Siyo AI tu ...katika dini ya mudi boy hata MAJINI NA SHETANI (IBILISI) WAMESILIMU NA KUWA WAISLAMU.Wajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.
According to KirangaHuwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Watu wanaogopa kuacha dini zao mkuu?Hili ni jukwaa huru Kila mmoja anao Uhuru wa kukubaliana ama kutokukubaliana na Jambo Fulani as long as hatukani mtu wala kumkosea heshima. Just ignore them kama unaona wanachoandika hakiendani na wewe
πππThough umeonyesha hawa watu wakikaza kukushawishi unaweza kushawishika
Kwenye nyuzi zangu alijitokeza tokeza, "nikampasua kwa moto na nyundo ivunjayo miamba vipande vipande huyo shetani aliye nyuma yake." Amechukia sana mpaka ameamua kuniweka kwenye ignore list π. Namuombea Mungu amhurumie na kumuokoa. Tumsamehe tu bure, hajui alitendalo. Hata sisi kabla Yesu hajatuokoa, tulikuwa kama yeye.Huwa najiuliza sana kwanini huyu @Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Pole sana kwa kukubali kushirikiana na shetani. Kwa taarifa yako hiyo kazi unayoifanya ina mwisho. Usifikiri utaendelea kumpinga Mungu milele. Siku inakuja ya hukumu ambapo wote wasiomwamini Mungu watatupwa pamoja na shetani katika ziwa liwakalo moto na kiberiti. Tubu haraka kabla neema haijafungwa.Kazi ya kupinga uwepo wa Mungu ni kazi endelevu.
SalamalekoWajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.
Popo mbili za vuka mto unazani hii kauli ni kweli shtukaHuwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Kwa mtazamo wako,binadamu walitoka wapi mkuu?Kazi ya kupinga uwepo wa Mungu ni kazi endelevu.
Kila siku wanazaliwa watoto wapya wanapewa mafundisho ya uongo kwamba Mungu yupo.
Sasa tutaridhika vipi tukae kimya ikiwa uongo huu unafundishwa kila siku?
Ulishaona makanisa yanaridhika yanasema tusifundishe tena watu habari za uongo huu wa kuwapo Mungu?
Ulishaona misikiti inaridhika na kusema sasa tumeridhika kusema habari za uongo kwamba Mungu yupo?
Sasa kama hawa wasema uongo wa makanisani na misikitini na wengine wengi kama wao hawaridhiki kusema uongo, unapata wapi uhalali wa kutuambia sisi tunaonyoosha mambo na kuhoji uongo huo turidhike?
Jibu hoja, acha kushambulia watoa hoja.
Kushambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja ni logical fallacy.
Ni tabia ya watu wasio na hoja.
Ni ad hominem logical fallacy.
Unajua logical fallacy ni nini?
Kwanza kabisa hakuna binadamu. Unless one of your ancestors aliitwa Adam.Kwa mtazamo wako,binadamu walitoka wapi mkuu?
Huu ni uchokozi wa wazi kwa uliowataja. Au unawaita kinamna?Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Hawana ukweli wowoteππππ Kwamba uko fifute fifute au hoja zao huwa zinamake sense kiasi cha kukufanya ushindwe kujua wapi ubakie? Huo ndio unaitwa uamsho, tumia hoja zao kwenye Kutafakari labda unaweza ukaupata ukweli mkuu.
Waambie wasisumbue watu masikini na vispika VYAO kusunbua watu.Kwani makanisa majengo hayawatoshi.Wewe hupendi wakionekana kwenye hizo nyuzi,,,,? Well kila mtu ana mtizamo na imani zake khs mambo flani flani ,,, ! Sio uhaini mimi kuamini kitu ambacho wewe haukiamini
Tupate wadhamini kidogoWajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.