Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kwani Sheikh Ponda Issa Ponda ni BAKWATA? CCM ndio walezi wa BAKWATA!Chadema sasa mnajiegemeza kwa viongozi wa Bakwata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Sheikh Ponda Issa Ponda ni BAKWATA? CCM ndio walezi wa BAKWATA!Chadema sasa mnajiegemeza kwa viongozi wa Bakwata!
Mkuu CHADEMA hawajawahi pokea assetLissu alivyo damu ya kunguni atamuingiza ponda kwenye matatizo
Mkuu CHADEMA hawajawahi pokea assetLissu alivyo damu ya kunguni atamuingiza ponda kwenye matatizo
Chama changu kina mkosi sana.Mkuu CHADEMA hawajawahi pokea asset
Hapa napo wamekula hasara na tutaona watakavyomtelekeza
Bila wakurugenzi kugoma kuwapokea mawakala wa chadema imekula kwenu.jana kiongozi mmoja wa ccm kasema kura yake kwa lissu..Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Ponda anajitambu toka wewe ukiwa,siyo kama MATAGA wenu wa BAKWATA.Huyu ndio amekuja kuharibu kabisa,maana huwa ana itikadi za kutokupenda amank ya nchi yetu,kwa ujumla Chadema tumebugi sana.
Amuingize Mara ngapi na hana jipya mjiniLissu alivyo damu ya kunguni atamuingiza ponda kwenye matatizo
Kwa Mateso ya miaka mitano ilopita sina hamu naye"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "
#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
Shule zenu zinaungua kila uchwao,hakuna tamko wala hatua inayochukiliwa na serikali....amkeniWaislam wa nchi hii tugutuke nini kina endelea dhidi yetu?
kajipachika jina ili kuwadanganya wajingaUtakuwa kamanda mamluki ama wale wazalendo maslahi.
..Sheikh Ponda amezungumza jukwaa moja na Tundu Lissu?
..MUNGU ambariki Sheikh Ponda kwa wema huu.
Amuingize Mara ngapi na hana jipya mjini
Kuna wakati alikuwa jela nadhani na Lema kama sikosei wakajenga urafiki mkubwa sana hadi wa kusali pamoja mmoja anaanza kusali kwa dini yake mwingine anamalizia. Kusali pamoja bila kubaguana kulinigusa sana mimi nakuona bado kuna Watanzania wenye upendo wa kweli kwa Watanzania wenzao bila ya kujali tofauti zao zozote zile.