mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ni hatari. elimu kwanza usemaji baadaehahahah, eti hata ukipaliwa na pilipili...
hahahahahh
Huo ndio unyanyapaakuna jamaa raia walltaka kummaliza akakimbilia kituo cha polisi kisa eti wamemuhisi ana corona,
wabongo wengine ni umbwa washamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuyote kwa yote furaha yetu ni kuona comments zako jf tuna amini uko happy sass hivi roho wa Mungu yu ndani yako.
Hamaki ndo kinachoendelea sasa hivi!
jamii forum imekufa jamii forum ya sasa sio ya mwaka 2012,13 ,14,15 mwanzoni jf ya sasa imevamiwa na watoto wa dogo wa facebook na instagram mtoto mdogo anatoa hoja ya kishamba kabisa na alafu wahusika wanauwacha . hiii ni aibu sana kwa wahusika na sisi wadau wa muda mrefu maana bila sisi wadau wa muda mrefu leo hii hawa watoto wadogo wasigeijua jf . hivi wahusika kwann hawa watoto msiwape jukwaa lao . jukwaa la watoto chini ya 18 . kuliko kuja humu wanatuaharibia sana jukwaa linakosa mvuto jukwaa limepoteza ushawishi wada wengine wanatoka wanenda twitter
Ulikuwa unataka kwenda bafuni,mara ghafla umejikuta chooni!! Nadhani ulisahau kuwa choo kimekubana kuliko uchafu wako wa mwili,,hata hueleweki unalalamikia nini! Ukikubali kuwa wewe ni mzee kubali kuwa pia akili yako nayo imezeeka.jamii forum imekufa jamii forum ya sasa sio ya mwaka 2012,13 ,14,15 mwanzoni jf ya sasa imevamiwa na watoto wa dogo wa facebook na instagram mtoto mdogo anatoa hoja ya kishamba kabisa na alafu wahusika wanauwacha . hiii ni aibu sana kwa wahusika na sisi wadau wa muda mrefu maana bila sisi wadau wa muda mrefu leo hii hawa watoto wadogo wasigeijua jf . hivi wahusika kwann hawa watoto msiwape jukwaa lao . jukwaa la watoto chini ya 18 . kuliko kuja humu wanatuaharibia sana jukwaa linakosa mvuto jukwaa limepoteza ushawishi wada wengine wanatoka wanenda twitter
Kwa hiyo na wewe umeamini kuwa corona ni hatari kuliko ukimwi? Wewe utakuwa na corona ya ubongo.hivi anapoweka kichwa cha habari nanukuu mimi siogopi corana alafu unaingia ndani anachosema kwanini agopi corana anajua mwenyewe wakati huo huo mjomba wake magufuli anawaambia wazazi wake na kakae zake kwamba corona ni hatari ziaidi ya ukimwi sasa mimi nikisema huyo ni dogo ana akili za kitoto na jukwaa limevamiwa na watoto wa fb na insta nitakuwa nimekosea mkuu
Corona ipo Afrika karibia mwezi sasa,unaweza kuniambia ni waafrika wangapi wameshauliwa na hiyo corona?au na wewe umefata tu mkumbo wa watu weupe ambao kwao mafua ni zaidi ya ebola?tusitishane banaKorona ni janga aiseee
Waswahili tuombe Mungu isituathiri kama inavyowafanya watu wa ulaya huko
Ninyi wabongo mnazusha mambo mengi tu mara oooh mmarekani ndio aliitengeneza ili kumdhoofisha mchina, lakini kwa sasa korona inamtafuna mmarekani na nchi washirika wake bila huruma
Korona ni jabari kweli, linatesa na unakufa
Mitandao hiyohiyo ndiyo inayosema kuwa mortality rate ya corona ni 3-5% wakati ebola ni 25-40%!!unataka tukuamini wewe na wachina wako?Kipya kinyemi.
Tuliza tako, chukua tahadhari.
Usibishane na wataalamu utaumia mwenyewe mitandao isikudanganye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa umeshaua waafrika wangapi?Upo sawa but corona inaonekana ni tishio kwasababu inauwa watu wengi kwa muda mfupi.
lkn pia ni muhimu ku tek note kwamba kuna magonjwa ya kikanda kama ebola/ugonjwa wa watu weusi hususan bara la Africa hasa Africa ya kati....
corona una cut accross/ugonjwa wa dunia
That's my boy.....good job sonSina muda wa kugombea karatasi za kuchambia mazee.
Nikikata gogo naingia bafuni tu, naoga.
So fresh, so clean.