We zee Tulia huna lolote kalee wajukuu
Utakuwa unamuongelea Lissu.Lakini Lissu aliongelea kuhusu mtu anaposhtumiwa na jambo fulani akiwa hajatenda.Kumbe anayemshtumu ndiye mkosaji.Bila shaka anayekuwa na hofu au mwoga ni yule mkosaji.Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Lakini bado vitendo vyake pekee vinaonesha sio muoga hata kidogo.Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
“Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba."Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Na huyu kijana anayejitabiria kwamba mwaka 2040 atakuwa maarufu ni hii kisaikolojia Ipoje ?Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Kwaiyo hata kama ndugu yako ni Uncle TElimu ya kweli inatoka kwa mama baba na ndugu
Kisaikolojia, ukiona jitu linatetea chama cha majizi, marushwa basi ujue kisaikolojia hilo jitu linapenda kuiba na kula rushwaKisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Huyo mgonjwa wa akiliNa huyu kijana anayejitabiria kwamba mwaka 2040 atakuwa maarufu ni hii kisaikolojia Ipoje ?
Waoga wenye tabia za kike ndio hukaa kimya mwanaume anajitokeza na kuwafyatua mahakamani kama hamna akili na amewambia haogopi machoko kama wewe.Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
How can you support the sentiment which is out of the context, do you think Tundu Lissu is just making superiority complex? If you think so you are just beguiling yourself simply white he says he does.
Kisaikolojia ukimfanyia mtu ukatili ili aogope na asipoogopa, inakuuma sana maana lengo lako halijafanikiwa, hasa ww uliyetaka kumtisha ukiwa uko madarakani kwa wizi wa kura na mauaji ya kutisha.Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Mabadiliko siku zote huletwa na watu wa aina ya kina Tundu Lisu, sio kama kina Balile, au ww.
Daah aisee..Hiyo ni saikolojia ya mama yako
Upo sahihi sana.Mabadiliko siku zote huletwa na watu wa aina ya kina Tundu Lisu, sio kama kina Balile, au ww.