Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Afrika tumewekeza sana kwenye uchawi, uganga na dini! Basi tutumie hizo dini zituokoe kwenye hili. Kwa kifupi bila sayansi na technolojia ni hakuna maisha
 
Hamaki ndo kinachoendelea sasa hivi!

Kupitia hili janga nimeanza kuona inawezekana kabisa wafanyabiashara hua kuna namna wanafanya kusababisha hali flani itokee kuweza kufanikisha mambo yao.

Nimewaza tu inawezekana siku za usoni watu wakaanzisha habari ikatengeneza hofu inayotibua utulivu wa kufikiri kabisa, kinachofuatia ni maamuzi yasiyo na umakini.

Hata hizi baadhi ya vita na migogoro isiyoisha inawezakuwa iko namna.
 


Ikiwa bado na wewe uko JF basi hali sio mbaya sana.
 
Ulikuwa unataka kwenda bafuni,mara ghafla umejikuta chooni!! Nadhani ulisahau kuwa choo kimekubana kuliko uchafu wako wa mwili,,hata hueleweki unalalamikia nini! Ukikubali kuwa wewe ni mzee kubali kuwa pia akili yako nayo imezeeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo na wewe umeamini kuwa corona ni hatari kuliko ukimwi? Wewe utakuwa na corona ya ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ipo Afrika karibia mwezi sasa,unaweza kuniambia ni waafrika wangapi wameshauliwa na hiyo corona?au na wewe umefata tu mkumbo wa watu weupe ambao kwao mafua ni zaidi ya ebola?tusitishane bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi sasa umeshaua waafrika wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…