Usisome "maoni ya watu" isome dini yenyewe, ukiyasoma "maoni ya watu" utachanganyikiwa kweli.Ukisoma maoni ya watu kuhusu mambo ya dini utagundua hizi imani zinaharibu akili tu hakuna cha zaidi.
Sawa bi dada🙌Usisome "maoni ya watu" isome dini yenyewe, ukiyasoma "maoni ya watu" utachanganyikiwa kweli.
Utamkuta Uisla haujuwi na anautolea maoni, hata Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa Waislam haisomi kwanza na imejaa mtandaoni kwa tafsiri za kila lugha.
Ukitaka kuujuwa Uislam, soma Qur'an.
Kwani Kuna tatizo kuhoji?Huyu Andrew123 Masawe ameenda Kijisu kuhesabu misikiti ya watu, sijui ana agenda gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule hakufai kabisa. Pamesaharika sana. Watu hawaendi shule, badala yake ni Madrasa, akipiga zake Madrasa miaka minne tayari ni msomi wa heshima.
Kinywaji adui kuliko vyote kule ni 'Fanta'[emoji2]. Fanta ina historia yake kuke[emoji3]
Sasa kama ni kisiwani watu si wanavua samaki usiku? Yeye anataka awaone wanalima mahindi mchama?Ni kisiwa kipo huko kilwa kusini.
🤣🤣🤣🤣🤣Kule hakufai kabisa. Pamesaharika sana. Watu hawaendi shule, badala yake ni Madrasa, akipiga zake Madrasa miaka minne tayari ni msomi wa heshima.
Kinywaji adui kuliko vyote kule ni 'Fanta'😃. Fanta ina historia yake kuke😀
myth: a traditional story, especially one concerning the early history of a people or explaining a natural or social phenomenon, and typically involving supernatural beings or events.Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Dah!Walikuja kukuomba kula au we ndo unayepatia mahitaji yao kwa kuwa hawafanyi kazi.
Walikutuma uje hapa utuambie
We ndio naona Huna kazi ya kufanya
naomba ututajie hizo faidaMashallah. Kutafuta rizki ni ibada lakini pia kuna ibada za faradh lazima tuzipe umuhimu wake. Wewe mtoa mada sizani kama unafahamu faida za kusali swala za faradh kwa muumini.
Aaah kama ni hivi basi bi sawa wakiswali sanaKule maisha yao ni uvuvi na wengine wanavua kwa kutumia majini na wanapata riziki Kwa kutumia majini ndio maisha hayo
Are you sure Bakhresa is rich because of 5 times a day prayer 5? I am sure It is notwewe una utajiri gani kumzidi Bakhresa anayeswali swala tano?
Usiombe ukae pembeni ya ziwa halafu jua likazama, yale mazingira huwa mazuri sana, very coolNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Niwe tu mkweli! Simuungi mkono mtoa mada kwa kuingilia maisha ya watu wasiomhusu. Ila na wewe pia huu mfano ulio utumia ni irrelevant!wewe una utajiri gani kumzidi Bakhresa anayeswali swala tano?
Aliyekwambia kisiju wanataka maendeleo ni nani?Hapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Kwahiyo swala sio tatizo, maana bakhresa anaswali mara tano still ni tajiri kuliko wewe unaeenda jumapili hadi jumapili, na hata hao wa kisiju kama ni mafukara kama wewe basi ufukara wao hausababishwi na swalaAre you sure Bakhresa is rich because of 5 times a day prayer 5? I am sure It is not
Kwenu nani ni tajiri kuliko ssb? Mbona hamuwi matajiri na kuswali hamswali?Hapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Je unadhani hawana Imani za kiroho flani wanazoziamini?Hapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Elezea kidogo hapa bossUsiombe ukae pembeni ya ziwa halafu jua likazama, yale mazingira huwa mazuri sana, very cool