Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Utakuwa mfuasi wa gwajmaaaaaa!Mimi ni Mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikap kadinali pengo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa mfuasi wa gwajmaaaaaa!Mimi ni Mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikap kadinali pengo.
Magufuli asingembakiza. Magaidi wote si ameshawafunga miaka 6 sasaSheikh Ponda anakichafua chama chetu.
Mambo ya mtu wenu Lissu na mabeberu Yake.Hapa CCM wakitaka kushinda kwa hila! watoe hongo ya yale madini ya Mmasai Laizer kwa mabeberu tu hakuna namna.
Walio mahabusu siyo mashehe?Huyu ndiye Shehe pekee aliyebaki hapa Tanzania. Ponda ni kiongozi, Ponda ni mtu, Ponda ni mtu jasiri na hana unafiki kama wale walamba viatu vya binadamu.
Sasa kama ni enzi za JK kwann lawama zote ziende kwa magufuli
Unajua mkuu kuna saa mnachanganya madesa mpaka wenyewe mnashindwa kujua mshike wapi muache wapi
Adui yenu mkubwa ni CCM na sio Magufuli mkifahamu hii mtaeleweka kirahisi. Lowassa alipokuja kwenu mlisingizia system. Kesho na keshokutwa nyalandu mtamsafisha(actual mmeshamsafisha)Jk akija mtamsafisha vizuri tu
Ya babu seya mlianzisha wenyewe magu akatenda msamaha baada ya uchaguzi hii ina maana chadema mliona babu seya kaonewa hakuwatendea vile watoto mkaipa kipaumbele zaidi kwenye ilani yenu
Yaani muislamu kama mimi siwezi kutumika na hawa wanasiasa wapuuzi...Hao walioko Magerezani wakilawitiwa kwa zamu nao wanatumiwa kama beleshi?
Masufi ndio wanatakiwa kugutuka kwasababu wao huendeshwa na matumbo yao na sio muongozo (DALILI yaani Quran n Sunnah)Waislam wa nchi hii tugutuke nini kina endelea dhidi yetu?
Fatilia style ya kuwatoa akina babu seya. Mliwataja kwenye ilani yenu akawapa mlichotaka. Uamsho mmewataja na mmemtumia ponda mkilaumu utadhan Magu ndie aliyewafunga. Adui yenu ni CCM kwa wengine tunzeni akiba ya maneno maana hamfahamu mwenye chama anawaza nini dakika yoyote anasafisha mtu kama lowassa.
..ukishashika usukani wa nchi lawama nyingi zinakuwa kwako.
..kwa mfano, kuna tatizo la maji vijijini ambalo Jpm amelirithi toka kwa watangulizi wake, lakini kipindi hiki ameshika usukani kila mtu anamlaumu Jiwe kwa tatizo la maji vijijini.
..kwenye suala la Masheikh wa Uamsho, ni kweli Jk na Babu Ali ndio waliowafunga. Lakini Jpm ana miaka yake 4 ya kuendelea kuwaweka kizuizini. Na kipindi hiki Jpm ndiye mwenye ufunguo wa kuwatoa Mashekhe kizuizini. Mazingira hayo ndiyo yanayosababisha Jpm asakamwe kuhusu Mashekhe.
Huo ni uzushi tu Lissu huwezi ukamlinganisha na fisadi lowassa hata chembe. Hutaki kuona ubaguzi wa huyo KICHAA kwenye maamuzi yake mbali mbali ikiwemo hata kupeleka Maendeleo sehemu mbali mbali nchini kisa tu sehemu hizo walichagua Mbunge ambaye si wa maccm lakini wakati huo huo bado anakusanya kodi za watu wa maeneo hayo.
Narudia tena KICHAA hakuwafunga Babu Seya na mwanae lakini aliweza kuwatoa jela sioni sababu yoyote ile ya yeye kushindwa kuwatoa hao uamsho zaidi tu ya ubaguzi wake wa kutisha.
Wanafiki tu. Sasahivi JK ni mzuri 😃.Tayari wameshaandaa ngonjera za kuibiwa kura,tume hawaiamini na bado wanataka iwape ushindi. Akili za hawa watu mmmh
Kampeni za Lissu ni jeshi la mtu mmoja dhidi ya majeshi ya ccm yaliyotapakaa nchi nzima. Yeye anapiga kampeni mijini na kwenye barabara za lami tu huku wapigakura akiwaache vijijini/ mashambani/ mabondeni. Hivyo kuwaza kuwa anaweza kushinda huo ni uwenda wazimu.Labda waibe kama walivyozoea, ila NEC wakitenda haki CCM kwisha.
Suala la uamsho mmechemsha pakubwa ni sawa na sakata la mkulima wa SA.
Hata dr slaa alikua halinganishwi na mtu yoyote kwa yale mapovu mliyokua mnaita fact ila saiv wa kawaida povu hana
Hebu leta hata TIN number yako tu ,iki tujue kama unalipa kodi,maana Kodi imekuwa kodi kwenye kila comment yako.Sidhani hata kama unatambulika TRA.Walipa kodi hatunaga ujinga wa namna hii.Huo ni uzushi tu Lissu huwezi ukamlinganisha na fisadi lowassa hata chembe. Hutaki kuona ubaguzi wa huyo KICHAA kwenye maamuzi yake mbali mbali ikiwemo hata kupeleka Maendeleo sehemu mbali mbali nchini kisa tu sehemu hizo walichagua Mbunge ambaye si wa maccm lakini wakati huo huo bado anakusanya kodi za watu wa maeneo hayo.
Narudia tena KICHAA hakuwafunga Babu Seya na mwanae lakini aliweza kuwatoa jela sioni sababu yoyote ile ya yeye kushindwa kuwatoa hao uamsho zaidi tu ya ubaguzi wake wa kutisha.
unafananisha kesi ya kina babu seya na ya uamsho fahamu kwanza uamsho bado hawajahukumiwa kina babu seya walishahukumiwa,au rais akiachia wafungwa na uamsho waachiwe kwa msamaha wa rais?Kama huna cha maana cha kuandika pita kimya kimya badala ya kuandika UPUUZI!
Cha kushangaza unataka kuliona la uamsho lakini wakati huo huo mfano niliokywekea wa Babu Seya na mwanae unaukwepa. Slaa naye ni MPUUZI tu kwani alikubali kushiriki kikao cha kumkaribisha fisadi lowassa kisha alipofurumshwa na hawara yake ndiyo akapinga maamuzi yale. Angekataa kukaribishwa kwa yule fisadi angejizolea sifa nyingi sana Nchini na kuonekana shujaa. Alijiharibia sana heshima yake aliyokuwa amejijengea.