Kisaikolojia ukijinadi wewe sio muoga uhalisia wake wewe ni muoga

Kisaikolojia ukilazimisha sana kuitwa daktari wakati kidato cha nne ndio elimu yako ya mwisho na ulipata daraja 0 , hata ukilazimisha kwa kununua au kuhonga uitwe daktari haitobadilisha uhalisia kuwa wewe sio daktari.

Madaktari wengi wa kweli hawana papara kulazimishwa kila waitwapo uanze kwa kuwaita daktari.
 
Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.

Ni somo tu kwa wanaolewa sailolojia
Lumumba B7 bhana..

Mtageuza kila theory ili ku - fit narratives zenu wakati huo huo mkijifariji kwa kudhani kuwa mtainywa damu ya huyu mwamba juu ya madhabahu zenu za majini ya Zanzibar na Kizimkazi mashetani nyie...

Whether you like it or not, Tundu Lissu is truly sio mwoga, haogopi lolote na chochote...

Hayumbi wala kubabaishwa na chochote...

Anasimama kwenye kile anachokiamini. Hata ufanye nini humtoi hapo...

Huyu angekuwa ni mwoga, zile risasi zingemtuliza na kufumba mdomo wake...

Lakini ndio tu zikawa kichocheo cha kumkabili aliyempiga hizo risasi (Magufuli) hadi muuaji aliyejaribu kumuua, aka surrender na hatimaye kifo kikamgeukia mwenyewe na kumfyekelea mbali kule..!!!

Usicheze na kujaribu kupambana na Masihi wa Bwana, utakwenda na maji ya mkondo mkali sana...

Samia Suluhu Hassan lazima anywee kikombe chake vilevile kama anavyomnywesha jamaa..

It's just a matter of time...
 
Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.

Ni somo tu kwa wanaolewa sailolojia
Elimu ya kweli inatoka kwa mama baba na ndugu
Kwa hiyo hilo somo lako la sailolojia unalotulingishia hapa umelipata kwa mama baba na ndugu!
 
Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.

Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Tuwekee alipokuomba umuombee msamaha.
 
Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.

Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Toa evidence...
 
Kisaikolojia ukilazimisha sana kuitwa daktari wakati kidato cha nne ndio elimu yako ya mwisho na ulipata daraja 0 , hata ukilazimisha kwa kununua au kuhonga uitwe daktari haitobadilisha uhalisia kuwa wewe sio daktari.

Madaktari wengi wa kweli hawana papara kulazimishwa kila waitwapo uanze kwa kuwaita daktari.
Hapo hurushi jiwe gizani ila kuna mtu wako unamtaka ujumbe umfikie
 
Back
Top Bottom