Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Huyu ni mmoja wa Waislamu wanaojitambua Nchini siyo waislamu wanafiki wanaokumbatia udhalimu wa kutisha wa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa matonge machache ya UBWABWA na vibahasha vya 10,000 na 20,000. Ahsante sana Sheikh Ponda.
✊🏽✊🏽✊🏽
 
17 October 2020
Dodoma, Tanzania

Sheikh Ponda awalisha kiapo waTanzania kumchagua Tundu Lissu mkutanoni pia kutoka jukwaani live kuwafikia wapiga kura majumbani , vijiweni na mitandaoni pote Tanzania

Sheikh Ponda akaribishwa kusema na waTanzaniavna kisha Sheukh akahitimisha kwa kuufunga mkutano wa Tundu Lissu leo 17 Oktoba 2020 jijini Dodoma, Tanzania

Sheikh Ponda kuanzia dakika 38 ya video anazungumza na waTanzania ktk video hii

Kiapo cha leo kimesikilizwa na kutizamwa mitandaoni na zaidi ya watu 900, 000 ambao nao wanazidi kukizambaza kwa wengi zaidi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Bila wakurugenzi kugoma kuwapokea mawakala wa chadema imekula kwenu.jana kiongozi mmoja wa ccm kasema kura yake kwa lissu..
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mimi si muislam, ila nazijua sifa za uislam, ninamkubali sana huyu shekh Ponda na wala si mnafik kama wale wengine. Tupo pamoja wahanga wa risasi. Kanda ya ziwa idadi kubwa tutatoa hasira zetu kwa kuiangusha Serikali ya jiwe! Wavuvi wengi tumefilisiwa wengine wengi wameuwawa na kina mama kadhaa wamebaki bila wanaume zao.
 
Kuna wakati alikuwa jela nadhani na Lema kama sikosei wakajenga urafiki mkubwa sana hadi wa kusali pamoja mmoja anaanza kusali kwa dini yake mwingine anamalizia. Kusali pamoja bila kubaguana kulinigusa sana mimi nakuona bado kuna Watanzania wenye upendo wa kweli kwa Watanzania wenzao bila ya kujali tofauti zao zozote zile.
..Sheikh Ponda amezungumza jukwaa moja na Tundu Lissu?

..MUNGU ambariki Sheikh Ponda kwa wema huu.
 
Kuna wakati alikuwa jela nadhani na Lema kama sikosei wakajenga urafiki mkubwa sana hadi wa kusali pamoja mmoja anaanza kusali kwa dini yake mwingine anamalizia. Kusali pamoja bila kubaguana kulinigusa sana mimi nakuona bado kuna Watanzania wenye upendo wa kweli kwa Watanzania wenzao bila ya kujali tofauti zao zozote zile.

Maono: Namwona Godbless Lema akiunga mkono juhudi za rais
 
Back
Top Bottom