Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Wakuu somen taratb ni kutumia sio kumtumia,,,jamaaa nae eh abadilike sasa
 
Wadau jambo la kushangaza sana leo asubuhi yule dada amenipigia simu. Ni miaka zaidi ya 8 sikuwahi wasiliana naye.leo amepiga simu asubuhi hii kunisalimia. Anasema amenikumbuka sana. Namuuliza upo wapi hajataka kujibu.

nimeshangaa sababu tulipotezana kitambo sana kwa mawasiliano.mimi namba ninayotumia sikuwahi badilisha kwa zaidi ya miaka 15 yeye alipotea tu hewani akawa hapatikani.leo ndo amenipigia. Sikumtambua mpaka alipokutambulisha. Nmeshindwa elewa imekuaje.
 
Mkuu malizia kabla hajakukataza....
Afu kapashe kiporo.
 
Wadau jambo la kushangaza sana leo asubuhi yule dada amenipigia simu. Ni miaka zaidi ya 8 sikuwahi wasiliana naye.leo amepiga simu asubuhi hii kunisalimia. Anasema amenikumbuka sana. Namuuliza upo wapi hajataka kujibu.

nimeshangaa sababu tulipotezana kitambo sana kwa mawasiliano.mimi namba ninayotumia sikuwahi badilisha kwa zaidi ya miaka 15 yeye alipotea tu hewani akawa hapatikani.leo ndo amenipigia. Sikumtambua mpaka alipokutambulisha. Nmeshindwa elewa imekuaje.
Hapa naona stor inaishia hapa...umepiga stor zake kakutafta na leo usiku lazima aje usiku kukuonya uishie hapahapa hahahahha
 
Daaah.... Usiamini hilo. Story ni mimi nliamua kuandika ktk miaka yote hii jamaa yangu mmoja tu ndo nliwahi mwambia kidogo.so nitaiandika.sikatishi wala sianzishi group la whatsapp. Ntaiandika.

Hapa naona stor inaishia hapa...umepiga stor zake kakutafta na leo usiku lazima aje usiku kukuonya uishie hapahapa hahahahha
 
Wadau jambo la kushangaza sana leo asubuhi yule dada amenipigia simu. Ni miaka zaidi ya 8 sikuwahi wasiliana naye.leo amepiga simu asubuhi hii kunisalimia. Anasema amenikumbuka sana. Namuuliza upo wapi hajataka kujibu.

nimeshangaa sababu tulipotezana kitambo sana kwa mawasiliano.mimi namba ninayotumia sikuwahi badilisha kwa zaidi ya miaka 15 yeye alipotea tu hewani akawa hapatikani.leo ndo amenipigia. Sikumtambua mpaka alipokutambulisha. Nmeshindwa elewa imekuaje.
Ipua Chai... Ishachemka sana
 
Back
Top Bottom