Hawa Watanzania waisilamu au wakristu ni wanachama wa chama gani? Mimi nilikuwa nafikiri vyama vinapigiwa kutokana na uanachama wa wafuasi wake ambao ndio wakeretwa wakubwa. Ukweli wa mambo ni kwamba waliojiandikisha kupiga kura wana itikadi zao na kuna mrejesho wa wanachama kwenye upigaji wa kura. Chadema ina wanachama wangapi waliojiandikisha? Je, CCM ina wanachama wangapi waliojiandikisha?..kama Waislamu wanataka HAKI basi wanajua nani wa kumpigia kura.
Nadhani umenielewa ndivyo sivyo.Kwa hiyo wewe na dhulma damu damu. Ama na Mimi nimekuelewa ndivyo sivyo.
Anasema kura zote za waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja
Ndugu yangu wewe ni polisi, mwendesha mashitaka na hakimu mpaka umtie Ponda hatiani? Viache vyombo vya kutoa Hali vitamke Kama Ponda ni mhalifu ama la. ACHA CHUKI BINAFSI ☹️☹️☹️Sheikh Ponda ana mahusiano makundi ya kigaidi, anakichafua chama chetu.
Dogo ujuwe unaniudhi sana. Chenga zimekuwa nyingiiii. Wewe mwenyewe uliahidi utanilipizia kisasi kwa kuniua kwa kuwaibia TV chogo black and white 1988. Unapiga tu Chenga unakwepa ahadi yako. Sasa nakuja homu kwenu na kuwaibia iyo flat screen 65 inch navitablet ili mnimalize kabisaMimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikapi kadinali pengo
Yaani amekuwa kama masheikh wa bakwata,...huyo shkh ajitambui ni mjinga...nachukia sana kuona kiongozi wa dini kutumika Kwenye kampeni (mambo ya kisiasa)..
Lau angejua dini ilivyo mbali na haya mambo,Basi asingekubali kuwa ganda la ndizi..
Safi Sana kamandaSisi wanachadema tunamuunga mkono kumtumia Ponda,maana ana asili ya Uzalendo .
Tanzania ni yetu sote
Maendeleo hayana vyama
Kuna watu walikua wanailalamikia bakwata na siasa haya ponda huyo nae na siasa wanaona sawa tu. Aiseee
Hatupigi kura kwa itikadi za dini.Anasema kura zote za waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja