Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 669
Hawa Watanzania waisilamu au wakristu ni wanachama wa chama gani? Mimi nilikuwa nafikiri vyama vinapigiwa kutokana na uanachama wa wafuasi wake ambao ndio wakeretwa wakubwa. Ukweli wa mambo ni kwamba waliojiandikisha kupiga kura wana itikadi zao na kuna mrejesho wa wanachama kwenye upigaji wa kura. Chadema ina wanachama wangapi waliojiandikisha? Je, CCM ina wanachama wangapi waliojiandikisha?..kama Waislamu wanataka HAKI basi wanajua nani wa kumpigia kura.