Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

February anaamdaliwa kwa usiri mkubwa mno hata huyo dr mapango anakatiliwa mbali subirini muone kwenye kikao cha halimashauri kuu siku hiyo ifike.
Hii coment iwekeni
 
Hata baada ya huyo mrithi wa mama Samia kumaliza nuda wake mwaka 2040, atakayefuata atakuwa mwanamke pia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja. Wanaume tukipewa nafasi tunakimbilia kupiga risasi kina Lissu na kutaka kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Yer 31:22​

Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume
 
Back
Top Bottom