Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayeweza thibitisha kisayansi uwepo wa MunguKuna watu wengi wanafuatilia hii mijadala hivyo yeye kutokukubali kushibdwa wala sio tatizo.
Kwanini kisayansi?Hakuna anayeweza thibitisha kisayansi uwepo wa Mungu
Hebu twende taratibu, kuna viumbe malaika ambao kwa imani ya waislamu huamini kwamba viumbe hao huwa hawatendi dhambi na wanaishi huko mbinguni je, unataka kuniambia viumbe hao wakija duniani watatenda dhambi kwa sababu huu ulimwengu umeumbwa kuruhusu dhambi kutendeka?Hauwezekani kuwa na mabaya, hauna magonjwa, hauna majanga ya asili, hauna njaa, hauna uwezekano wa watu kufanya dhambi na hivyo hauna adhabu, hauna mtu kupata asichokitaka na kukosa anachokitaka na hauna contradiction katika yote hayo.
Fikiri kidhahania, usifikiri kwa kuwa limited na ukimwengu uliopo.
Mungu alishindwa kuuumba ulimwengu huo?
Dhana ipi ya uwepo wake yenye kujipinga? Usinitajia dhana nyengine ya yeye kuumba nataka hiyo dhana ya uwepo wake. Kwa sababu vinavyohusishwa kuumbwa na huyo Mungu ni vingi huo ulimwengu ni kimoja wapo tu.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Dhana ya uwepo wake inajipinga yenyewe, pia inapingwa na ulimwengu tunaouona.
Utazowea tu mkuu hii mijadala ina miaka humu.Haaaaa hatimae mmelala humu humu, tangu Jana asubuhi hadi usiku huu wa manane. Na bado
Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri.
Thibitisha Mungu yupo.
Hapana, mfatilie vizuri historia yake, ipo humu Kilanga ni MKATOLIKI aliye ASI, kakulia RC huyoKiranga kazaliwa na kakuta watu wana hiyo imani ya kuamini hakuna Mungu na yeye akafuata hiyo imani.
Binadamu ana milango mitano ya ufahamu,katika level ya kileimani hiyo miundombinu aitumiyo binadamu kuyatambua mazingira yakeKwanini kisayansi?
hakumwona hasimu wake shetwan akipanga mbinu za kumpindua Katika kiti chake Cha Enzi Mpaka akashawishi theluthi ya malaika Mpaka mwisho wanafanya jaribio la uasi HukoMungu amekiona kwasababu amekuona ukifanya. Hata akirudi mwaka 2000 leo hii atakuwa anakuona ukifanya. Ndivyo hivyo atakuona ukifanya mwaka 2040. Na yote haya anayaona saa hivi.
location ya kuzimu please nikamfanyie research na kumhoji maswali yenye ukakasi maana hua analaumiwa Kwa mambo mengi na Watu wa upande wa Mungu kwamba yeye ni mbaya na chanzo Cha matatizo yenu,hivyo kutokana na yeye kutokusikilizwa upande wake nipe location niende nikahoji tuone utetezi wake Ili tubalance story!Yuko pande za kuzimu ila anao wawakilishi wake hapohapo ulipo.
Logical non sequitur.Ungetuambia mwanzo wa mwanadamu ni nini? Sio unasema tu Mungu hayupo
Logical non sequitur.Kwani hii dunia umeiumba wewe?
Kuna watu mnajifanya mnanijua kama wake zangu vile.Hapana, mfatilie vizuri historia yake, ipo humu Kilanga ni MKATOLIKI aliye ASI, kakulia RC huyo
Wewe unaweza kuthibitisha kivipi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?Kwanini kisayansi?
ukimsadia mtu nauli au hela ya chakula hiyo ni sadaka piaSadaka inatolewa katika madhabahu hata kama mpokeaji ni binadamu. Sadaka inaunganishwa na ulimwengu wa roho kupitia madhabahu. Ulimwengu wa roho ndio sasa Mungu yupo na wale viumbe wasioonekana ikiwa ni pamoja na walioasi.
Kwani wewe unaweza vp kutuhakikishia kwamba hayuko huko panaposemwa ndio yupo huyo Mungu yupo?Wewe unaweza kuthibitisha kivipi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?
Wanalazimisha lazima iwe katika dini yao.ukimsadia mtu nauli au hela ya chakula hiyo ni sadaka pia
The problem of evil contradicts the existence of that God. It proves that God does not exists, by contradiction.Kwani wewe unaweza vp kutuhakikishia kwamba hayuko huko panaposemwa ndio yupo huyo Mungu yupo?