuliza ilikuwaje ulimwengu mzuri....
Tafsiri yake ni kwamba mwanzo hakulenga ulimwengu uwe mbaya ila kuna sababu za baadae ndizo zikachange plan...
Sasa ndio maana nikakuuliza kwa hiyo mwanzo hakujua nini kitatokea baadae?
Kulingana na matazamo upi?Unafahamu dhambi ilianzaje duniani?
Kwa hiyo Mungu alimuumba makusudi mwanadamu aliyejua vyovyote vile ataasi? So aliumba makusudi kiumbe ambacho hakiko perfect ilikihasi halafu akiadhibu?Mungu anajua mwisho tangu mwanzoni. Plan hajaibadilisha yeye. Mwanadamu alipoasi ndipo dhambi na mabaya yalipoanza.
Kuna watu wengi wanafuatilia hii mijadala hivyo yeye kutokukubali kushibdwa wala sio tatizo.Hakubaligi kushindwa huyo, si unaona tangu asubuh hadi jioni hii bado mpo kwenye ligi tu.
Mwishoni mtaishia pabaya