Emeronce Gerald
Member
- Sep 20, 2020
- 48
- 40
Anayeaminiwa pale anaposhindwa kudumisha Hali ya kuaminiwa,tuliomwamini tufanyeje"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "
#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
Hakuna lolote jipya hawa ni vibaraka watu wasioipenda Tanzania.Shekhe Ponda ni Shekhe jasiri sana CCM walipanga auwawe pale Morogoro kwa mshangao wa wengi Shekhe akazikwepa risasi kininja
Huyu Shekhe ni kaliba ya Lissu kama Lissu kaamua kumchukua Shekhe huyu ili amalizie nae kampeni basi ni jambo zuri sana
Waweza kuwa ndiye kibaraka wa mkoloni mweusi.Hakuna lolote jipya hawa ni vibaraka watu wasioipenda Tanzania.
Acha kupanic,ninakueleza ukweli kama kamanda wa CDMWaweza kuwa ndiye kibaraka wa mkoloni mweusi.
Sita shangaa kwani muonapo wapenda haki pamoja mnachanganyikiwa.Lissu alivyo damu ya kunguni atamuingiza ponda kwenye matatizo
Lini Sheikh Ponda ameanza kuwa kiongozi wa BAKWATA?Chadema sasa mnajiegemeza kwa viongozi wa Bakwata!
Karibu Tanzania mpyaKwani tayari tunarais mpya? Hizi kauri bhana sisi wapnzan mhhhhh
Sisi wanachadema wenye akili tunapinga kumtumia PondaLissu alivyo damu ya kunguni atamuingiza ponda kwenye matatizo
Utakuwa kamanda mamluki ama wale wazalendo maslahi.Acha kupanic,ninakueleza ukweli kama kamanda wa Cdm
Wapi amekuambia ameshindwa?Anayeaminiwa pale anaposhindwa kudumisha Hali ya kuaminiwa,tuliomwamini tufanyeje
Ni kweli watakusanya kila garasha kisha kujipongeza ei wanashinda😂😂😂Yamkini mtakusanya kila garasa, kuanguka Oct 28 kupo pale pale. JPM tano tena.
Kwahiyo mlianza na Mabeberu sasa mumehamia kwenye vibaraka?Hakuna lolote jipya hawa ni vibaraka watu wasioipenda Tanzania.
BAKWATA na CCM ndio ndege warukao pamoja.Chadema sasa mnajiegemeza kwa viongozi wa Bakwata!
Anasema kura zote za waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja
Ponda na bakwata wapi na wapi!Chadema sasa mnajiegemeza kwa viongozi wa Bakwata!