LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba mpya ya wananchi.
Kwa ufupi uongozi wa Mama Samia utakuwa uongozi utakao acha neema kubwa sana kwa wananchi wa Tanzania na Taifa kwa ujumla.
Rais atakae pokea kijiti cha Mama Samia hiyo mwaka 2030 atakuwa mwanamke pia, ambae ataendeleza pale pale alipoishia Mama SAMIA. Je unajua Rais huyo ni nani ?
Kabla hujamjua Rais huyo ni nani wacha nikurudishe mwaka 2015 wakati wa vuguvugu la kumchagua mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM.
Mpango Wa Mungu ulikuwa kiti Cha Urais wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kikaliwe na mwanamke kuanzia hiyo mwaka 2015. Mwendazake hakuwa kabisa kwenye mipango ya Mungu kwa habari ya kiti cha Urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania
Kwanini nasema mpango wa mungu ilikuwa Rais awe mwanamke?
Wote tunakubaliana na hoja kwamba " sauti ya wengi ni sauti ya mungu " right?
Sasa basi twende kwenye matokeo ya kura za kumchagua mgombea wa urais wa CCM.
1. Namba moja alikuwa AMINA SALUM ALI
2. Namba mbili alikuwa ASHAROSE MIGIRO.
3. Namba tatu akawa Mwendazake.
Hapo maana yake ni kwamba, Mungu alitaka mwanamke ndio awe Rais wa nchi hii.
Option ya kwanza ilikuwa ni Mwanamke na option ya pili ilikuwa Mwanamke pia.
However wazito wa CCM hawakutaka kutii sauti hii ya Mungu, wakaamua kufanya wanavyo taka kwa kumpitisha mgombea chaguo lao kimabavu.
Hata hivyo kwa kuwa mpango wa Mungu bado uko pale pale kwamba kiti cha urais wa Tz kikaliwe na mwanamke, aliweka wazo ndani yao kwamba wamchague makamo mwanamke.
Miaka 6 baadae chaguo la Mungu linadhihirika , Mungu anamuweka mwanamke kwenye kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama alivyo kusudia toka awali.
Mungu anaiongoza Tanzania kupitia mwanamke. Kwa wasio fahamu, mwanamke ndio lango la asili linalo tumika kuunganisha MBINGU na ARDHI. " Roho zetu ( ambazo zinatoka kwa Mungu na ambazo ni Mungu mwenyewe kabisa ) ili zije duniani ni lazima zipitie kwenye tumbo la mwanamke kwanza.
So Mungu mwenyewe ameamua kuja kui guide Tanzania na amefanya hivyo kupitia mwanamke.
Unae pambana na Mama Samia jua kuwa unapambana na Mungu mwenyewe, maana yake ni kwamba umeshashindwa hata kabla hauja anza.
Back kwa Rais Mwanamke atakae pokea kijiti cha Mama Samia: Sitomtaja jina bali nita taja sifa zake.
1. Amezaliwa mwaka 1987.
2. Alizaliwa Washington DC wakati wazazi wanaishi na kufanya kazi nchini humo.
3. Alirejea Tanzania na wazazi wake, mwaka 1993.
4. Shule ya Msingi alisoma Olympio
5. Ni Alumni wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam ( 2007-2010)
6. Wakati ana kalia kiti cha Urais atakuwa na umri wa miaka 43.
Atakuwa kiongozi bora sana, chini ya uongozi wake nchi ya Tanzania itaendelea kuneemeka kama itakavyo kuwa kwa uongozi wa Mama Samia.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Afrika.