Kama hakuna mnachomdai basi mwambieni hana haja ya kugombea tena urais akapumzike akalee wajukuu maana keshamaliza shida zote za nchi kupitia uongozi wake hada deni.Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Hatuchagui Rais wa nchi ili aje kuonyesha juhudi zake binafsi, utetezi unaoufanya hapa ni dalili za uchawa na kujipendekeza ili mkono uende kinywani.watanzania hamjawahi kukubali wala kukaribia kukubali juhudi binafsi za rais yeyote katika nchi hii.
Mbezi beach barabara zisizo za lami kwa urefu wake hazizidi kilomita 30 maeneo yote kuanzia kwa Malecela mpaka ile njia ya kwenda Kilongawima, barabara zote za mchanga zinaweza kabisa kutengenezwa kwa kiwango cha lami.Wakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
Tunasahau kuwa wanaomsaidia Rais ni sisi kwa maana ya mimi na wewe huko kwenye mashirika na taasisi za umma, je tunatimiza lengo la sisi kupewa hizo nafasi?.Hatuchagui Rais wa nchi ili aje kuonyesha juhudi zake binafsi, utetezi unaoufanya hapa ni dalili za uchawa na kujipendekeza ili mkono uende kinywani.
Tunachagua Rais mwenye uwezo wa kiuongozi na utawala ili ahakikishe mipango ya nchi na programu zake zinatekelezwa kama Katiba inavyoelekeza.
Dhana hii ya uongozi inapimwa kwa marais wote tangu tupate uhuru, inashangaza sana unaposema Rais wako Samia kafanya mengi wakati karithi tu nafasi na anatembelea nyota ya mtangulizi wake!.
Tanzania inafahamika kwa ukubwa wake ndani ya EAC na Africa kwa ujumla sasa huwezi kuja kulialia kuwa Tanzania ni kubwa kuweza kupeleka maendeleo kila mahali na hivyo Rais wako wa Kizimkazi apewe sifa angalau kwa hicho kilichofanyika wakati ndio wajibu wake!. 😲
Awamu zote za uongozi wa nchi hii nimeziishi na Tanzania hii ni mikoa mitatu tu sijafika sasa sijui unataka kutoa mifano yako ya Rais Samia kupeleka maendeleo ya shule hospitali na vyoo wapi ambapo sijawahi kufika na kujionea?
Rais si ndio mkuu wa Serikali na anakuwa na instruments zote za kuiendesha Serikali ikiwemo kuchagua mawaziri wa kuunda cabinet na baadaye kuitisha mikutano ya wajumbe wa baraza la mawaziri ?Kila CAG kuanzia Utoh mpaka huyu wa sasa ni kipindi cha miaka 30 ya ukaguzi wa mahesabu, na kila ripoti inayotolewa kila mwaka imejaa madudu ya watumishi wa taasisi mbalimbali zinazokaguliwa, na huko nako mhusika mkuu ni Rais wa nchi?.
Mkuu kulalamika ni kazi nyepesi, kutenda ni shughuli nyingine tofauti kabisa. Ongelea pia mengi mema ambayo yanatendwa sio kuzoea hulka mbovu ya lawama tu kila kukicha.Rais si ndio mkuu wa Serikali na anakuwa na instruments zote za kuiendesha Serikali ikiwemo kuchagua mawaziri wa kuunda cabinet na baadaye kuitisha mikutano ya wajumbe wa baraza la mawaziri ?
Wanaoingia kwenye hiyo mikutano si safu nzima ya uongozi wa juu wa kitaifa wakiwemo watendaji wa Idara nyeti?
Inawezekana vipi watumishi wa chini walioteuliwa na Rais wafanye madudu kwa miaka yote hiyo 30 halafu Rais asilaumiwe? 😲
Inashangaza sana jinsi tunavyochukulia kirahisi rahisi mambo ya kitaifa, ndugu yangu Dunia hii inaenda mbele kwa kasi ya ajabu wewe unaniona nalalamika? Kazi za umma nchi nyingine ni suruba, ni kujitoa kutumikia waliokuweka madarakani ukishindwa kudeliver kama ilivyo kwenye mpira wa miguu, Manager ukishindwa mechi moja mbili mfurulizo unaondoka.Mkuu kulalamika ni kazi nyepesi, kutenda ni shughuli nyingine tofauti kabisa. Ongelea pia mengi mema ambayo yanatendwa sio kuzoea hulka mbovu ya lawama tu kila kukicha.
Mkuu samahani naomba unambie ni vitu gani ambavyo Rais Samia amevianzisha na kuvitekeleza ambavo ni muhimu kwa maslahi ya Taifa. Naomba unielewesheWakuu,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga
Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza.
Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa kueneza huduma za jamii hasa maeneo ya vijijini ambavyo huduma hizo katika awamu zingine zilikuwa ni ndoto kufika huko.
Huduma muhimu za jamii hasa afya,elimu,ushafiri(barabara) na umeme vyote vimeenea Tanzania nzima
Leo nimekiri wazi kuwa Mama Samia hana tunachomdai yeye ndiye anayetudai
Leo mapema asubuhi nilitembelea hospitali mpya ya wilaya,nimejionea jinsi gani Rais wangu alivyo na uchungu wa kuiletea maendeleo Tanzania, kumejengwa majengo makubwa na yakisasa,madaktari wanatibu vizuri huku huduma za mama,mtoto pamoja na wazee zikitolewa bure.
Kwa upande wangu Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sina ninachokudai.
Wewe ndiye unaenidai kura yangu kwako
Holoholo: kwa sasa Tabora
kuna madarasa mapya kila shule, ujenzi mpya wa shule za msingi,upili advance,vyuo vya ufundi,hospitali,nkMkuu samahani naomba unambie ni vitu gani ambavyo Rais Samia amevianzisha na kuvitekeleza ambavo ni muhimu kwa maslahi ya Taifa. Naomba unieleweshe

Kabla ya Samia hakukua na hiyo miradi? Na mbona yeye kapaisha deni la Taifa Kwa kiasi kikubwa hivo? Wakati hata waliomtangulia walikuwa wanayekeleza miradi mingi tu tena mikubwa lakin deni halikuwa linakuwa Kwa kasi namna hii?kuna madarasa mapya kila shule, ujenzi mpya wa shule za msingi,upili advance,vyuo vya ufundi,hospitali,nk
Lakini naomba unijibu mbona katika utawala huu wa Mh Rais Samia tra wanasema makusanyo ya kodi yamepaa Kwa kiasi kikubwa kuliko mwanzo lakin hata hivyo deni la Taifa linakuwa Kwa kasi kwani hizo pesa zinazokusanywa Kwa wingi zinatumika katika mambo gani? Naomba unielimishe hapa Mkuukuna madarasa mapya kila shule, ujenzi mpya wa shule za msingi,upili advance,vyuo vya ufundi,hospitali,nk
Darasa Moja wanafunzi 150.......Wakuu,