Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Acheni bana, siyo vizur, tupendane, ccm nao watu bana, tukumbuke tumetoka nao mbali tusiwafanie hivyo.[emoji53]
 
Labda waibe kama walivyozoea,ila NEC wakitenda haki Ccm kwisha.
Aaaaaaaaaaah! Sasa wewe unawashtuaaa! Inatakiwa mchawi asilione jua linapochomoza. Anakuja kushtuka, ni saa mbili asubuhi, yupo uchi sokoni!
 
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Lisu hana kura za kuibiwa
 
Tafadhali wekeni video alizoongea Shekhe ponda
 
Yamkini mtakusanya kila garasa, kuanguka Oct 28 kupo pale pale. JPM tano tena.
Hii hali ya kuamini kwenye goli la mkono imekua ni sumu..viongozi na wafuasi hawajengi hoja wamebaki kujiaminisha ushindi. Ni ujinga wa kiwangio cha SGR
 
Hata aje Nuhu wa SAFINA kwenye mikutano ya Mbelgiji; HAPA KAZI TU NDANI YA CCM Tunashinda kwa Kishindo, Ijekuwa Msela Ponda?

Haaa haaa haaaaa, I need a break .

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
 
Kuna wakati alikuwa jela nadhani na Lema kama sikosei wakajenga urafiki mkubwa sana hadi wa kusali pamoja mmoja anaanza kusali kwa dini yake mwingine anamalizia. Kusali pamoja bila kubaguana kulinigusa sana mimi nakuona bado kuna Watanzania wenye upendo wa kweli kwa Watanzania wenzao bila ya kujali tofauti zao zozote zile.
Kama naomba nakumbuka alikua ndani na Mbowe pia
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Najua hayatawatisha Kwasababu mmezoea kufanya hivyo

Ila tutawachapa mbelgiji lissu atarudi ubeligiji bila kuaga
Kama Mungu alimwokoa na jaribio la kumtoa uhai maneno ndio ya mtishe na yatutishe Wantanzania.
 
Back
Top Bottom