Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Ungetuambia mwanzo wa mwanadamu ni nini? Sio unasema tu Mungu hayupo
 
 
Hauwezekani kuwa na mabaya, hauna magonjwa, hauna majanga ya asili, hauna njaa, hauna uwezekano wa watu kufanya dhambi na hivyo hauna adhabu, hauna mtu kupata asichokitaka na kukosa anachokitaka na hauna contradiction katika yote hayo.

Fikiri kidhahania, usifikiri kwa kuwa limited na ukimwengu uliopo.

Mungu alishindwa kuuumba ulimwengu huo?
Hebu twende taratibu, kuna viumbe malaika ambao kwa imani ya waislamu huamini kwamba viumbe hao huwa hawatendi dhambi na wanaishi huko mbinguni je, unataka kuniambia viumbe hao wakija duniani watatenda dhambi kwa sababu huu ulimwengu umeumbwa kuruhusu dhambi kutendeka?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Dhana ya uwepo wake inajipinga yenyewe, pia inapingwa na ulimwengu tunaouona.
Dhana ipi ya uwepo wake yenye kujipinga? Usinitajia dhana nyengine ya yeye kuumba nataka hiyo dhana ya uwepo wake. Kwa sababu vinavyohusishwa kuumbwa na huyo Mungu ni vingi huo ulimwengu ni kimoja wapo tu.
 
Kwanini kisayansi?
Binadamu ana milango mitano ya ufahamu,katika level ya kileimani hiyo miundombinu aitumiyo binadamu kuyatambua mazingira yake

Na ndiyo sayansi yenyewe at the primary level,

Je,tunaweza kumthibitisha Mungu kwa kuona,kuhisi,kuhonja,kusikia na kunusa?
 
Mungu amekiona kwasababu amekuona ukifanya. Hata akirudi mwaka 2000 leo hii atakuwa anakuona ukifanya. Ndivyo hivyo atakuona ukifanya mwaka 2040. Na yote haya anayaona saa hivi.
hakumwona hasimu wake shetwan akipanga mbinu za kumpindua Katika kiti chake Cha Enzi Mpaka akashawishi theluthi ya malaika Mpaka mwisho wanafanya jaribio la uasi Huko
Mbinguni,huyo Mungu mjuzi wa yote alizubaa wapi mbona kama mnampa sifa ambazo hazipo Katika uhalisia?
 
Yuko pande za kuzimu ila anao wawakilishi wake hapohapo ulipo.
location ya kuzimu please nikamfanyie research na kumhoji maswali yenye ukakasi maana hua analaumiwa Kwa mambo mengi na Watu wa upande wa Mungu kwamba yeye ni mbaya na chanzo Cha matatizo yenu,hivyo kutokana na yeye kutokusikilizwa upande wake nipe location niende nikahoji tuone utetezi wake Ili tubalance story!
 
Ungetuambia mwanzo wa mwanadamu ni nini? Sio unasema tu Mungu hayupo
Logical non sequitur.

Mfano.

Wewe una miaka 30.

Unaniambia mama yako mzazi ni binti mchanga wa miezi 6.

Nakwambia huyo binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama yako mzazi.

Hiyo ni contradiction kwenye timeline. Mama yako mzazi hawezi kuwa mdogo kuliko wewe.

Unaniambia basi nikwambie mama yako ni nani.

Sihitaji kumjua mama yako mzazi ni nani ili kujua kwamba huyo binti wa miezi 6 hawezi kuwa mama yako mzazi.

Naweza kujua jibu fulani si sahihi, bila hata kujua jibu sahihi.
 
Kwani hii dunia umeiumba wewe?
Logical non sequitur.

Inawezekana dunia nikawa sijaiumba mimi na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote akawa hayupo.

Hakuna contradiction hapo.

Jifunze kufikiri kidhahania.

Jifunze kufikiri kimantiki.

Jifunze kuuliza maswali yasiyo na logical non sequitur.
 
Hapana, mfatilie vizuri historia yake, ipo humu Kilanga ni MKATOLIKI aliye ASI, kakulia RC huyo
Kuna watu mnajifanya mnanijua kama wake zangu vile.

Sijawahi kuwa Mkatoliki hata kwa siku moja katika maisha yangu.

Kama unajifanya unanijua kuliko ninavyojijua mwenyewe, weka ushahidi huo hapa.

Else, stop riding my dyck like you are some kind of wife I didn't know I had.
 
Wewe unaweza kuthibitisha kivipi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?
Kwani wewe unaweza vp kutuhakikishia kwamba hayuko huko panaposemwa ndio yupo huyo Mungu yupo?
 
Kwani wewe unaweza vp kutuhakikishia kwamba hayuko huko panaposemwa ndio yupo huyo Mungu yupo?
The problem of evil contradicts the existence of that God. It proves that God does not exists, by contradiction.

Do you understand that?

Kuwezekana kwa mabaya popote pale, kunathibitisha Mungu huyo hayupo popote pale.
 
Back
Top Bottom