Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Sasa ni Wakinga na Wawanji ndio wanaongoza kwenye biashara.

Ninyi wachaga mmebakia sifa tu
 

Walisha wahi kuja kwako kukuomba hela ya kula hao wananchi
 
hii nchi Ina watu wa hovyo sana.. kuswali/sali kwao kuna kuhusu nini? ndo Imani yao! fanya kilichokupeleka acha ukuda
 
Waswahili swala nyingi afu wanafiki,majungu,ulozi,roho nyeusi hawaachi.

Watu wa pwani wengi wanaishi maisha duni na wameridhika wao na watoto wao.

Badala ya kufuga ng'ombe wao mifugo yao muhimu ni majini.

Hawaogopi umaskini kamwe!

Shughuli kubwa ya kiuchumi kwao ni kucheza bao!

Ukikachekea chekea hata kabinti ka miaka 15 kanakupa, baada ya hapo wazee wanatengeneza fursa unaviziwa unapigwa ndoa ya mkeka

Wanapenda ngoma na vigodoro kuliko elimu!

Kukaa na hawa watu lazima ujipange sana kupambana na majini watakayo kutumia.
 
Hukuwahi kusikia wazee wa kanisani ndio magwiji wa uchawi?

Katembelee Sumbawanga [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]



Sikatai,

Wote ni hao hao wanaingia kwenye huo mkumbo.

Inashangaza mno.
Mtu unajifanya unasali ilihali umejaa husuda kali unaharibu maisha ya watu waugue, wengine wanaua, kuharibu kazi, riziki, mahusiano n.k

Ijapokuwa ratio ya huko kwa watoto wa Hajir ni wengi zaidi kuliko watoto wa Sarah.
 
Hao wa swala 5 hata maofisini wanasumbua sana



Mwenyezi Mungu ana kazi kubwa sana na Wanadamu sisi! [emoji848][emoji848]

Yaani mtu anajifanya kusali/kuswali lakini ni mchawi! [emoji848][emoji848]

Daaah aisee?!

Makazini huko akisikia mtu anataka kupandishwa cheo anamroga asipande anamuwahi, anafanya watu wachukizane maana faraka, waugue n.k.
 
Unakaribia kuhama huko we endelea kuwakorofisha.
 
Swala ni wajibu. Acha kelele.
 
Hukuwahi kusikia wazee wa kanisani ndio magwiji wa uchawi?

Katembelee Sumbawanga [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Ko sumbawanga wazee wa makanisa ndo wachawi wenyewe?[emoji23][emoji23]
 
Nimewaza kimya kimya na kwa sauti nikagundua ndani ya ulioyaandika kuna kitu kinaitwa chuki/husda

Hua kibaya sana,Fukuza Wote kachukue Watu [emoji1156],Ila siku ukifa utajua Mali Yako na swala za Watu kipi kilitakiwa kuwa mbele

Ukija filisika soma uzi wako ndo utakua mchawi wako.
 
Maeneo yote ya Pwani Bahari ya Hindi kuanzia Tanga, Pwani-Lindi-Mtwara-ZANZIBAR uvivu ni jambo la kihistoria hata UN wanajua. Enzi za kudai Uhuru tulikua tumejificha tu mpaka akatokea Mwamba Nyerere toka huko bara (Mwitongo, Butiama) akina Rupia (mtu wa bara) wakamchangia nauli aende UN HQ - New York.
 
Hao jamaa kwann wasiwaige watu wa Arabuni (KUSWALI na kazi?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…