Kishindo kingine cha Rais Samia, tunasubiri jina la Waziri mpya wa Jinsia

Kuchanganya Wizara ya Afya na hizo sekta nyingine kumeathiri sana kwa kudhoofisha vipaumbele vya sekta zote husika. Kwa mfano kipaumbele cha Afya kikiwa ni corona au malaria ujue vipaumbele vya jinsia na kaya masikini vinafifia kwa sababu waziri mbeba sera ni yuleyule. Tujifunze kwa nchi zilizoendelea, hazichanganyi wizara za kisekta na mambo mengine.
Mifano ya wizara za kisekta ni Afya, Elimu (zote chekechea hadi PhD), Kilimo (mambo yote yanayosomwa SUA yaani agriculture, livestock, forestry, fisheries0, Ulinzi, Fedha (hazina, uchumi, mipango humohumo), Miundombinu (yote pamoja na ya mawasiliano), Viwanda (Industry, siyo Factory. Industry ni pana inahusisha biashara zote ), Mambo ya ndani, Ardhi , Mambo ya Nje na Sheria. Kila moja ya sekta hizi inafaa kuwa na waziri kamili na idara zake.
Wizara za uratibu ni kama Tamisemi, Utawala Bora, Sera. Hizi zinafaa kuwa katika ofisi inayoratibu shughuli za serikali ambayo ni ofisi ya waziri mkuu, na hapa mawaziri wawili tu wanatosha: mmoja TAMISEMI na mwingine aratibu yote yaliyobaki.
Wizara za mambo mtambuka ni kama hizo za maendeleo ya jamii, jinsia, mazingira, kazi (na ajira), michezo, habari, utamaduni. nk. Hapa unaweza kuchanganya mambo ya jinsia, utamaduni na michezo ukaweka kwenye wizara moja ya maendeleo ya jamii. Kazi inaweza kusimama pekee. Mazingira inaweza kuchaganywa na ardhi kwa sababu planning yake inaweza kufanywa na kusimamiwa pamoja. Utalii iwekwe kwenye biashara. Maliasili ichanganywe kwenye mazingira na ardhi. Madini iende kwenye industry. Nishati na vitu vilivyobaki vya geology iwe pamoja na maji.
 
Kongole kwake mh.Rais SSH💪

Kongole kwake CHIFU WETU MKUU CHIFU HANGAYA👏👏

#Siempre JMT
#Nchi Kwanza
 

Kwani kina Mdee na dream team nzima si wako nyumbani 😁😁?
 
Kongole kwake mh.Rais SSH💪

Kongole kwake CHIFU WETU MKUU CHIFU HANGAYA👏👏

#Siempre JMT
#Nchi Kwanza

Tunasikia huko rasmi mna viroboto na wahuni ambao aghalabu wanaweza kuwa matapeli pia.

Mashambulizi yako kuelekea upande upi mjomba?
 
Tunasikia huko rasmi mna viroboto na wahuni ambao aghalabu wanaweza kuwa matapeli pia.

Mashambulizi yako kuelekea upande upi mjomba?
🤣🤣🤣
Hau eee vipi huko ufipa?!!

Mzee wetu Benson Kigailla hajambo?!!!

Tafuteni fungu mumpeleke "short course" hapo chuo cha Diplomasia Kurasini akapunguzwe "jazba" 🤣🤣🤣🤣

Mjombaaa eee naye kaka T.Makene hajambo huko?!!!

Karibu kahawa ya Espresso Cappuchino tukeshe wote....🙏
 
Another Expenses for our Coffers

With all the current inflationary trend in the country ,the least I expected was to increase government expenditure!!! One cannot achieve political success without economic success!!! Mama Samia angalia mfumuko wa bei it could as well be your undoing!
 
Kwani kina Mdee na dream team nzima si wako nyumbani 😁😁?
Natamani niione siku hiyo mh.Halima Mdee akiichukua kadi ya kijani na kuitembeza ILANI BORA YA CCM....aaaamin aaaamin🙏

Mh.Mdee ni "asset" haswaaaa
 

Kigaila yuko vyema ile ndiyo "language of the people" ambayo huwa inaeleweka kwa yote si kwa wadogo au wakubwa, wanawake au wanaume.

Kwamba Makene? Chadema haina rafiki wa kudumu bali agenda. Which is natural.

Kwamba yeye au awaye yote amerudi nyumbani? Kwani hiyo ina tatizo gani?

Hizi ndiyo lugha nyingine adhimu ya watu:

Your browser is not able to display this video.


Viroboto versus Wahuni game inasimama je hadi sasa 😂😂?
 
Natamani niione siku hiyo mh.Halima Mdee akiichukua kadi ya kijani na kuitembeza ILANI BORA YA CCM....aaaamin aaaamin🙏

Mh.Mdee ni "asset" haswaaaa

Kumbuka assets kwetu ni agenda siyo watu. Ndiyo maana pamoja na mizengwe yote lakini bado tupo tupo sana.
 
Mkuu Ralph Tyler umeeleweka vizuri kwangu! [emoji2935]
 
Sijui kwa nini maendeleo Jinsia, na watoto ya jamii ikaunganishwa na Afya??
Bora ziunganishwe tu hakuna kazi zaidi ya kusoma magazeti. Kuongeza gharama bila sababu, Magufuli alikuwa sawa.

Huyo Mama yenu akiondoka kurudi Zanzibar Rais mwenye Akili ataifuta tu na itabaki kuwa idara kama zamani, hatuwezi kukubali vitu vidogo vitumie gharama kubwa mpaka WIZARA, for what?
Kauli ya Mama yenu pia inachochea ushoga, wenye macho tunamuangalia tu.
 
Ni kuongeza tu matumizi. Hata tuwe na wizara 100, bila kumaliza matumizi mabovu na ufisadi na kuwa na mipango mahususi ni kazi bure. Pesa nyingi inaishia mifukoni tu hazifiki kwa walengwa wala kwenye maendeleo.
 
Hapo waziri atakuwa mama na ishu ya muungano itazingatiwa. Mama hoyeee!!
 
Babra Gonzalez CEO wa SSC ni dada mwenye umri ambao siyo mdogo saana lakini uwezo wake ni mkubwa saana.
Good thing kwake ni kwamba siyo mwanasiasa na anamisimamo.
Kwa vile yule amekuwa notarious Babra apelekwe huko kuchukuwa nafasi yake....ile ratio ya tano kwa tano izingatiwe.....halafu jina lake litamkwe rasmi kwa wazee watoto na jinsia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…