and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
PointTunaongelea gdp ya mkoa ambayo ni tokeo la makusanyo kwa mkoa na idadi ya watu katika mkoa husika.
Ni mjinga tu atakayeamini watu wa kagera ni masikini ukilinganisha na watu wa pwani,hapa nazungumzia uchumi wa mtu binafsi.
Point
Sasa wewe unataka siku ya umulkiama wakachomwe na moto!!Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Hoja yake ni kuwa - wanafanya shughuli za uzalishaji wakati gani?Sasa huko Uislamu si ndio kama dini kuu, na wajua waislamu huswali swala 5 kwa siku...
Sio jambo la kushangaa...
Umetumia nini kusema watu wa Pwani ni masikini kuliko Kagera?Tunaongelea gdp ya mkoa ambayo ni tokeo la makusanyo kwa mkoa na idadi ya watu katika mkoa husika.
Ni mjinga tu atakayeamini watu wa kagera ni masikini ukilinganisha na watu wa pwani,hapa nazungumzia uchumi wa mtu binafsi.
Viwanda vingapi vinavyoubeba mkoa wa Pwani?Mkoa wa pwani unabebwa na uwepo wa viwanda hivyo makusanyo ya kodi ni mengi ukigawa kwa idadi ya watu lazima gdp iwe kubwa.
Ila hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa familia nyingi mkoa wa pwani upo hoi.
Nitajie eneo moja Tanzania ambalo halina ushirikina?Na Uchawi na ushirikina sasa ndio usiseme ! [emoji108]
Ndo inavotakiwa hvoNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
katika matajiri 10 nchi hii wanane ni waislamu wa swala tano, ila mijitu haijifunzi tuwewe una utajiri gani kumzidi Bakhresa anayeswali swala tano?
Ni jambo jema, na uzuri swala zao hazichukui muda mwingi kihivyo kama masaa ni dakika kadhaa tu zinamalizikaNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Kwani wewe ndiye unaowalisha wao na familia zao? Wameshawahi kukufuata kukutolea shida zao na kukuomba uwasaidie? Uwepo wa misikiti unakukwaza nini wewe? Je, wamekulazimisha ukaswali kwenye hiyo misikiti? Kisiju ipo miaka dahari hadi wewe uliyezaliwa juzi kati umeikuta. Ingekuwa hawafanyi kazi kama unavyosema mji huo ungekuwepo miaka yote hii? Acha chuki zako kwa Waislam hazitakusaidia chochote.Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Ndo nini?Kule maisha yao ni uvuvi na wengine wanavua kwa kutumia majini na wanapata riziki Kwa kutumia majini ndio maisha hayo
Kiuhalisia ni ngumu kumfanya mkristo kuwa muislamu ila ni jambo gumu sana kumfanya muislamu awe mkristo unajua kwanini?Soon tutaweka mission hapo kisiju ili kuwakomboa wafungwa na kuwafungua minyororo ya dhambi na kuwapatia wokovu,sema ameen.